kukosa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Mbona Serikali haisemi ukweli kuhusu suala la umeme?

    Wananchi wanateseka hasa akina Mama machinga kama wauza barafu, saluni, vinywaji baridi nk. Tuliaminishwa kuwa tatizo la umeme litapungua sana katika muda wa wiki mbili lakini haya yamekuwa ni maneno tu huku wananchi wakiteseka sana. Umeme unakatika saa moja asubuhi na unarudi saa moja usiku...
  2. UMUGHAKA

    Hivi tatizo ni kukosa Elimu,Uelewa au Exposure?

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane! Nimekuwa nikifuatilia mambo yanayoendelea kwenye hii nchi nabaki kushangaa tu kama mtalii! Ukiangalia hata mambo madogo tu ya mtu mmoja mmoja bado ni tatizo kubwa mno!,Hivi Tatizo ni nini? Nimekuwa nikipitia mitandao kadhaa ya kijamii na kuona namna...
  3. Mganguzi

    Jeshi la polisi linachangia timu zetu kukosa matokeo mazuri viwanjani ,polisi mnawasaidia wageni kutamba nyumbani

    Polisi wetu kila mahali wao wanaleta upolisi mimi huwa nachukia sana ! Timu zetu zinakwenda kucheza nje ya nchi ,zikifika zinakutana na balaa la mashabiki ,, kulipua mafataki wakati mechi inaendelea,moshi kujaa uwanjani,kuwasha miale ya kila rangi ,nk ,si fifa wala caf waliowahi kusema kufanya...
  4. UMUGHAKA

    Hivi ni Kukosa akili au ndo Utandawazi?

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane! Hivi sasa kumeibuka wimbi la Vijana na wanaume kuvaa Chupi ambazo wao wanaziita "VINJUNGA" Hivi Vinjunga inapaswa uelewe mara zote zinakuwa hazizidiani sana na Boxer,yaani wewe fikiria mtu anavaa Kinjunga na anatembea bila wasiwasi mjini kote huko! Ni...
  5. comte

    Taarifa hii ya TANESCO ni kielelezo cha kukosa weledi hasa wa mawasiliano

    Hivi TANESCO wamesahau kwamba Nyakato Mwanza wana MW 60 kwanini 36 MW? 24MW zimekwama wapi? Mitambo ya maji iko kwenye ukanda ambao mvua hazijaanza kunyesha? Wanafikiri wayu wa Dar es Salaam watawaelewa wakiwambia mvua hazipo?
  6. BARD AI

    Tanga: Mjamzito afariki dunia kituo cha afya kwa kukosa Tsh. 150,000

    Mama mjamzito, Mariam Zahoro (30) Mkazi wa Kijiji cha Mumbwi Wilayani Handeni, Tanga amefariki dunia akiwa kwenye Kituo cha Afya Kabuku kilichopo Wilayani humo ikidaiwa kuwa alikosa huduma ya upasuaji baada ya kushindwa kulipa Tsh. 150,000 alizotakiwa kutoa kwa ajili ya huduma hiyo. Tukio hilo...
  7. D

    Ushawahi kulala njaa kwa kukosa pesa ya kula? Ulifanyaje?

    Hii ilinitokea kati ya mwaka wangu wa 2 na wa 3 wa chuo kikuu. Nilifanya kibarua cha kuhudumu kwenye mgahawa kila nikitoka chuo ili kujikimu na mahitaji yangu ya chuo, Pesa ilikua ngumu sana. Nilijiskia aibu ila ilibidi nifanye kile nilichokifanya ili niweze kuishi. Kuna muda nilikua nakusanya...
  8. A

    Comrade Mwenezi Makonda karibu Kanda ya Ziwa

    Ndugu Comrade Paul Christian Makonda karibu Kanda pendwa ya Ziwa ujionee ilani ya Chama inavyotekelezwa Kwa vitendo. 2024/2025 Ushindi ni lazima. --- Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndg. Paul Christian Makonda atakuwa na ziara mahususi mkoa kwa mkoa kuanzia tarehe 9 hadi 14 Novemba 2023. Mikoa...
  9. MK254

    Walio na uchungu wa ardhi ya Waarabu wa Palestina, kumbukeni pia DRC watu 6.9m wamefukuzwa kwenye ardhi yao

    Huku tukiendelea kuandamana na kuwa na uchungu wa mnyang'anyano wa aidhi baina Waarabu na Wayahudi, hebu pia tuweni na kauchungu fulani hivi kwa Waafrika wenzetu karibia milioni 7 hapo DRC wamefukuzwa kutoka kwenye ardhi zao...... ============================= The conflict between M23 rebels...
  10. Pang Fung Mi

    Nasikitika nimeanza kukosa msisimko wa upendo na uzalendo ninaposikia na kusoma neno Tanzania

    Kwa namna mambo yanavyoenda, mienendo, tabia, maamuzi ya viongozi wa Serikali kuhusu masuala nyeti ya kitaifa katika nyanja mbalimbali nimeishiwa kiu ya kuipenda Tanzania. Hata jezi ya timu taifa na bendera ya taifa sijui navionaje am not proud either, hata nikisikia wimbo wa Taifa sina mzuka...
  11. BARD AI

    Kanye West akwama kuachia Albamu mpya baada ya kukosa Msambazaji

    Kwa mujibu wa Jarida la #Billboard, Mastaa hao walipanga kuachia albamu yao Oktoba 13, 2023, albamu ambayo inaripotiwa kuwa na ngoma za Raa huyo za takriban miaka 5 lakini Wasambazaji wengi wamekuwa wakiikwepa kutokana na kuali tata za YE. Albamu ya mwisho kutoka kwa Kanye West ni DONDA 2...
  12. Tajiri wa kusini

    Ajinyonga kisa kukosa nauli ya kwenda ukweni.

    Kijana William Bahati (20) Mkazi wa Kijiji cha Kashero Wilayani Mbogwe Mkoani Geita amefariki Dunia kwa kujinyonga na kamba ya kufungia mbuzi huku sababu zikitajwa kuwa ni kukosekana kwa nauli ya kwenda ukweni kumzika Baba Mkwe wake. Akiongea kuhusu tukio hilo Mke wa Marehemu, Grace Jeremiah...
  13. Mganguzi

    Mimi ni Mkristo mlokole, nimeanza kukosa Imani na ukristo nahisi Uislam ndiyo dini ya kweli

    Napenda sana ibada, naamini kupitia ibada mambo mengi yanaweza kuwa sawa! Napata shida kidogo na Imani yangu ya ukristo, miaka ya 1980 -1990 ibada ilikuwa nzuri sana kokote utakakoenda kusali na kanisa lolote utakaloingia Ibada zilikuwa na nguvu halisi ya Mungu. Hapakuwa na makorombwezo Wala...
  14. R

    ACT na CCM kupambana na CHADEMA kidola si ishara ya wawili hawa kukosa sera?

    CHADEMA wametoka kanda ya ziwa kukinukisha hadi CCM wakalazimika kuteua naibu waziri Mkuu. CHADEMA wamekwenda Zanzibar kwenye baraza la wazee mara paap ACT wamecharuka kwa hasira utadhani wao wamepewa kibali cha kumiliki Zanzibar CHADEMA wametangaza OPERESHENI kusini mara paap mawaziri...
  15. Kamanda Asiyechoka

    Huku ni kukosa dira ya kiuchumi na kuweweseka kimaono. Unanunua dege la bil 200 unaacha kununua magari zimamoto

    Magari ya zimamoto kwa maisha ya mtanzania ni muhimu kuliko dege ambalo raia wa kawaida hawawezi kumudu hata tikiti ya laki tatu na ushee. Hii midege ina return gani ya kiuchumi kwq wananchi wa kawaida? Kwa nini kusinunuliwe gari za kisasa za zimamoto? Au ikibidi Helkopta ya kisasa ya kuzimia...
  16. S

    Uchumi wa Ujerumani umedorora baada ya kukosa Gesi ya bei nafuu kutoka Russia

    Germany went from envy of the world to the worst-performing major developed economy. What happened? ESSEN, Germany (AP) — For most of this century, Germany racked up one economic success after another, dominating global markets for high-end products like luxury cars and industrial machinery...
  17. Erythrocyte

    Wanafunzi Kukosa Viatu ni ishara ya wazi ya Umasikini wa nchi

    Huko Rwangwa ambako Rais Samia yuko ziarani , na ambako kila mwananchi aliyehudhuria Mapokezi ya Rais ameonekana ameshika bango la kumpomba , Wanafunzi hawana viatu . Ndiyo maana Chawa wa Mama wameamua kuomba hela wanakojua wenyewe na kugawa kwenye Kaya Masikini huku wakiongozana na mama...
  18. K

    Kuongea na simu Bungeni ni kukosa Umakini

    Hongera Spika Tulia Akson kwa kukemea jambo hili, mtu anaingia Bungeni anaanza kuongea na simu ni ushamba, pumbavu kabisa, wasichaguliwe Tena.
  19. MGUBA

    Kukosekana kwa umiliki wa moja kwa moja wa visima vya akiba vya uhifadhi mafuta huchangia bei kupanda?

    Serikari haina umiliki halali yaani moja kwa moja wa mafuta ya hakiba hivyo hupelekea mlipuko wa bei. Bei hupanda na kushuka hata kama kuna changamoto zinazo epukika mfano plani ya miaka kadhaa katika sekta.
  20. Idugunde

    Tafakuri: Bora ukose hadhi ya kibalozi kuliko kukosa heshima ya kutetea rasilimali za taifa lako

    Mobutu Seseko wa Zaire alikufa kifo chenye fedheha na kisichofaa hata kidogo maana pamoja na kushirikiana ma wezi wa rasilimali za Wazaire sasa Drc alifia ugenini na bila heshima yoyote. Hii ni kwa sababu alishindwa kuwa mzalendo kulinda rasilimali za taifa lake liwanufaishe raia wa taifa hilo...
Back
Top Bottom