kuku

  1. Pisi kali

    Nimeibiwa kuku wa nyama

    ..
  2. lufungulo k

    Vifaranga vya kuku vimekufa vyote tatizo ni nini wengine hata vichwa hawana

    Nimeingia bandani na kukuta hali hiyo nimechanganyikiwa kabisa
  3. Lethergo

    Bila uwepo wa Dini nathibitisha kwamba Wanaume wengi wangekufa kama kuku wenye kideri

    Bila Salamu. Wanabodi ninathibisha kwamba bila uwepo wa DINI ya kikristo na kiislamu basi nawahakikishia Wanaume wengi wangekufa kabla ya muda wao. Wanawake wengi hawana huruma kwa Mwanaume namaanisha wengi na ninaposema wengi naomba nieleweke namaanisha wengi. Yaani kwenye Wanawake 10...
  4. M

    INAUZWA TUNAUZA CAGE'S ZA KUFUGIA KUKU WA MAYAI NYAMA NA VIFARANGA

    Mifugo plus Tunauza vichanja vya kufugia kuku wa mayai,kuku wa nyama pamoja na za kulelea vifaranga. ■BEI ZA CAGE'S/VIZIMBA ■KUKU 96 BEI 650,000/=TSH. ■KUKU 128 BEI 850,000/=TSH. ■VIFARANGA 400 BEI 550,000/=TSH. ■KUKU WA NYAMA 120 BEI 950,000/=TSH. MAWASILIANO #0656446991 #0774608608...
  5. monotheist

    Nimejaribu kuandaa kuku kama wa KFC magetoni

    Baada ya kukutana na vidamu kwenye kuku wa KFC na bado bei kubwa mno nikaona msela sishindwi kitu nikaingia jikoni matokea hayo hapo mzigo upo safi kabisa
  6. kipara kipya

    Kuku wanaopikwa hotelini asilimia kubwa ni vibudu ambao huchinjwa na wanawake!

    Asilimia kubwa ya kuku wa mahotelini wengi wao huchinjwa na wanawake aidha kunyongwa shingo au kutiwa kwenye maji moto wakiwa hai ambapo baadaye hukatwa vichwa au kushikwa mwili na kichwa Maria au Grace akachinja bila wasiwasi. Maana kwa kuwa watu ni wabishi, fanyeni utafiti. Kwa wale wafia...
  7. ndege JOHN

    Mlioishi Ulaya na Amerika, eti huko wazungu wanakula kuku wa kienyeji au wa kisasa?

    Nachojua mzungu ana hela nyingi na kama ni kula daima anapendelea kula vilivyo bora sijajua kwa maendeleo tulionayo hapa duniani kiasi cha kuanza kufuga broiler wa biashara na wanaliwa kwelikweli. Nachojua hii teckonolojia ni ya kwao mataifa yaliyoendelea sasa swali ni je na wao wanawatafuna...
  8. M

    Nataka kuku waliomaliza kutaga 1000+(ex layers)

    Nataka kuku layers waliomaliza kutaga bei ya jumla 11,000 nipo dar es salaam, mawasiliano 0621 863 980,nataka kuanzia 1000+ na zaidi
  9. jangala22

    Sasso vs kuku wa nyama

    Habari za majukumu wanajamvi, Naomba kuuliza kwa mtaji wa laki sita nifuge kuku gani kati ya hao sasso au broiler nalenga kufuga kibiashara n.b banda tayari ninalo na vyombo vya chakula na maji ninavyo pia.napatikana mwanza . Nawasilisha naomba mawazo yenu wanajamvi natumai nitapata muongozo...
  10. JanguKamaJangu

    Biashara ya utumbo wa kuku Dar inahatarisha Afya za Walaji, Mamlaka chukueni hatua

    Katika Jiji la Dar es Salaam ambalo kwa mujibu wa Sensa ya Watu na Makazi wapo wakazi zaidi ya Milioni sita, shughuli mbalimbali za kibiashara zimekuwa zikifanyika kama sehemu ya Watu kujipatia kipato. Hata hivyo, miongoni mwa biashara ambazo zimekuwa zikifanyika nyingine uibua wasiwasi na...
  11. K

    KARIBU KWA MAHITAJI YA UDUVI KWAAJILI YA CHAKULA CHA KUKU.

    Kwa mahitaji ya uduvi safi kwaajili ya chakula ya kuku piga +255679903535 Karibu sana.
  12. Magical power

    Nyie kuku wangu amejiuwa

    Nyie kuku wangu amejiuwa je naweza kula kuku aliyekufa maana bado wa moto moto 👀
  13. Pisi kali

    Naomba kufahamishwa kuhusu uku wa mayai aina ya layers

    Hello wakulungwa Naombeni abcde..z kuhusu kuku wa mayai aina ya layers Nataka kufuga kuku 1000 layers Kampuni Interchic. Hadi waanze kutaga maximum nitakua nimetumia kiasi gani kwenye chakula n madawa (starter grower finisher nk) Changamoto zake nk Nb: nafuga wa nyama nina uzoefu na hao
  14. K

    Nauza dagaa kwaajili ya chakula cha kuku

    Habari ya leo wakuu, Ninauza dagaa kwaajili ya chakula ya kuku. Mawasiliano: +255679903535 Napatikana Dar es Salaam Bei: Ndoo ndogo 15,000. Ndoo kubwa 30,000.
  15. G

    Kitendo Cha Hezbollah kushambulia kuku wa Israel kwa Roketi za mamilion sio poa

    Nafikiri hata sponsor wao ajitafakari misaada anayowapa Kama inafikia lengo, unalengaje Banda la kuku Wakati adui wako anaua viongozi wa rank za juu Kila siku. Hadi second commander KUTOKA kwa first commender anayeongeaga kwa tahadhari akiwa zake shimoni Kama kuku aliona mwewe 😀😀😀
  16. M

    Mtu anayetaka kukutawala baada ya kukusaidia

    Aug 26th, 024 Dar es Salaam, Tanzania Saa 5:27 asubuhi ------------------------------- Habarini madada, makaka, na wazee wenzangu! Leo nivunje ukimya niongelee suala nyeti kidogo. Umewahi kusaidiwa katika point ya maisha yako, na aliyekusaidia akataka uwe mtumwa wake? Hiki kitu ni kansa...
  17. J

    Wapi nitapata machimbo ya chakula cha kuku Ruvuma

    Naombeni msaada kwa anayejua wapi nitapata machimbo ya chakula cha kuku chotara, kama uduvi, mahindi paraza, mashudu, pumba za mahindi nk kwa bei rahisi mkoani RUVUMA HASA KWA WILAYA YA MBINGA??
  18. MwanawaMUNGU41

    Kuku wa kienyeji na chotara

    Kwa mahitaji ya kuku wa kufuga na kula,kienyeji na chotara nitafute,ukihitaji vifaranga na mayai ya kutotolesha tafadhali usisite kunitafuta,karibuni sana wakuu.
  19. Street brain

    Kuna ile umeishiwa swagga unaanza kuuliza "kwenu kuna kuku wangapi"

    Ujue ukimtongoza Mwanamke halafu akishasema NDIO ama AMEKUBALI huwa ghafla unajiona huna cha kumwambia😀😀 yani maneno yote yanaisha kwa muda. Hii Anawaambia ya mwisho sirudii tena, Ukishamtongoza akasema amekubali kuwa na wewe hapo cha kufanya ni kumwambia Weekend naomba tuonane, Usimwambie lini...
  20. GENTAMYCINE

    Haya 'Kuku Brain Bado Tunatengeneza Kikosi Sports Club' vipi tumeshauzindika tayari Uwanja wetu tutakaoutumia uliopo Jirani kabisa na Kawe na Lugalo?

    Kwani za chini chini ninasikia Jamaa ambao wameshatuweza ndani na nje jana wamemalizana nao ili uwe Nuksi nasi.
Back
Top Bottom