Habari za jioni wakuu, kama kichwa cha habari kinavyosema.
Natotolesha mayai ya kuku 10000 kwa trei, tunauza vifaranga vya kuroiler na pure kienyeji, pia nakukua wanyama 200 wako tayari kwa biashara, nauza bata (Muscovy)
Napatikana Chanika kwa Singa, namba zangu ni 0746696878.
Karibu sana
Juzi kuna jamaa yangu kanipigia simu akawa ananieleza vitu sivielewi elewi.
Ni kitu kinaitwa Mr. Kuku Farms akidai ni mradi mkubwa wa ufugaji kuku una physical presence na ni kampuni iliosajiliwa ndio inaendesha huo mradi.
Yeye ameshawishika kuwekeza huko kwamba kuna faida nzuri compared na...
TANZIA:
MWANA JF MIGUU YA KUKU/ MPAUKO HATUNAE DUNIANI
Kwa mujibu wa rafiki yake wa mitandaoni ni kuwa Mpauko / MIGUU YA KUKU alifariki tarehe 23 /01/2020.
Chanzo cha kifo chake ni kujinyonga lakini hakuna taarifa ya sababu ya kujinyonga.
Rafiki yake anasema alipotezana nae mtandaoni toka...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu.
Ninafuga kuku wa kienyeji hapa shambani kwangu. Kwa kweli kuku wanastawi vizuri na nilishaanza kufurahia matunda ya jasho langu, lakini ghafla nilianza kuona mayai yakipungua wakati kuku wanataga kila siku. Niliamini pasipo na shaka itakuwa nyoka...
Wakuu ikiwa leo ni tarehe 31 mwezi wa 12, muda mfupi kabla ya mwaka mpya kuna kuku wa jirani, tena kuku kweli kweli ameingia jikoni kwangu na mlango umejifunga akiwa ndani, hapo nifanye nini?
Chumvi, vitunguu, mafuta, ndimu, pilipili mkaa na viungo vingine vipo.
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo juu.
Nauza kuku wa mayai wapo 540 (mia tano arobaini), bado wiki mbili waanze kutaga. Nawauza kwa bei ya jumla sh.MILLION 3.
SABABU:
Hii ni baada ya kukosa hela ya kuendelea kuwahudumia baada ya kusimamishwa kazi.
LOCATION: DODOMA
Waendesha Pikipiki maarufu Bodaboda hatarini kupata maambukizi ya VVU kutokana na Kushawishika kwa kile wanachodai kuwa baadhi ya abiria wao wa kike huwalazimisha kufanya ngono zembe kutokana na Kutokuwa na Nauli za Kuwalipa na Kuwaambia Wamalizane.
Pengine serikali ianzishe utaratibu wa kuwa...
Habari wadau wa mapishi, wapenda misosi mitamu.
Leo nawaletea pishi hili tamu sana baada ya kulionja nikaona niwaletee na nyie ndugu zangu wa JF ili mkapike nanyi mfaidi kama mimi nilivyofaidi.
Basi nisiwachoshe naomba mfatane nami katika maandalizi haya mpaka mtatoa kitu murua.
Viamba...
Na Elius Ndabila
0768239284
Ninawasalimia wafuatiliaji wote wa makala zangu za kila wiki. Ninawashukuru wote ambao baada ya kusoma mumekuwa na muda wa kunipigia kwa kunishauri, kunipongeza na kunikosoa. Nikiri kuwa ninyi mumekuwa chachu kubwa kwangu ya kuendelea kuwajuza mambo mengi ya...
Tunazalisha na kuuza vifaranga wa kuku chotara aina ya kuloiler
Vifaranga wanapatikana mara mbili kila mwezi na wanakua wameshapatiwa chanjo ya Mareks
Tupo Busweru, Mwanza
tunasafirisha kwenda maeneo jirani kama Shinyanga, Nzega, Musoma, Geita, Sengerema, Magu nk
Bei za vifaranga:
Umri wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.