kuku

  1. Pastory Kimaryo

    Naomba kuelekezwa namna ya kutengeneza vifaa vya malisho ya kuku

    Wana JF habarini za mchana, Nahitaji picha za malishio ya kuku ya kutengenezwa kwa maboksi au material yeyote kwaajili ya kulishia kuku kwa wale wanaotengeneza yao binafsi maana sina hela ya kununua ya dukani.
  2. dks1131

    Dawa ya kuku ya minyoo (flatworms)

    Wakuu habari yenu, naomba kufahamu dawa inayoweza kusaidia kuondoa shida hiyo ya minyoo(flatworms) katika kuku wangu. Nimejaribu kutafuta maduka ya madawa ya mifugo nilipo sijapata jawabu.
  3. B

    Ufunguzi wa kiwanda cha kutengeneza chakula cha kuku

    Habari za jioni ndugu wadau. Nimekuja na wazo la kuingia kwenye biashara ya kuzalisha chakula cha kuku wa mayai na nyama Mtaji 200M (kiwanja kibaha, jengo mashine, raw materials, Vibali n.k), Lengo ni kutengeneza/kuzalisha Tani 10 kwa siku. Naombeni mwongozo kwenye ununuzi wa hizi mashine...
  4. Eliya Dawa

    Mashine za kutotoleshea vifaranga vya kuku, bata kwa aina zake, kanga na kwale

    Habarin wakuu, Nina Uza mashine za incubator kwa atakae kuwa muhitaji. Mashine zinatoka china pia ukitaka toleo la mwingereza pia utapata. Kwa size yoyote unayoitaka.pia kwa anaetaka vifaranga vya kuku pia tunaweza kukudelivery popote ulipo. Kwa maelezo zaidi tuwasiliane kwa no zangu ni...
  5. GENTAMYCINE

    Msioolewa bahati iliyoje hii Mshindi wa 'Tuzo' ya Kimataifa 'amechoka' sasa kuwa 'Single' na anamtafuta Mwenza wake wale Kuku!

    "Panya Magawa yupo 'single' kwa sasa, kwenye vitengo kuna panya maalum kwa ajili ya kuzalishaji na tunawatambulisha kwamba huyu ndiyo mwenzake kama atakubali sawa maana anaweza kukataa na utaona dalili, na kama wamekubaliana utaona dalili za makubaliano yao," Mkufunzi wa Panya Magawa, Pendo...
  6. Ben Zen Tarot

    Nyumbanitu: Msitu wa ajabu mkoani Njombe wenye kuku weusi, ng'ombe weusi, mbuzi weusi na kondoo weusi

    Njombe ni mmoja wa mikoa 31 ya Tanzania, uliorasimishwa kuwa mkoa mwaka 2012 mara baada ya kutenganishwa na Iringa inayopatikana Nyanda za Juu kusini Kwa Tanzania. Hapo awali Njombe ilikuwa ni wilaya ndani ya mkoa wa Iringa ikiwa ina ukubwa wa eneo la mraba la Km 21,347. Sensa ya mwaka 2012...
  7. malela.nc

    Kwa wafugaji, kama unafuga Kuku wa nyama (Broiler) na hauna soko la uhakika

    Habari wakuu, Ufugaji wa kuku wa nyama umekua mkonbozi sana kwa wafugaji wengi lakini tatizo linakuja kwenye soko la uhakika la kuwauza hao kuku, mwisho wa siku wanajikuta wakiingia hasara. Habari njema kwao, kama wewe ni mfugaji wa hawa kuku wa nyama (broiler) na unapatikana Dar es salaam...
  8. Kiburi si uungwana

    Kuku ni utajiri ulio ndani ya sayansi na utaalamu na siyo mazoea

    Kuku ni mingoni mwa wanyama wanaopendwa sana duniani kwasababu huliwa na karibu watu wote,huzaliana kwa wingi, huishi popote na hula chochote. Kwasababu hizo kuku ndiyo ndege pekee aliyeenea kwa wingi duniani na kuliwa sana kuliko mnyama yoyote. kwa takwimu za sasa za dunia ni kuwa mahitaji ya...
  9. Kiburi si uungwana

    Ufugaji kuku sio mwanzo wa utajiri pekee, unaweza ukawa mwanzo wa umasikini wa uhakika. Zingatia yafuatayo ili upate mema kupitia kuku

    Kwa miaka ya hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa sana la watu kuweka ndoto za mafanikio kwenye swala zima la ufugaji kuku, swala ambalo watu wengi wanakosea kuingia kwenye ufugaji bila tathmini za kina HASA juu ya gharama na changamoto za ufugaji huo. Mara nyingi huwa tunaingia na mawazo...
  10. Zanzibar-ASP

    Uchaguzi 2020 Sera ipi inatekelezeka kati ya Wali kuku kwa watanzania (Hashimu Rungwe) VS Tanzania kuwa kama Ulaya (Magufuli)

    Mgombea urais kwa tiketi ya chama cha CHAUMA, Hashimu Rungwe amejikita katika ahadi ya kuhakikisha watanzania wanapata lishe bora kwanza, wali-kuku imekuwa ndio kibwagizo chake, na amekuwa akijitahidi kulitekeleza hilo kwa vitendo kwenye kampeni zake kwa kuleta kweli wali na kuku, na wananchi...
  11. M

    Uzoefu wangu katika ufugaji wa kuku

    Mwaka huu(2020) mwanzon niliamua kuanza ufugaji wa kuku chotara. Niliamua kuanza na kuku 120. Nlinunua vifaranga wa mwez mmoja Changamoto Magonjwa, hii ilkuwa changamoto ndogo magonjwa hayakuwa meng. Niliweza kuyatibu kwa wakati Ukuaji, niliambiwa wataanza kutaga wakifikisha miez minne.. lakn...
  12. pombe kali

    Soko la hisa toeni elimu Kuepusha kama mambo ya Desi na Mr. Kuku

    Najaribu kujiwekea Akiba ya hivi visenti vyangu kwa kuangalia tofauti ya taasisi mbali mbali. Kitu kinachonishangaza ni kwamba utaratibu wa mamlaka kutoa elimu ya kwenye haya masoko ya hisa imekuwa mgumu binafsi nimekwenda zaidi ya mara kadhaa DSE na UTT ila kiukweli sijaelewa chochote mbaya...
  13. S

    Tanzania tuliona Corona kwenye kuku na mbuzi tukawawajibisha wafanyakazi Maabara ya Taifa; China wanaona Corona kwenye kuku wanajiuliza wameingiaje!

    Juzi hapa China ilikuta kwamba baadhi ya mifuko ya kuku na kamba ilikutwa ina wadudu wa Corona (Covid-19). KIlichofuata ni kwamba serikali ya China ilianza kujiuliza maswali mengi kuhusu jinsi gani hao wadudu waliingia kwenye kuku na kamba ambavyo viliagizwa kutoka nchi ya Brazil. China...
  14. Ronee

    Huduma ya kutotolesha mayai ya kuku kwa kutumia Incubator. (Dodoma)

    Wakuu nimekula mayai ya kienyeji nimetosheka, sasa nahitaji niyabadili kuwa vifaranga ili nifuge kuku. Naomba anaetoa huduma tajwa hapo juu kwa Dodoma anijulishe nimletee mayai anitotoleshee. Ahsante.
  15. BLACK MOVEMENT

    JATU ni Mr Kuku mwingine, ni swala la muda tu

    Kuna mtu anajiita JATU na yeye ana model kama ya Mr kuku, ile ya kwamba toa pesa ulimiwe na uvuniwe. Huyu JATU kawavuta watu wengi sana mara mashamba Kitetto mara Morogoro. Model anayo tumia ni ya upatu ni Pyramid ambapo watu wa mwanzo hufaidika ili kuvuta watu wa mwesho ambao huja kuwa...
  16. Bujibuji Simba Nyamaume

    Wajasiriliamali wa Tanzania tuna lipi la kujifunza kutokana na makosa ya kiufundi / kitaalam ya Mr. Kuku?

    Watu ambao wana comment negatively ni kwa sababu ya kutokua na uelewewa na concept mpya ya crowd farming. Crowd farming ni kuanzisha kilimo aidha cha matunda au ufugaji wa kuku au ngombe nk. lakini kwa kushirikisha wadau wa kawaida kama Mimi na wewe ambao hatuna muda wa kusimamia ufugaji na pia...
  17. DIKASHWA

    Ya JATU Limited yasije yakawa ya Mr. Kuku

    Jatu LIMITED COMPANY ni kampuni ya umma inayowaunganisha wakulima na kuwawezesha kulima kisasa na baada ya mavuno kampuni hununua mavuno yote na kuandaa bidhaa ambazo huuzwa kwa mawakala na wanachama wa JATU kwa mfumo maalumu unaomhakikishia mteja gawio la faida kila mwezi. Pia ni kampuni...
  18. Magonjwa Mtambuka

    Wakenya wabadili shule na kuwa banda la kuku

    Corona inawafinya kisawasawa hawa. ====== Businessman turns school into poultry farm as Covid-19 bites A businessman in Kirinyaga County has converted his private school into a poultry farm as Covid-19 pandemic wrecks havoc in the education sector. Joseph Maina, the proprietor of...
  19. Analogia Malenga

    Uganda: Atuhumiwa kuua nduguze waliomtuhumu kuiba kuku na redio

    Mwanaume wa miaka 33, mkazi wa Lira, Uganda anashikiliwa na polisi baada ya kuwaua ndnguze waliomtuhumu kuiba kuku na redio Mtu huyo alimkataka mjomba wake, Jackson Olong na alimshambulia mke wa mjomba wake na kumkata koromeo. Mtu huyo aliwalaumu nduguze kwa kuchafua jina lake kuwa amewaibia...
  20. Dam55

    Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Rais Magufuli alitoa rushwa Kibiti Mil. 5 na akanunua jogoo laki moja wakati kashapitishwa kugombea Urais. Nitamuwekea pingamizi

    Amesema Rais Magufuli huku akiwa ameshatangazwa kuwa Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM kwenye Uchaguzi wa Oktoba 2020 ametoa rushwa Wilayani Kibiti kwa mujibu wa Fomu ya Kuweka Mapingamizi dhidi ya Mgombea Urais Amesema Rais Magufuli alipokuwa akigawa fedha kwa ajili ya madawati na shule...
Back
Top Bottom