* MATUMIZI YA CHANJO KWA KUKU*
👉Kwanza Kabisa ifahamike chanjo Kwa kuku sio chaguo ni lazima kwa usalama wa KUKU wako
👉Pia kuchanja kuku sio Kwa vile unavojiskia Ila Kwa Ratiba maalumu inayowekwa kutokana na umri wa kuku
HATUA ZA KUFUATA ZA KUTUMIA CHANJO IPASAVYO
👉Nunua chanjo, kama...
Habari wafugaji!!watu wengi wameuliza kuhusu tatizo la kuku kukudoana.kuku kudonoana husababishwa na vitu vingi sana kwa uchache kwa kuvitaja ni hivi.
1. Kuku kubanana au banda kua dogo ukilinganisha na idadi ya kuku.
2. Kuchanganya kuku wa umri tofauti
3. Upungufu wa madini
4. Vyombo vya...
SULUHISHO LA KUKU KUPUNGUZA KUTAGA
1. Wakague kuku wako na ukiwakuta wana utitiri au viroboto waogeshe kwa FIPROFARM AU TUMIA AKHERI POWDER
2. waongezee GLP katika chakula chao na Tumia LAYVITA (vitamin mahususi kwa kuku wanaotaga) kwa ajili ya kuzuia tatizo la upungufu wa virutubisho
3...
Sababu 10 Za Kuku Kupunguza Utagaji Mayai Na Nini Ufanye Kuongeza Uzalishaji Wa Mayai | Mshindo media.
Kupungua kwa mayai yanayo zalishwa kwa siku katika shamba lako la kuku watagao mayai ni dalili moja wapo inayo onesha kwamba kunatatizo katika kundi lako la kuku. Kulingana na utafiti ulio...
HATUA ZA KUFUATA ILI KUANZISHA MRADI WA KUKU:
👆Kutokana na wengi sana kunitafuta kuomba ushauri, hasa wafugaji wageni au wapya wanao anza kwamba waanzaje mradi wa kuku
👇Zifuatazo ni hatua sahihi za kufuata ili kuwa na mradi endelevu wa kuku
1.Moja Jenga banda la kufugia kuku wako, Kabla ya...
Ndugu Wana - CDM, ACT, NCCR, CUF hii ni taarifa kwenu kwamba baada ya kuhitimisha siku 21 za maombolezo ya kiongozi wetu Hayati Dkt John Pombe Magufuli sasa tutaelekeza nguvu zetu ktk kuwashughulikia kisiasa.
Demokrasia mnazoimbia Tanzania, Ubelgiji na Canada hatutataka kuzisikia - mkitaka...
TATIZO la kuku kuwa na TABIA zisizo faa/cannibalism limekua shida kubwa kwa WAFUGAJI wengi wa kuku aina zote, ilaa limekua likijitokeza sana hasa kwa KUKU wa MAYAI.
Tatizo hili pia limekua likijitokeza kwa kuku wa rika tofauti tofauti..ilaa linazidi pale kuku wanapo anza kutaga mayai
CHANZO...
Habari wadau.
Mwaka jana kulikuwa na taharuki juu ya uendeshwaji ya biashara ya Mr. Kuku mpaka kupelekea kushtakiwa kwa kosa la upatu na kupelekea wawekezaji wengi kupoteza fedha zao.
Mwisho wa kesi ile ilikuwa ni kutaifisha fedha za mr. Kuku zilizoshikiliwa na serekali na kumtoza faini ya...
Anatoa mapovu machoni, dawa yake nini ipi? Pia kuna kuku wanatagia sehemu moja unawatenganisha vipi ili kila kuku atagie sehemu yake.
NB: Wanaishi banda moja
Habari za jioni wana jamvi kwa anaehitaji bata aina ya Muscovy (bata wa kawaida), kuku wa kienyeji na sungura
Napatikana Chanika kwa Singa.
Call 0746696878
Kama kichwa kinavyojieleza wakuu,
Kuku wa jirani Yangu amepotea sasa jirani yangu huyu yeye badala ya kuniuliza kasafiri Kimya Kimya kwenda Sumbawanga sasa Matatizo huwayanatatuliwa hivyo Jamani.
Jana jioni ndio napata taarifa yake kuwa amekwenda Sumbawanga kwa ajili ya swala la kuku wake.
Wakuu salamu za asubuhi
Naomba mnitoe tongotongo, huu ni ugonjwa gani kwa kuku na dawa yake ni nini?
Kuku anakuwa kama amepaniki, anaangalia juu na mara chini, anazungukazunguka, anarudi kinyumenyume, yaani fujo tupu.
Hata kula anashindwa ni kama amepata kichaa. Mimi siuelewi huu...
Wafugaji wa kuku wa nyama na mayai wametakiwa kujisajili kisheria ili waweze kutambulika na kufanya kazi ya ufugaji kwa ufuata sheria zilizowekwa.
Imeelezwa kuwa wote ambao hawajasajiliwa lakini wanafanya kazi ya ufugaji kuku, hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yao.
Mpaka sasa takwimu...
Hawa croiler tunaambiwa wanakaribiana na kuku wa kienyeji tofauti na broiler ambao ni pure kuku wa kisasa.
Ukifuatilia utagundua tofauti yao inatokana na jinsi wanavyozalishwa(cross breeding) ila kwakweli hawa kuku kiuhalisia ni wale wale tu na tofauti ni ndogo sana.
Kwa mfano, nyama ya...
Huu ni ugonjwa gani..kuku anakua kazubaa na akisinzia kuna mda kichwa kinageuka kama hivo..hizo dalili amekaa nazo kwa siku 2-3 hivi
Kinyesi chake ni cha njano chenye maji mengi picha ipo hapo.
Ni kifaranga chotara.
Habari wapendwa
Nami leo nimeona niandike machache kuhusu nilichojifunza kupitia sakata la Mr Kuku. Nimepata msukumo zaidi baada ya kuona lawama ni nyingi zaidi hasa kwa Serikali (DPP) na wengine kwenda mbali kwa kukilaumu Chama Cha Mapinduzi. Niseme tu kwamba serikali hii ya Mh Dr John...
Mahakama ya Hakimu Mkazi, imemhukumu mfanyabiashara Tariq Machibya maarufu Mr Kuku, kulipa faini ya sh. milioni tano au kwenda jela miaka 5, baada ya kutiwa hatiani kwa makosa mawili ambayo ni kujihusisha na biashara ya upatu kwa kukusanya fedha kutoka kwa umma na kukubali kupokea miamala ya...
Kuroiler ni kuku Chotara ambae hupatikana kwa kupandishia kuku wa jamii mbili tafauti ili kupata matokeo mazuri zaidi ukilinganisha na kuku wa kawaida.
Matokeo hayo ni pamoja na kutaga mayai mengi au/na pia kuwa na miili mikubwa kwaajili ya nyama.
Hivyo kumfanya mfugaji wa kibishara kupata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.