Inawezekana hii ni mojawapo ya sababu ya kujitokeza mamia ya watia nia kwenye kura za maoni kwenye kiti cha mgombea urais 2015, urais Z'bar 2020 na ubunge 2020, sio kukua kwa demokrasia kama inavyodaiwa na viongozi mbali mbali wa CCM.
Je, tunafikiri viongozi watangulizi walikuwa hawapewi...
Chama cha Sauti ya Umma (SAU) kimesema kina sera ya kuboresha maisha ya Mtanzania kwa kuhakikisha Mtanzania anakula lishe bora, ili mtu aweze kula kuku mzima na kama anakunywa chai basi aweze kuwa na siagi, matunda, mayai na mboga.
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Moshi Mjini kupitia SAU amesema...
Habari wadau wa JF,
Wamiliki wa Samaki samaki waja na brand nyingine ya migahawa yao inayojulikana kama KUKU KUKU,mainly chakula chake kitakuwa Kuku Choma,Kuku Mchemsho etc
Nawasilisha.
Uko uzi umu watu walikuwa wanauliza kama ule uwekezaji wa kuku uko vizuri ili wajiunge.
Kama uko hapa jukwaani na umelizwa ni vizuri utupe mrejesho. Hii "story" huwezi kuisikia sana sababu watu wengi wanaolizwa mahela mengi mchana kweupe katika hizi fursa za uwekezaji ambazo zina "trend"...
Mahitaji (Kutumiwa na watu wa 4)
・Mapaja 2 ya kuku (gramu 500)
・1/2 kijiko kidogo cha chumvi (gramu 2.5)
・Pilipili manga kwa ajili ya kutia ladha
・Vijiko vikubwa 2 vya sosi ya soya (mililita 30)
・Vijiko vidogo 2 vya maji maji ya tangawizi (mililita 10) juice ya tangawizi kamua.
・Unga wa ngano...
Wadau habari za usiku. Najua JamiiForums ni kisima cha maarifa, naomba ushauri kwa anayefahamu. Nina miti yangu ya matunda nataka kuotesha, nyumbani ninayo mbolea ya kuku (mavi ya kuku) nilitaka niitumie ila kuna watu wameniambia kuwa si nzuri kama ya mbuzi au ng'ombe, wanasema eti inainguza...
Mahitaji
Nyama ya Kuku
Viazi/mbatata - 3
Kitunguu maji - 1
Kitunguu saumu(thomu/galic) - 5 chembe
Pilipili mbichi - 2
Nyanya ya kusaga - 1 kijiko cha chai
Pilipili manga ya unga - ½ kijiko cha chai
Haldi/tumeric/bizari ya manjano - ¼ kijiko cha chai
Mafuta ya zaytuni - 2 vijiko vya supu...
Nauza majogoo ya kienyeji tsh 15,000 na majogoo mengine yenye uzito wa kilo 2 yanapatikana kwa tsh 23,000 . Napatikana morogoro mjini kwa mawasiliano unaweza kunipata kwa namba 0622482679 . Plz support my hustle 🙏 WAPO
Kwa wafuatiliaji wa tamthilia ya NYAVU kwenye dstv , huyo mrembo FIFI kabarikiwa trakooo hadi limemzidi akitembea. Hivi anatumia jina gani mtandaoni ? yaani hapa hakuna cha Uwoya wala Lulu , dogo yuko vizurii sema inaonekana kakosa matunzo tuu
Huyu kocha naona huu ndo muda muafaka kwa uongozi wetu kumtimua maana kila siku anazoendelea kubakia timu nayo inaendelea kuwa mbovu.
#kishingoout#kishingorudikwenu
Leo natamani kutoa elimu juu ya malezi ya vifaranga wa kuku wa kienyeji ili kupata tija. Napenda niwatoe wasiwasi kwa kuwajulisha kuwa haya mafundisho nitakayoyatoa nimeyasomea ( Agricultural science) na pia nimeyafanyia uchunguzi.Natamani yale mafupi sana ila yenye ubora
Kwanza kabisa napenda...
Wakuu habari natumaini wazima
Ninapenda kuuliza kwa wale wachomaji wa kuku au ambao wana maarifa kidogo kuhusu uchomaji wa kuu.
1. Ili kuchoma nyama ya kuku iwe tamu inatakiwa kuchomwaje?
2.Kuna utofauti wowote wa kuchoma kuku hawa wa broiler na kienyeji?
3. Maandalizi kutoka kumchinja kuku...
Leo ikulu chamwino mtukufu rais Magufuli amewapa zawadi ya tausi 25 kwa kila moja kwa marais watatu wastaafu na idadi hiyo kwa mjane wa baba wa taifa Mama Maria Nyerere, nampongeza kwa hilo na ni jambo la kizalendo sana
Lakini nikirudisha kumbukumbu zangu vizuri nyuma nakumbuka mtukufu alimpa...
Nilikuwa naomba kufahamu ni mkoani gani ambao una mbegu nzuri ya kuku wakienyeji kwa ajili ya kufuga na bei za hao kuku zikoje.
Na gharama za usafirishaji zikoje ?
MAGONJWA YA KUKU NA TIBA ZAKE
UTANGULIZI
Kuku kama wanyama wengine hushambuliwa na magonjwa mbalimbali ambayo mengine yanatibika kwa dawa na mengine hayana tiba bali kuku hupewa chanjo maalumu ambayo huzuia magonjwa hayo.Leo nitawaeleza baadhi ya magonjwa ambayo hushambulia kuku mara kwa...
Wanabodi,
Mtu unachokiandika, ndicho unacho kiwaza!, kuna watu, tunaishi nao, tunakula nao, tunalala nao, tukidhani ni binaadamu wenzetu, kumbe ni machoni tuu ndio kama watu, lakini mioyoni ni mashetani wakubwa!. Mtu unaombeaje binaadamu mwenzako afe kwa Corona?!. Can't believe this wickedness...
Naamini mko salama wakuu,
Mimi pia ni mfugaji mpya. Nimeanza na jogoo mmoja mkubwa sana, nilimnunua kama kitoweo ghafla nikaghairi tokana na ubora wa jogoo huyo, lengo la uzi huu sasa ni kuwaomba ndugu wafugaji kuniuzia mitetea kumi ya adabu ili niendelee kujikwamua.
Niko dodoma na...
Habari wana chamvi, nimesoma uzi kuhusu mada tajwa hapo juu nami nataka kushirikishana uzoefu wangu kuhusu huyo 'mwekezaji".
Huyo bwana anaitwa Tariq, mwaka juzi 2018 nilisoma bandiko lake fb kuhusu mradi wa kilimo cha nyanya cha umwagiliaji, ahadi ilikuwa nzuri kuhusu faidi ambapo kiwango cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.