kuku

  1. sky soldier

    Je, ni sawa kuendeleza utamaduni wa baba kupewa mapaja na firigisi ya kuku?

    Naona huu utamaduni umekaa kimfumo dume na kuvuka mipaka. Sometimes hata watoto nao wale hayo mapaja.
  2. MWANDENDEULE

    Nini chanzo, na tiba ya shingo ya kuku kupinda kuelekea kishoto au kulia kusiko kawaida?

    Huu ugonjwa unaopelekea kuku kupinda shingo kuelekea kushoto au kulia husababishwa na nini? Pia nini tiba yake?
  3. CASSIUS

    Poultry farm Manager (Msimamizi wa Shamba la Mradi wa ufugaji wa Kuku wa Nyama)

    Anahitajika mtaalamu wa kilimo na mifugo mwenye elimu ya kuanzia ngazi ya stashahada mwenye ujuzi na uzoefu kwenye tasnia ya ufugaji wa kuku wa nyama wa kisasa. Eneo la Mradi: Kazimzumbwi - Kisarawe (Pwani) Anatafutwa mtu mwenye sifa:- Mwenye ujuzi na uzoefu wa kusimamia na mradi wa ugugaji wa...
  4. AA TANCH TRADING COMPANY

    Incubator ni nini? Inatumikaje ? na ni kwa kiasi gani itaniongezea uzalishaji wa kuku wa mayai?

    Nini maana ya Incubator ya mayai? Eggs incubator? Ni jinsi gani ya kuitumia Incubator kuyapa joto mayai? Ni kitu gani nifanye kabla ya kuweka mayai ndani ya incubator? Nini kitatokea nisipogeuza mayai ndai ya incubator mara kwa mara? Je kuna incubator ambazo zinageuza mayai zenyewe? Nitajuaje...
  5. Political stability

    Ugonjwa huu wa kuku nawezaje kuudhibiti?

    Huu ugonjwa unaitwaje? Unasabishwa na nini? Na jinsi gani naweza kuudhibiti?
  6. D

    Ukiweka ushabiki pembeni; Wanaume tumeumbwa ili kupiga bao moja tu kama kuku wafanyavyo na kusepa

    Ukiachilia mbali mwanamke kutakiwa kuingiliwa kingono siku za mimba! Wanaume tumeumbwa kwa mfumo uleule wa wanyama na ndege! Kikawaida mwanaume unatakiwa ukisimamisha ndipo utafte wa kumla, na ili uone radha unatakiwa ufanye bao moja tu usepe zako, uzungukee wee halafu ufike tena ukamate upige...
  7. Livingson1

    Aina za ujasiriamali zinazoweza kumtoa kijana kimaisha

    1. ufugaji wa kuku. Ufugaji wa kuku wa kienyeji ama kuku wa kisasa. Faida zake zinatokana na uuzaji wa mayai, nyama ya kuku, kuku wenyewe, vifaranga, mbolea n.k _ Ndege wengine wenye faida kama za kuku ni kanga, bata wa aina tofauti, njiwa, kware n.k 2. Ufugaji wa mbuzi. Mbuzi faida zake...
  8. J

    SoC01 Utashi wa kuku na mustakabali wetu wa uongozi

    Kuku ni kiumbe chenye utashi wa ajabu kama walivyo viumbe wengine ambao ni tofauti na binadamu. Mtu anapotaka kumtega kuku aliyepo katika kundi la kuku wengi hurusha punje za mahindi, mchele au mabaki mengine ya chakula. Kundi la kuku litaanza kumfuata taratibu mpaka ndani, kisha anafunga mlango...
  9. Mung Chris

    Napata wapi hizi racks za kuku na wanauzaje

    Hizo hapo za kuku wa mayai wanauza wapi na kwa bei gani
  10. T

    Dawa ya kuku mpya tatu kwa moja inapatikana wapi kwa Mbagala, Kariakoo na Buguruni

    Wadau Habari zenu. Kuna dawa kuku mpya nilisikia muda kidogo ikitangazwa kwenye redio jina sikumbuki vizuri maana nilisikia kwa mbali tatu kwa moja yaani inakuwa na newcaster na mchanganyiko wa dawa zingine mbili na kufanya kuwa mchanganyiko wa dawa tatu kwa pamoja sasa swali langu kwa kisiwa...
  11. A

    Kuna athari gani kutumia mayai/ nyama ya kuku wa kisasa?

    KUNA ATHARI GANI KUTUMIA MAYAI/NYAMA YA KUKU WA KISASA? . Kumekuwa na imani kwamba nyama au mayai ya Kuku wa Kisasa vina madhara mwilini. Madhara ambayo yamekuwa yakitajwa sana ni pamoja na kunenepa kupita kiasi, kupungua kwa nguvu za kiume, n.k. Imani hii imekuwa ikihusishwa na dhana kwamba...
  12. Quavohucho

    SoC01 Ufugaji wa kuku wenye tija na matumizi ya teknolojia

    Ni jioni tulivu ,jumapili ya tarehe 14/7/2021 ni siku niliyoamua kwenda kumtembelea mjasiliamali anayejihusisha na ufugaji wa kuku wa kisasa , ilikuwa safari nzuri sana toka maeneo ya iringa mjini hadi iringa vijijini, kwa mfugaji na mjasiliamali huyu maarufu kama mzee mwenda , Ilikuwa ni...
  13. theriogenology

    Mwongozo wa ufugaji wa kuku wa nyama (Broiler)

    HATUA KWA HATUA UFUGAJI WA KUKU BORA WA NYAMA (BROILER) Lengo la makala hii ni kukuwezesha wewe mkulima kupata kuku wa nyama wenye uzito sahihi kukuwezesha wewe kupata faida. Hivyo basi wewe kama mfugaji ni vyema ukajua ya kwamba wiki mbili za mwanzo katika uleaji wa kuku wa nyama ni muhimu...
  14. MkulimaAgriClinic

    Fahamu kuku ghali zaidi duniani

    Kuku Wa kabila la Dong tao ambao wanatambulika kwa kuwa na miguu minene ndiyo kuku ghali zaidi duniani.Kuku hawa huuzwa kwa bei hadi kufikia dola za marekani 2000. Wanapatikana kwa wingi nchini Vietnam. Awali kuku hawa, walitumika kama mapambo katika nyumba za kifalme, sasa hivi...
  15. A

    Ukiwa vegetarian ghafla unafika ukweni, unakuta wamechinja mbuzi na kuku kwa heshima yako

    Mchumba ulikutana nae kazini. Wazazi walisikia uwepo wako katika maisha ya binti yao. Kilichokupeleka ghafra ni taalifa ya ugonjwa wa mama yake. Mezani mnakuta vyakula vyote na kilichokosa nyama ni kachumbali tu. Unaishia kula wali na kachumbali.
  16. C

    Kuku wangu wanavimba macho

    Wajuzi naomba mnisaidie, kuku wangu wanavimba macho! Yanafumba! Wanasinzia! Pia wanapata choo cha rangi ya kahawia! Niwape dawa ipi!? ======== Zaidi soma: Msaada: Kuku wangu wanavimba sehemu za usoni
  17. njule

    Mpishi wa kukaanga chips na kuku

    Habari wana JF Anahitajika haraka mpishi aliye kua mtalamu waku kaanga chips na kuku, kuchoma kuku na mishkati na mapishi mengine aina hio ya jiko. Anatakiwa awepo Dar. Tuwasiliane 0789155571
  18. Planett

    #COVID19 Indonesia: Miji yazawadia wananchi kuku kwa wanaopata chanjo

    Habari wakuu, Huko nchini Indonesia katika mji wa Cipanas wamebuni mbinu ya kuwashawishi wazee (watu wenye umri mkubwa) wabishi wasiotaka kupokea chanjo ya COVID 19 kwa kuwazawadia kuku mmoja pale watakapokubali kuchanjwa chanjo hiyo. Mbinu hiyo imezaa matunda kwani wazee wengi wamejitokeza...
  19. Roving Journalist

    Kanusho la kuwepo kwa Mayai ya Kuku kutoka nje ya Nchi yaliyosababisha kushuka kwa bei ya Mayai Nchini

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Dodoma, Juni 17, 2021 A: UVUMI KUHUSU TAARIFA ZINAZOZUNGUKA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII (SOCIAL MEDIA) JUU YA UWEPO WA MAYAI YA KUKU KUTOKA NJE YA NCHI YALIYOSABABISHA KUSHUKA KWA BEI YA MAYAI NCHINI Ndugu waandishi wa Habari, Tarehe 14/06/2021 Wizara ya...
  20. T

    Gharama kiasi gani kulisha kuku 500 wa nyama kwa Dar es Salaam mpaka kuuza?

    Habari wadau wa ufugaji Naomba kujua gharama za kufuga kuku wa nyama idadi 500 kuanzia siku ya kwanza mpaka hadi kufikia mwezi kwa mtu ambaye anafanya shughuli hizo au alishawahi kufanya kwakipindi kisichopungua miezi 8 iliyopita.
Back
Top Bottom