kuku

  1. M

    Kuku mweusi ni kuku ghali zaidi duniani

    According to Greenfire Farms, the Ayam Cemani is the "most unique chicken on the planet." It's found in Indonesia and its pitch black color is what's made it famous. Not only are their feathers and skin a dark hue, but their bones, muscles and organs are even black. Many kinds of chicken have...
  2. TATACHACHA

    Ushuhuda wangu kuhusu RADI (my own testimonial)Nimeshuhudia RADI! Mara mbili, Ni kweli RADI ni kuku kabisa! Tena jogoo anaevutia haswa!

    Naam, Kumekuweko na speculation nyingi kuhusu RADI. Nyingi zikihusisha radi katika makundi mawili, ambayo ni radi kisayansi,kama umeme asilia na Radi kiimani. Wengi wakiihusisha na ushirikina. Binafsi ziko katika upande wowote Kati ya hizo pande mbili hapo juu, bali naeleza kile nilichopata...
  3. B

    Formula uchanganyaji wa chakula kuku wa mayai miezi 2 hadi 4

    Habari ndugu zangu, Naomba mwenye ufahamu wa formula ya kuchanganya cha kula cha kuku wa mayai wenye miezi 2 hadi 4. Naomba nitumieni.
  4. Lastmost

    Ugonjwa wa kuku kupata vipele kwenye utumbo unasababishwa na nini?

    Salaam, Habari za mchana huu? Wadau ninaomba kujua kwa mwenye uelewa wa huu UGONJWA. Leo nimechinja kuku, nikakuta utumbo wake una vipelevipele, ila kuku alikuwa mzima kabisa kabla sijamchinja. Wataalamu naomba kujua ni ugonjwa gani na unasababishwa na nini?
  5. 0

    Fumbo la kuku

    Pamoja na udhalimu wote ambao kuku anafanyiwa na bidamau bado kuku hajawahi kuuwaza Uhuru wake..!! Sio kuku tu hata binadamu hajawahi kufikiria kumpatia kuku Uhuru wake ili akaishi mbali kwa amani pasi na hofu ya kisu chake..! Kwa hifadhi ya mabanda machakavu pamoja na shibe ya masalia ya...
  6. D

    Natamani Sana kuanza ufugaji wa kuku kibiashara lakini bado sijaamua nifuge aina gani ya kuku kati ya broiler na chotara

    Lengo langu ni kuanza na kuku 1000 lakini bado sijapata taarifa kamili za mradi wenyewe ninaotaka kuuanza mabanda ninayo kuna Mtaalam aliyakagua akayapitisha kuwa yanafaa. Taarifa ninazoomba mnisaidie kushea ni tofauti ya ulaji wa broiler na Chotara, mtaji kiasi gani Kwa broiler au Chotara na...
  7. M

    SI KWELI Mayai ya Kuku kutoka nje ya Tanzania, yalisababisha kushuka kwa bei ya Mayai

    Juni 14, 2021 mitandao mbali mbali ya kijamii ilirindima kwa uvumi kuwa kuna mayai ya kuku kutoka nje ya Tanzania ambayo yamefanya mayai nchini yauzwe kwa Tsh. 4000 kwa trei la mayai 30, hali iliyoleta taharuki kwa wafugaji wa kuku nchini.
  8. K

    Jinsi kuku walivyonizuia kuhudhuria msiba wa kaka yangu

    Ilikuwa mwaka 2011 nilipata kazi ya mkataba wa miaka 2 kijiji kimoja cha huko kwa wahaya Kutokana na kukuta huko bei ya kuku iko chini nilianza kuwanunua kidogo kidogo ili wakiwa wengi niwe naenda kuwapush Town baada ya miezi mitatu nilikuwa na kuku zaidi ya 40 ambao nilikuwa ninawahifadhi...
  9. Z

    Ninanunua kuku wa kienyeji, kuku wa kisasa(broiler), chotara na layers

    Habari wakuu, Ninanunua kuku wa kienyeji, kuku wa kisasa(broiler), chotara na layers (waliomaliza kutaga au waliokomaa vizuri). Hivyo naomba mwenye nao tuwasiliane au yoyote anaejua wapi wanapatikana pia tuwasiliane. Niko Dodoma mjini. Tuwasiliane 0759724391.
  10. I

    Nikipeleka kuku chotara kijijini nitapata matokeo mazuri?

    Wakuu hivi kwa mazingira ya kijijini ambapo kipato cha wengi ni cha chini, kuku wa chotara wataweza kuboresha maisha ya mwanakijiji? Na kama sio hao, je ni kuku wa aina gani ni chaguo bora zaidi?
  11. M

    Twaha Mwaipaya apata dhamana

    Mratibu wa Uhamasishaji Bavicha Taifa Mhe. @Twaha_Mwaipaya amepata dhamana usiku huu. Twaha amedhaminiwa na watu wawili, Jeshi la Polisi limemtaka kuripoti Julai 08, 2022.
  12. mtwa mkulu

    Natafuta vifaranga vya uhakika vya kuku aina ya Croila nipo Mbeya

    Ndugu, naulizia ni wapi nitapata Croila kwa uhakika nipo wilaya ya Kyela mbeya. Ahsanteni
  13. Mwalimu interprises

    Njia rahisi ya kupata mafanikio kwenye ufugaji wa kuku wa mayai

    Cage za kuku wa mayai. Layers Cage. ¹kutokana na mfumo wa cage zetu ulivyo boreshwa kuku watakuwa salama saana na kuepuka magonjwa kwa asilimia zaidi ya 85%. ²Usalama wa mayai ni 100% mfumo uliowekwa ni wa kisasa na kumfanya kuku asiyakalibie mayai. ³utafuga kuku wengi saana katika eneo...
  14. Kukutz

    Kuku aina ya sasso wanauzwa

    SASSO WANA MIEZI MITATU NA WIKI MMOJA. WAPO 40 BEI 12,000/= WANAFAA KWA NYAMA NA KUFUGA BAGAMOYO ZINGA KWA MTORO CALL 0788682714
  15. Jamii Opportunities

    Sales Representatives at Kuku Project Tanzania Limited

    Sales Representatives (3 Positions) Kuku Project Tanzania Ltd Kuku Project Tanzania Ltd incorporated under the Companies Act No. 12 of 2002 which operates as financial institution since 2008 whose principal business activities are provision of different Agriculture facilities to individuals and...
  16. Pdidy

    Kuna vikundi vilitangaza kugawa vifaranga bure, lakini wameanza kuwatoza hela waliojitokeza

    Ndugu wapendwa Kumezuka upatu nyingine kwa style tofauti Hivi sasa kuna makampuni yanajitangaza kutoa vifaranga/vyakula vyake bure kwa wananchi Wameanza kukusanya watu kila kona ya Tanzania wakihadaa kuwapa vifaranga na vyakula bure Baada ya kufikia malengo ya idadi..Vile vikundi havijapewa...
  17. Nyuki Mdogo

    Nielekezeni mapishi Bora na ya kuvutia ya miguu ya kuku

    Nimeikuta sehemu inauzwa shing 100 kwa kila mguu. Nimezoa ya 2000 nikapewa 2 nyongeza. Bado natafakari niipike vipi iwe mitamu na ya kuvutia. naombeni maelekezo tafadhali
  18. Indoraptor

    Kuku wa kienyeji huanza kutaga tena baada ya muda gani kama hajalalia mayai?

    Habari wanajamvi, Sina uzoefu na ujuzi wa ufugaji wa kuku. Nauliza tu kuku wa kienyeji huanza kutaga tena baada ya mda gani endapo amemaliza kutaga na nimemnyima kulalia mayai?
  19. Lastmost

    Dawa ya mafua ya kuku

    Wakuu habari za muda huu, naomba kama kuna mtu anajua dawa ya kuwapa kuku wenye mafua. Wanakohoa na kusinzia. Natamani kujua dawa yoyote,hata kama ni za miti. Ni kuku wa kienyeji. Natanguliza shukrani
  20. K

    Lipo wapi Soko la kuku wa kisasa DSM

    Nataka nianze kufuga kuku hawa wa kisasa wa mwezi mmoja, soko nitalipata wapi niwe nauza kwa jumla. Nataka nianze na kuku 200 kwanza. Kuna mtu aliniambia Shekilango, sasa anaejua utaratibu wa Shekilango tafadhali aniambie.
Back
Top Bottom