kuku

  1. Titia

    Naomba ushauri, nataka kufuga kuku chotara kidogo kwa ajili ya kuongeza mzunguko wa hela

    Habari wana jamii, Naomba mnishauri, mimi ni mfanyakazi serikalini. Muda mrefu nafikiria biashara ya kufanya lakini nashindwa. Sasa hivi nimeamua kuanza kufuga kuku chotara. Nataka kununua kuku chotara vifaranga mia moja. Nivitunze na kuvilisha vzr, lengo nataka muda ukifika 40 niviuze halafu 60...
  2. judey

    Natafuta namna ya kusafirisha kuku kutoka Kahama kwenda Dar es salaam

    Natafuta usafiri wa kusafirisha kuku kutoka Kahama hadi Dar es salaam kwa bei pouwa na kwa usalama mkubwa
  3. Sky Eclat

    Uhusiano wa utitiri na misiba wafugaji wa kuku hasa wakienyeji wataelewa

    Utitiri ni wadudu wadogo sana weupe hutokea kwenye mabanda ya kuku. Unapookota mayai au kufagia banda wanakurukia. Sijafahamu wanatokana na nini lakini huwa wanakera sana. Ukitokea msiba, ukienda tu msibani ukirudi utitiri umetoweka. Hili ni fumbo lililonisumbua sana utotoni.
  4. balimar

    Nahitaji Mbolea ya Kuku pure isiyochanganywa na kitu chochote

    Waungwana Habari!! Kwa wafugaji wa kuku naombeni kupewa miongozo ya upatikanaji wa hiyo mbolea kiasi cha gunia kama 30 hivi. Naomba vitu vitatu nivijue Mosi, wapi ilipo hiyo mbolea niifuate Mbili, bei ni kiasi gani kwa gunia? Ni lini naweza kuanza kuifuata hiyo mbolea Nakutakia Jumapili...
  5. balimar

    Nahitaji Mbolea ya Kuku pure isiyochanganywa na kitu chochote

    Waungwana Habari!! Kwa wafugaji wa kuku naombeni kupewa miongozo ya upatikanaji wa hiyo mbolea kiasi cha gunia kama 30 hivi. Naomba vitu vitatu nivijue Mosi, wapi ilipo hiyo mbolea niifuate Mbili, bei ni kiasi gani kwa gunia? Ni lini naweza kuanza kuifuata hiyo mbolea Nakutakia Jumapili...
  6. emmarki

    Marination nzuri kwa nyama choma mbuzi, ng'ombe au kuku

    Kwenu wataalamu wa kuchoma nyama za aina zote. Naomba tips za kibabe kuhusu namna ya kumarinate nyama kabla ya kuichoma na baada. Viungo gani vitumike, kiasi gani, balancing ya moto haswa kwenye jiko la mkaa iweje.
  7. M

    Nauza kuku aina ya sasso

    Habari wakuu. Kuku wapo Kahama wana miezi 4 na wiki moja. Idadi wapo 150. Bei 12000, maelewano yapo. Simu 0755868463. Karibuni.
  8. dongbei

    Bei za vyakula vya kuku mikoa mbalimbali Tanzania!

    Habari wadau, Naomba kama una taarifa ya bei (prices) za vyakula vya kuku maeneo ulipo. Unaweza kutueleza pia bei hizo ni kwa kipimo gani, labda gunia, debe au hata kilo. Lengo ni hasa kutambua wapi kuna fursa za kununua vyakula hivyo na kuuza. Mfano: Kwa Arusha bei ya gunia moja la Pumba...
  9. hata mimi

    Wafugaji wa kuku wa kienyeji tukutane hapa

    Tujadili kuhusu kuku wa kienyeji -Naanza kwa kuuliza hivi unamgunduaje jogoo angali kifaranga? -Tunaambiwa mdondo hauna tiba, je inachukua muda gani kuku akishapatwa na ugonjwa huo?
  10. M.COLLINS

    Kuku wangu wanakohoa na kukoroma, naombeni msaada

    Wakuu mimi kuku wangu wanakohoa na ukiwasikiliza ni kama wanakoroma umri ni wa Mbezi miwili na vifaranga wa week moja na siku 6. Hii issue imedumu kiasi maana niliwapa Fluban siku 5 ikawa bado nilipata kifo kimoja kwa (Watoto), siku 3 mbele nimewaanzishia dose nyingine ya TYDOX EXTRA Wakubwa...
  11. N

    Tunauza Kuku aina ya Kuroiler tupo Bunju "A" Kituo kwa Baharia

    Tunauza kuku aina ya Kuroiler F1, tunapatikana Bunju A, kituo "kwa Baharia", jirani na Kituo cha Mafuta cha GUDAL. Bei ni kuanzia 14,500-18,000..kutokana na uzito wa kuku. Bei ya jumla kuanzia kuku 10 tunafanya 15,000. Weka oda yako mapema na karibu tukuhudumie kwa uaminifu kabisa...
  12. Idugunde

    CHADEMA mmepoteza matumaini ya kisiasa mnahaha kama mbweha msituni, hamjui mtaji gani wa kisiasa utawatoa. Mmebaki kuomba dua la kuku.

    Mtaji gani wa kisiasa utawatoa mrithi sasa hivi? Ufisadi? Maana mlizoea kusema CcM ni mafisadi. Mmebaki kudandia hoja ya uchaguzi wa Spika na mnashadidia kuliko hata wanaCCM wenye mandate ya kuteua na kuchagua spika. Kesi ya ya ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake itawapa mtaji na kupata...
  13. CoderM

    Naingia kwenye kufuga kuku chotara (Saso)

    Baada ya mvua za msimu huu kuwa za kusita na kupoteza mbegu kwa kupanda zaidi ya Mara mbili na kuungua na jua, huku nyanya nazo zikiwa zinachechemea, nimeamua kuanza ufugaji wa kuku chotara Aina ya sasso wakati tunaendelea kusubiri neema ya mvua Kama itatuwezesha kuvuna. Mpango ni kufikisha...
  14. S

    Suluhisho kwa wafugaji wa Kuku chotara

    Kheri ya mwaka mpya kwa wafugaji wote. Kumekuwa na changamoto nyingi wanazopitia wafugaji hususani kipindi cha kuanza ufugaji wao wa mara ya Kwanza. Changamoto hizi huchangiwa na kutokuwa na elimu sahihi ya ufugaji au taarifa sahihi kuhusu ufugaji. Haya yote husababisha mfugaji huyu kupoteza...
  15. Rogart Ngaillo

    Nahitaji mshirika katika ufugaji kuku wa kienyeji na bustani

    Msimu wa sikukuu uwe mwema kwenu! Tangu mwaka jana niko kijijini kutafiti namna gani ufugaji na vifanananavyo vinaweza kuniongezea kipato,kwa ufupi kila nilichojaribu kimeonesha kina uashiria wa tija hapo mbeleni. Mfano: ■ Nilinunua tetea wanne na jogoo mmoja,wamenizalishia zaidi ya kuku 60...
  16. MMASSY

    Vijana tuingie kwenye ufugaji wa kuku, kuna dhahabu isiyoonekana

    Tanzania ni nchi yenye walaji wa nyama wengi na kuku huliwa kwa kiasi kikubwa sana. Hata kama bei zinapanda, ulaji unaendelea kukua kila siku.Matokeo yake ni kwamba kufuga kuku inaweza ikawa biashara yenye faida kubwa kwako kwa kuwa yanahitajika kwa wingi. Katika siku za hivi karibuni, kumeibuka...
  17. sky soldier

    Kupiga & kugombeza watoto kwasababu ya uwezo shuleni ni ujinga

    A. KUPIGA & KUGOMBEZA WATOTO KWASABABU YA UWEZO SHULENI NI UJINGA Unakuta mtoto kila siku anaenda shuleni, anahudhuria kila kipindi, anafanya home work, n.k. ya nini kumchapa au kumgombeza huyu pale anaposhika namba za kawaida au chini darasani. nimesema namba kwasababu ndicho kigezo ambacho...
  18. Rutunga M

    Iringa-Halmashauri ya Iringa yaanzisha ushuru wa wanaonunua pumba ya kuku

    Halmashauri ya wilaya ya Iringa imeanza kutekeleza ushuru kwa mtu yeyote anayenunua pumba inayotokana ama na mahindi au mpunga kwa kuanzia kg 10 kwenda juu. mtu ambaye hatakuwa na kibali cha kusafirisha hiyo pumba faini yake ni tsh 200,000. Aidha watendaji wameanza kuitekeleza na inaelezwa kuwa...
  19. Cisco_G

    Natafuta tenda ya ku supply nyama ya ngo'mbe na kuku wa kienyeji

    Habari wanaJf. Mimi ni mjasiriamali, na supply vitu mbali mbali ikiwemo vyakula (nafaka na vyakula vingine) Kwa sasa natafuta tenda ya Ku supply nyama ya ng'ombe na kuku wa kienyeji either kwenye mahoteli au sehemu za kuchoma nyama hata kwa mtu binafsi na supply pia. Kwa anaye hitaji au mwenye...
  20. Frumence M Kyauke

    Kanuni sahihi za ufugaji wa kuku wa kienyeji

    KANUNI SAHIHI ZA UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI Kaya nyingi hapa nchini hujihusisha na ufugaji wa kuku kwa lengo la kujipatia chakula na kipato. Mazao yatokanayo na ufugaji wa kuku ni pamoja na mayai, nyama, mbolea na manyoya kwa ajili ya matumizi mbalimbali. Mifumo ya ufugaji kuku ambayo...
Back
Top Bottom