kuku

  1. BARD AI

    Bei ya Kuku wa Nyama balaa tupu, gharama ya Kifaranga yafika Tsh. 2,100

    Kupanda kwa gharama za uzalishaji kumesababisha kupanda kwa bei ya kifaranga cha kuku kwa Sh300 kutoka Sh1,800 hadi 2,100, hivyo kutishia mustakabali wa wafugaji. Inaelezwa ongezeko hilo la bei lilianza kushuhudiwa tangu Juni, hali inayowaweka wafugaji katika wakati mgumu kiasi cha baadhi yao...
  2. Bushmamy

    Formula gani nzuri kwa ajili ya kuku wa nyama?

    Wakuu naombeni muongozo katika hili, nahitaji kujua jinsi ya kutengeneza chakula cha kuku wa nyama (broiler). Vyakula vya kuku wa nyama Vimepanda maradufu halafu soko la Kuku hilo pia linasumbua. Tafadhali mwenye kujua formula ya utengenezaji wa chakula hicho na kuku akakua vizuri. Na kama...
  3. P

    Business plan ya ufugaji wa kuku

    1. KUKU WA KISASA WA MAYAI 2. KUKU WA NYAMA 3. KUKU WA KIENYEJI Michanganuo hii (Business Plans) kwa lugha ya kiswahili na kiingereza ina kila kitu kuanzia muhtasari, soko, usimamizi mpaka taarifa zote za fedha. Unaweza kuitumia unapoandaa mchanganuo wako wa kuombea pesa mahali au kuendeshea...
  4. BARD AI

    Ludewa: Watoto wawili wateketea kwa moto kwenye banda la kuku

    Watoto wawili Meshack Ndimbwa (6) na Agrey Mgimba (2) wamefariki dunia na mmoja kulazwa baada ya kuungua na moto wakiwa wanacheza kwenye banda la kuku kijiji cha Lugarawa Wilayani Ludewa mkoani Njombe. Akizungumza na Mwananchi leo Oktoba 31, Mwenyekiti wa kijiji cha Lugarawa amesema tukio...
  5. synthesizere

    Vifaranga vya kuku wa nyama (Broiler)

    Habari za wakati huu Nahitaji kujua wapi nitapata vifaranga bora vya kuku wa nyama (broiler) kwa maeneo ya Dar au Pwani na bei zao zikoje. Nikipata mawasiliano itakua nzuri zaidi.
  6. M

    Natafuta tenga zilizotumika (used) zakubebea kuku

    WADAU, NATAFUTA TENGA ZILIZOTUMIKA (USED) ZA KUBEBEA KUKU KAMA HIYO YA KWENYE PICHA HAPO CHINI. KAMA UNAZO NAOMBA NICHECK INBOX. NAITAJI ZILIZOTUMIKA KWA UNAFUU WA BEI.
  7. Zanzibar-ASP

    Kati ya samadi ya ng'ombe, mbuzi, kuku, nguruwe, Sungura nk. ipi ni bora zaidi shambani?

    Wadau mbalimbali wa kilimo na ufugaji, ninaomba muongozo wa namna bora ya kutumia Samadi ya asili shambani. Kwa kuanzia, nilitaka kufahamu, Samadi ipi ya asili inafaa shambani kwa kilimo cha mboga mboga, matunda au mahindi? Je, kati ya kinyesi cha ng'ombe, mbuzi, Kuku, Nguruwe, Sungura ipi ni...
  8. GENTAMYCINE

    Kuku wa Ilala (Tanzania) wameshajipeleka wenyewe Omdurman (Sudan) kuchinjwa Jumapili

    Na ukitaka 'Kitoweo' chako chochote kichinjwe vyema jitahidi sana umtafute Muislamu halafu awe ni Mwarabu wa 'Kisudani' utafurahia show yake ya uchinjaji ambayo mara nyingi huianzia Saa 3 kamili usiku baada ya kumaliza kuswali saa 2 kamili usiku.
  9. Rashidi Jololo

    Mfugaji huyu wa Kuku wa Mayai 120,000 anapatikana mkoa gani ili tukajifunze kwake?

    Ndugu zanguni wazima? Kwa kweli nimehamasishwa sana na huyu mfugaji wa kuku wa mayai 120,000. Ningependa kujifunza mambo machache kwake kama ukubwa wa shamba analomiliki, uwezo na ukubwa wa mabanda manne ambayo anatumia kufugia kuku 120,000 (kuku elfu 30 kwa kila banda). Tafadhali mwenye...
  10. Naanto Mushi

    Kiroho, kama humsaliti mke wako yeye pia hawezi kukusaliti

    Hii nakupa chukua.. Hamna uchafu unaokuja mahali pasafi hata siku moja. Ndiyo maana unakuta mtu kama roho yako imejaa Yesu, mtu hata akuendee kwa waganga hakupati, hii pia nakupa chukua. Issue ya ku cheat pia naona imekaa kiroho zaidi. Mwanaume ukiwa unachepuka maana yake unakaribisha roho ya...
  11. BARD AI

    Wafanyabiashara wauza Vifaranga wasiofaa kuliwa baada ya Kuku kuadimika Dar

    Afisa Mifugo Mkoa wa Dar es Salaam Odetha Mchunguzi, amethibitisha kukosekana kwa kuku na kueleza kuwa hali hiyo imetokana na kupanda kwa bei ya vyakula vya kuku na zuio la Serikali la uingizaji wa vifaranga kutoka nje. Uhaba huo kwenye masoko makubwa ya kuku ya Shekilango na Mwananyamala...
  12. JanguKamaJangu

    Serikali: Hatujapokea taarifa rasmi kuhusu ufugaji hatarishi wa kuku Broila

    Serikali imethibitisha kutopokea taarifa rasmi ya utafiti unaoonesha wafugaji wa kuku wanatumia dawa za antibayotiki na hivyo kiasi kikubwa cha dawa hizo kuonekana kwenye maini, kisha kuwa na madhara kwa watumiaji wa kitoweo hicho kwa kusababisha usugu wa vimelea vya dawa. Waziri wa Mifugo na...
  13. Simeone

    Je, kuku aina ya broiler hawafugiki kienyeji?

    Hivi broiler nikiwafuga kienyeji, yaani wajitafutie chakula kwani kuna shida gani?
  14. I

    Mnawapendea nini kuku wa KFC?

    Nimekula kuku wa KFC jana, kwakweli nilikuwa dissapointed mno, ile hype yote niliyokua naisikia haikuwa na ukweli upande wangu. Kuku hana ladha ni mafuta tu. Angalau chipsi zao ndo zina ladha. Au mnasemaje wadau ambao mshawahi kula hii kitu?
  15. Mystery

    Hii siyo sawa kabisa, inakuwaje wezi wa kuku wanatupwa jela, wakati wezi wa mali ya umma wanaachwa huru?

    Tulimsikia Rais wetu, Samia Suluhu Hassan, katika hotuba yake ya majuzi, huko Katika Chuo cha Polisi Moshi, akieleza kuwa baadhi ya maofisa wa Polisi, wanaiba mafuta ya petrol/diesel, wanayoletewa kwa matumizi ya Umma na kuyaweka kwenye daladala zao binafsi! Rais Samia pia akaendelea kueleza...
  16. S

    Natafuta anayeuza soya ya chakula cha kuku jumla

    Naomba msaada anaejua mtu anayeuza soya ya chakula cha kuku jumla aniambie
  17. Rupia Marko D

    Changamoto katika ufugaji wa kuku

    Je kuchanganya kuku na bata pamoja kuna madhara gani katika ufugaji
  18. Rupia Marko D

    Changamoto katika ufugaji wa kuku

    Suruhisho la kuku anayedonoa vifaranga na kuviua kabisa
  19. Rupia Marko D

    Magonjwa ya Kuku

    Natamani kujua magonjwa ya kuku, naombeni msaada wenu.
  20. M

    Sensa ya Watu na Makazi: Tuliulizwa kama unafuga ng'ombe, mbuzi, kuku. Lakini kwanini hatukuulizwa kama unafuga Nguruwe na Mbwa?

    Ina maana kama Taifa hatuhitaji kujua hali ya ufugaji wa huu mfugo utupatiao kitimoto kilicho mkipenzi cha wengi? Je, hakuna mpango wa kuendeleza ufugaji wa nguruwe? Je hakuna haja ya kujua tuna mbwa wengi kiasi gani? Kama ni hivyo tutapangaje mpango wa kuwachanja mbwa dhidi ya kichaa cha mbwa...
Back
Top Bottom