kuku

  1. U

    Mliowahi kutumia pig booster kwa kuku naombeni ushauri hapa

    Mimi ni mfugaji mwanafunzi kuna mdau anadai pig booster ikitumiwa kwa kuku,kuku huwa na maumbo mithili ya nguruwe! Mliowahitumia hiyo kitu kwa kuku,naomba mnielimishe,mlitumiaje na kwa kuku wa umri gani!!
  2. benzemah

    Programu ya Rais Samia yaungwa Mkono na wadau wa ufugaji kuku

    KAMPUNI ya Silverlands inayoshughulika na uzalishaji wa vifaranga na chakula cha kuku imesema inaanzisha mpango mahususi utakaoishirikiana na Programu ya BBT Mifugo kuunga mkono jitihada za Mheshimwa Rais Samia Suluhu Hassan kuwawezesha vijana na akinamama katika sekta ya ufugaji ili kukuza...
  3. Burhani Khaled

    Je Kuku aina ya Malawi huatamia na kuangua vifaranga?

    Habarini ya kazi. Naomba kufahamu kwa wanaojua, hivi kuku aina ya Malawi wale wanaopatikana sana Mbeya huatamia na kuangua mayai yao ama nao ni kama chotara wa kawaida wanataga tu pasipo kuatamia mayai?
  4. GIRITA

    Kuku wa Kienyeji wanauzwa

    Habari wafanyabiashara wa humu jukwaani. Moja kwa moja kwenye mada. Wanauzwa kuku wa Kienyeji wapo takriban 30, wenye afya njema kwabisa Ni wakubwa,wenye uzito na ujazo,utakaokuvutia wewe mnunuaji. Kuku hao wote wanauzwa kwa kila mmoja shilingi elfu kumi na sita tu...16,000/- Kuku Hawa Ni...
  5. UMUGHAKA

    Serikali imeamua kabisa kula kuku kwa mrija kufurahia watanzania kupoteza maisha/kupata ulemavu wa kudumu

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane!. Hivyo ndivyo navyo weza kusema kwasababu ni kama viongozi waliopewa dhamana ya kuwatumikia watanzania na kuhakikisha mali na usalama wa maisha yao unalindwa kwa wivu mkubwa. Hizi ajali zinazoendelea kuwamaliza watanzania na kuwaacha wengi wakiwa na...
  6. Chachu Ombara

    DOKEZO Viongozi Tegeta Kwa Ndevu wawajibishwe kwa kushindwa kuzuia uchafuzi wa mazingira unaotokana na machinjio/soko la kuku

    Hawa viongozi ni wala rushwa wakubwa wanasababisha wakazi wa eneo lile tuteseke kwa harufu kali sana wakati wa usiku inayotokana na mabaki ya kuku. Iko hivi... Nyuma ya kituo cha daladala cha 'Kwa Ndevu', Tegeta kama unaelekea Bunju kuna mtaro mkubwa unaopeleka maji kwenye mto ulio katikati ya...
  7. D

    Naomba connection ya mfugaji wa kuku wa mayai anayeweza kuniuzia trey 50-100 kwa wiki Dodoma na Morogoro

    Salaam wana JF, Naombeni connection ya mfugaji wa kuku wa mayai (layers) aliyepo DODOMA au Morogoro anayeweza kuniuzia trey 50 hadi 100 kwa wiki moja tufanye kazi. Nipatieni tu mawasiliano, nitampigia na kumfata popote alipo anipe mzigo kwa gharama zangu. Ahsante
  8. Katkit

    Huu mfumuko wa bei unatuumiza zaidi sisi majobless.

    Nimestaajabu leo nimeenda dukani kwa Kimario hapa Lumo ananambia embassy moja ni 300 wakati me najua ni 250 tu. Nilikua na buku nimekula miguu, utumbo na vichwa vya kuku nikabaki na 250, naenda dukani nipate embassy naambiwa ni 300, imeniuma sana.
  9. Jidu La Mabambasi

    Huyu kuku, namla peke yangu! Wageni sitaki!!

    Nikiwa ketu huku usukumani, nikija likizo mjomba huwa ananiwekea li kuku king size ili nile nishibe. Sasa nyie wa mjini ati vi fried chicken vya Chick King au Mary Brown, najua hamshibi. Nataka watu wengine twende karibuni wote Bariadi.
  10. Ashampoo burning

    Nimekaa ushuani kwa miaka mingi, sasa nimehamia uswazi. Kuku wa huku wataniua

    Boss ashampoo niliyumba kibiashara hapo kati kati mimi miaka mingi toka 2013 nakaa posta tu kisutu. Baada ya kuyumba kidogo nikahamia uswahilini nje ya mji, pia niliwapa story ya shemeji yenu kunikimbia. Kiukweli mimi nilizaliwa familia flani ya kati, sio ushua wala umasikinini. Baada ya...
  11. Kamanda Asiyechoka

    Mbowe azidi kukubalika kwa wananchi, apewa zawadi ya kuku na mtoto mdogo huko Kigoma

  12. Mganguzi

    Hussein Bashe na ndoto za kufikirika, za kumbadili kuku wa kisasa kuwa wa kienyeji

    Ninae huyu mtu anaeitwa Hussein Bashe, Kwa mlio karibu nae jaribuni kumuonya kwamba hicho kilimo anachojaribu kukianzisha, kimeshashindwa hata kabla hakijaanza .labda kwa sababu yeye ni mtu anaedhani kilimo kinaendeshwa kwa makaratasi, hivyo anajaribu kutoa mishipa ya shingo kwa kuongea sanaaa...
  13. U

    Naomba ushauri kuhusu ugonjwa huu wa kuku

    Wana JF, Kwanza niseme asanteni sana maana ushauri ambao mmekuwa mnanipa nimekuwa nikiufanyia kazi unanipa matokeo mazuri. Sasa nina changamoto ya kuku wa sasso ambao wana umri wa miezi miwili wamekuwa wakifa hovyo. Dalili wanakunya kinyesi cha rangi kama chokaa,wengine kinyesi ni kama udongo...
  14. FATHER JOKA

    Ushauri wa namna bora ya kujenga banda bora la kuku wa mayai 500

    Nataka kuanza kufuga kuku wa mayai na nataka kujenga banda. Naomba ushauri mambo mhimu ya kuzingatia ili nisiingie chaka.
  15. M

    Nahitaji kununua kuku kwa bei rahisi

    Habarini wana jamvi letu pendwa, Nauhitaji wa kununua kuku wa kienyeji kwa bei rahisi (chini ya Tsh 10,000/=) kama kuna mdau anafahamu sehemu (kijiji/kata, wilaya au mkoa) basi naomba anitajie, nina access ya kufika popote pale Tanzania. AHSANTENI
  16. Nyuki Mdogo

    Kumbe huko mjini mnakula Kuku na Mayai yake na hamsemi😅😅

    Nimetoka kusikiliza songi la Harmonize Nakohoa nimeshangaa sana! mnawezaje kula Mtu na mwanae na bado ukawa Happy?
  17. M

    Mtu anapata wapi ujasiri wa kumchinja binadamu mwenzake kama kuku?

  18. F

    Je, umeweza kujibu swali hili maarufu? Kati ya kuku na yai nini kilitangulia?

    Umewahi kujiuliza kati ya kuku na yai nini kilitangulia? Hili swali sio geni, ila umewahi kulifikiria na kutafuta jibu lake? Kwanini wenye jibu sahihi hawataki kulitoa? 1. Ni kuku kwanza, halafu yai. Kimamtiki ni sawa na ndivyo tunavyoona kila siku, kuku anataga yai. 2. Ni yai kwanza, halafu...
  19. Akabi kemanya

    Kumswaga mwizi kama kuku nikumuongezea mbinu za wizi

    Kama bandiko linavyojieleza kumswaga mwizi kama kuku nikumuongezea umakini wa kuiba Niwazi kuwa wote tumesikia masikitiko ya mama dhidi ya madudu yaliyo ibuliwa kwenye lipoti ya mkaguzi w hesabu za serikali Mama analalamika mama anaudhunishwa na huu ujambazi unaofanywa kwenye hii miladi ya...
  20. I

    Msaada: Kuku wangu wa kisasa wana tatizo

    Habari mimi ni mara ya kwanza kuanza kufuga kuna kuku wawili sehemu ya haja kubwa imetoka njee hili ni tatizo gani?
Back
Top Bottom