Ndugu watanzania bei ya mahindi mwisho wa Feb 2023 ilikua kwa jumla 1, 120 kwa Dar Es Salaam lakini bei ya leo 6 March 23 yamepanda kufikia 1, 330 kwa kilo moja.
Ongezeko hili ni hatari kubwa kwa wafugaji wafugaji wa kuku na wengineo kwa sababu ongezeko hili ni sawa na 5, 000 kwa mfuko wa...
Naungana na Andiko la aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Bassila Mwanukuzi kuhusu wezi wa kuku kufungwa na wale wa fedha za umma kubaki ofisini.
"Wale watumishi walioisababishia serikali hasara ya mamilioni kwa ajili ya ubadhirifu na ambao chini ya uongozi wangu tulichukua hatua kwa muujibu...
Wanajf ninaomba msaada kuhusu ugonjwa huu wa vifaranga vya kuku! Kwenye sehemu ya haja kubwa anatoa kinyesi laini mithili ya mapovu! Mwishowe mapovu hayo hukauka na kuwa magumu mwishowe vifaranga hudondoka na kuiaga dunia!
Mwenye uelewa anisaidie, huo ni ugonjwa gani, unatibiwaje! MSAADA WA...
Wakuu salamu zenu.
Nimekaa na kutafakari hali ya maisha yetu sisi binadamu nimeona yapo mithili ya maisha ya kuku bandani.
Kuku anafunguliwa asubuhi kutoka bandani hapo anapata "uhuru" wa kuvinjari na kujitafutia riziki, katika kipindi hicho kumswaga ili arudi bandani sio kazi ya kitoto, ni...
Hello mambo JF!
Muda mchache mambo ni mengi, usisumbuke asili ya tamaa ni vitu kama ilivyo kwa mwanamke na kuku, wote tamaa yao huvutwa na mvuto vitu kama afanyavyo kuku.
Hata angeona hatari gani, uchu wake mrushie mchele ndio utajua nguvu ya mchele kwake kuku, vivyo vivyo hivyo mwanamke...
Bei ya gunia la mashudu ya mafuta ya alizeti: Chakula bora cha kuku Nguruwe Sungura na wanyama wengi.
Best Price for Suck of Sunflower meal or Seeds.
Mashudu ya mafuta ya alizeti ni chakula cha mifugo ambacho kina thamani kubwa sana. Chakula hiki kina weza kutumika na wanyama kama Kuku, Bata...
Yaaani Kuna watu wanaiba kuku na vitu vidogo vidogo mitaani wanachomwa moto wengine kupigwa vibaya Sana iweje waliofoji vyeti washughulikiwe iwe nongwa iweje watendaji wazembe washughulikiwe iwe nongwa kwa mafisadi na watetezi wake.
Magufuli alilegeza kamba alitakiwa awe mkali zaidi na...
Kijana mtaalam wa kutengeneza na kuandaa kuku choma, lemon, sekela, na Aina zingine za kuku,
Pia mwenye utaalamu mkubwa wa kuandaa na kutengeneza chips Kali, mzuri,
Na kuandaa Yale makorombwezo masalad, makachumbari, ma ukwaju pilipili and mambo kama hayo
Mtu mwenye rafiki au ndugu au kama...
I was at a friend's graduation event and everyone was drunk and high. That day, I ended up kufanya na my girls mother thinking it was her. Her mother had a fight with the husband went to sleep where we were to sleep. No one told me that so after the event, about 3 a.m.
I staggered into that...
Kwa kipindi chote nilichofanya kazi na ofisi za serikali au kupata huduma ofisi za umma, nimejiridhisha pasipo na shaka kwamba hakuna ofisi hata moja inayokidhi vigezo vya kimataifa katika utoaji wa huduma.
Ofisi zote Bongo ni ujanja ujanja tu. Watu wameacha elimu darasani na kwenye madaftari...
Wadau!
Naitaji kuku (Matetea) yanayokaribia Kutaga au yanayotaga kwaajili ya ufugaji. Wawe watagaji wazuri niko Bunju Dar es salaam.
Aliyenao naomba anicheck PM.
Habari ndugu zangu,
Mimi ni kijana niliyeamua kujiajiri rasmi kwenye ufugaji wa kuku wa kienyeji kibiashara kwa asilimia 100, nimeanza kwanza utafiti kwa kujarbu kusikiliza maoni ya watu ambao tayari weshawahi kufanya ufugaji na kujipatia uzoefu wa kutosha.
Miongoni mwa maswali yangu ni je...
Chama cha Madaktari wa Wanyama Tanzania (TVA) kimetoa taarifa ya kupinga na kuonesha kusikitishwa kwake juu ya kitendo cha Kampuni ya Uzalishaji Vifaranga wa Kuku ya Kibo Poultry kuteketeza Vifaranga 50,000 hadharani kwa madai ya kukosa soko.
TVA wamesema pamoja na kutambua matakwa ya Kanuni za...
Wakuu kama mnavyoona Chakula cha kuku kimepanda bei tena finisher ya backbone nilikuwa nanunua elfu 78,000 ila leo nimeambiwa 81,000 na bado kuku sokoni biashara ipo vibaya yaan inanilazimu hawa nilionao niwauze 5,500/= ili kukwepa hasara ya chakula maana wanakimbilia wiki ya tano Sasa au kwa...
Temperature controler thermostat kifaa kwa ajili ya utotoleshaji wa mayai.
UFANYAJI KAZI: kinacontrol temperature (halijoto) wakati wa utotoleshaji wa mayai ya
Kuku
Bata
Kanga N.K
ona kinavyofanya kazi zaidi youtube kwa kutafuta (W1209)
Contact:0789113089
Mwanza
Price: 25000
Akizungumzia haki na uhuru wa watu kuzungumza, Mkurugenzi wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku amesema viongozi wanatakiwa kuthamini utu wa watu, hivyo wana haki ya kulinda uhuru na haki ya kila mtu.
“Kwangu mimi viongozi anatakiwa kutamba kuwa anaongoza watu na siyo Mbuzi, Ng’ombe au...
Wadau wangu wa nguvu, kwa wale wa Morogoro, kwa shilingi 12,000 pekee utapata kuku wa nyama kuanzia mwezi wa 12 kuanzia tarehe za 20 karibu karibu na Christmas 🎄.
Tupeane ka support hapo.
Wasiliana na Mimi kupitia (WhatsApp and normal) +255 743 016 950
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.