kuku

  1. Miss Zomboko

    Wakurugenzi wa Halmashauri 2 wasimamishwa kazi kwa kushindwa kusimamia Miradi ya Maendeleo

  2. U

    Ufugaji wa kuku saso na ufugaji wa nguruwe

    wadau niko kwenu hapa najaribu kufikiri kuanza UFUGAJI Sasa nawaza kuhusu UFUGAJI WA NGURUWE au kuku SASO naombeni ushauri wenu nataka kutengeneza pesa za ada mwakani. NIKO MKOANI NA MTAJI WANGU NI LAKI TANO
  3. Mwanahabari Huru

    Mbunge wa Jimbo la Kilombero Mh Peter Lijualikali anashikiliwa Katika kituo Kikuu cha polisi mkoani Morogoro

    Mbunge wa Jimbo la Kilombero Mh Peter Lijualikali anashikiliwa Katika kituo Kikuu cha polisi mkoani Morogoro Kwa kosa la Kukiuka masharti ya kibali cha mkutano na hasa kuwaalika wabunge wengine kuhudhuria Katika mkutano huo siku alipotoka tu jela.
  4. Tella Mande

    Uchafu na harufu mbaya machinjio ya kuku

    Nimekuwa kila nikipita maeneo ya masoko mengi yenye machinio ya kuku hapa Dar haswa Shekilango na Manzese ninarudishwa na harufu kali inayotoka kwenye machinjio hayo. Cha kushangaza uongozi wa masoko hayo, serikali za mtaa na uongozi wa halmashauri zimekuwa kimya kabisa. Kukiwa na mvua au...
  5. jastertz

    Natamani nifuge samaki chumba nilichopanga

    Habari JF, Leo katika pita pita zangu nimekaa nimewaza nianzishe ufugaji wa samaki ndani ya chumba nilichopanga, Nikianza na samaki hata kumi naona watatosha, Hii imekaaje wadau... seem like joke but niko sawa kabisa. any idea
  6. MamaSamia2025

    Je, unapenda pilau kuku, biriani mbuzi, nyama choma, makange ya samaki, ugali dagaa na mbogamboga? Mbinguni hazitakuwepo.

    Kuna vitu na mambo yanayopendwa sana hapa duniani ambavyo sio dhambi lakini ni kuwa hivyo vyote havitakuwepo. Kwa mfano sisi tunaopenda misosi mitamu kama ile ya Shishi food, white rose na Marry brown ni kuwa haitakuwepo. Kitu nachosikia kinatajwa tajwa ni maziwa na asali. Pia huenda kikawepo...
  7. Sambinyakwe kitololo

    Naomba ushauri juu ya kufuga kuku Hawa!

    Habari za mids hii Siku Kama nne hivi zilizopita nimenunua vifaranga 7 aina ya saso , sijawahi kufuga kuku ndo nimeamua jaribu , baada ya kuwachukua nilinunua starter 1Kg ndo wanaila ila hapa Sasa naomba kuuliza utaratibu ukoje kuhusu chanjo Ni ipi na Kila baada ya muda gani , je wakiwa...
  8. Ubungo Mataa

    Kijana mtaalam wa kukaanga na kuchoma kuku.

    Heshima kwenu wakuu Kijana mtaalam wa kutengeneza na kuandaa kuku choma na kukaanga kuku, broiler, sekela, na Aina zingine za kuku. Pia mwenye utaalamu mkubwa wa kuandaa na kutengeneza chips Kali, mzuri. Muda wa kazi ni kuanzia Jioni. Eneo la kazi ni Kimara Temboni. Mshahara na mambo...
  9. Miguel Alvarez

    MSAADA: Huu ni ugonjwa gani wa Kuku?

    Kama Kichwa Cha Habari kinavyojieleza...hapo juu Naomba msaada kujua huu ni ugonjwa gani wa kuku na unasababishwa na nini ?na Tiba yake ni nini? Ni kuku wa kienyeji Mwenye kujua Tiba yake ikiwa madawa ya madukani au mitishamba naomba anijuze Nimeambatanisha na picha 👇🏿👇🏿
  10. Miguel Alvarez

    Huu ni ugonjwa gani wa kuku?

    Habari za Majukumu wakuu.... Niko na shida na Kuku wangu wa kienyeji... Ni Siku ya pili kuku wangu hachangamki hata kula awezi kula vizuri Baada yakumchunguza nimekuja kugundua kinyesi chake si Cha kawaida .. nimejaribu kuambatanisha na picha hapo chini👇🏿👇🏿 Mwenye kujua ugonjwa na tiba ikiwa...
  11. BigBaba

    Je Wajua Ayam Cameni ni kuku Weusi mpaka nyama na kiini cha Yai?

    1. Hao kuku wanaitwa Ayam Cameni , Ni Weusi kwa kila kitu mpaka nyama na kiini cha Yai, 2. Waligunduliwa nchini Indonesia Karne ya 17 na bado hawapatikani nchi nyingi Hadi sasa 3. Nchini Marekani waliingia mwaka 1998 na Yai moja la kuku Hawa nchini marekani linauzwa dola $130 Karibia Shilingi...
  12. GENTAMYCINE

    Tulienda 'Kuchakura' Mchanga kama 'Kuku' katika 'Majaba' ili tupate Zawadi za 'Mchogo Pesa' ya Clouds FM leo Kinesi Ubungo tujuane tafadhali

    Bado GENTAMYCINE naendelea kuzitibu Kucha zangu kwani nimezitesa katika Kuchakura Zawadi za Mchogo Pesa katika Majaba na nimeishia Kukosa na kuambulia Mchubuko mikononi kwani Michanga ilikuwa Mibichi na Imeshindiliwa Kunakotukuka. Ila Clouds FM na hii Bahati Nasibu yenu ya Mchogo Pesa leo...
  13. Down To Earth

    Kuku wa Zenji...

    hapo wamemla na mayai yake akaona isiwe noma acha awaachie ujumbe
  14. BARD AI

    Uganda: Bunge lashangazwa na Ripoti kuwa Wafugaji wanatumia ARV kukuza na kunenepesha Kuku na Nguruwe

    Kamati ya Bunge ya VVU/UKIMWI ya Uganda imepokea taarifa hiyo kutoka Mamlaka ya Taifa ya Dawa Nchini humo ambayo imekiri kufahamu Dawa za Kurefusha Maisha na Kunenepesha zimekuwa zikitumika kwa Wanyama na haikuchukua hatua zozote. Mkaguzi Mwandamizi wa Dawa kutoka NDA, Amos Atumanya amesema...
  15. G

    Mimi na wewe huenda tumeshakula sana Vibudu tukifikiri ni Kuku, Tuongeze umakini katika kuchagua na Kununua Kuku

    Inasikitisha sana, hapo zamani ilizoeleka vibudu vya kuku vilikuwa kwajili ya kulishia nguruwe ila sikuhizi mimi na / au wewe huenda tumelishwa sana tukidhani ni kuku tena tukijisifu ni bei rafiki kwa mtanzania. Ngoja niwasanue wananchi wenzangu Kwa case study tutachukuloa eneo la Bagamoyo...
  16. S

    Kibaka akiiba kuku, mnavisha tairi na kumchoma, Mtawala akiuza au kugawa maliasili za nchi kiholela, mnamtetea na kutaka aheshimiwe!

    Kibaka akiiba kuku wa jirani, unakuwa na uchungu sana na huyo kibaka hata kama kuku si wako. Ila Mtawala akigawa maliasili za nchi kwa wageni katika mazingira ya utatanishi, hutaki hata asemwe na akisemwe eti amekoswa adabu! Kibaka unaweza mtia kiberiti kwa hofu kesho anaweza kuiba na kuku...
  17. mhula

    Masoko ya dagaa chakula cha kuku

    Natafuta masoko wanunuzi wa dagaa chakula cha kuku naulizia kama kuna anayehitaji hao dagaa tuwasiliane pia mnaweza kunisaidia na kampuni nyingine zenye uhitaji wa bidhaa hii Asanteni sana
  18. G

    Dua la kuku halimpati mwewe, tuliowahi kudhulumiwa / kuonewa kwa kuwa wanyonge huku wadhalimu wanaendelea kutamba tuweke mikasa yetu hapa

    Hapa wenye nguvu wadhalimu wanajipa vyeo kama wenye mam1aka katika nyanja zote za maisha, uungu ukiwemo, huku metha1i nzima ikionesha matajiri au wenye nguvu za kifedha na kimamlaka katika jamii kama wenye kinga dhidi ya adhabu zozote duniani na ahera licha ya maovu wayatendayo. 1. Nakumbuka...
  19. thisisboman1

    Ufugaji wa kuku wa kienyeji kibiashara

    Nmeanzisha mradi wa ufugaji wa kuku wa kienyeji kibiashara. VIJANA WENZANGU, Niwatoe hofu na kuwatia moyo ufugaji wa kuku wa kienyeji utakupa matokeo makubwa kupanda kiuchumi, kwa kuzingatia ufugaji wenye tija. Mimi nafuga mradi unajiendesha nimezingatia eneo la uwekezaji na namna Bora ya...
  20. malisak

    Pishi la maini ya kuku

    Mahitaji Maini ya kuku 1/2 kilo Vitunguu vikubwa 2 Hoho 1 Pilipil 1 Limao 1/2 Swaum/tangawizi 1 kijiko cha chai Curry powder 1/2 kijiko cha chai Mafuta ya kupikia Matayarisho Safisha maini weka pembeni. Baada ya hapo kaanga vitunguu,swaum na tangawizi pamoja (hakikisha vitunguu visiwe vya...
Back
Top Bottom