kukua kiuchumi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dr leader

    JamiiForums Tanzania Fanya haya miezi 6 iliyobakia ili kukua kiuchumi

    Mambo ya kufanya miezi 6 iliyobakia ili kufikia malengo yako • Chukua uwajibikaji wa 100% juu ya maisha yako. Acha kabisa kujitetea na kulalamika. • Tumia muda ukiwa peke yako, soma, andika na jione ukitimiza ndoto zako. • Kata mahusiano yote yenye sumu na yanayokuvuta nyuma. • Fanya amani...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kitila afafanua Tanzania kukua Kiuchumi kuliko mataifa mengine

    Wakati Serikali ikiwasilisha tathmini ya hali ya uchumi wa Taifa kwa mwaka 2024 na mpango wa maendeleo kwa mwaka 2025/26, baadhi ya wananchi na wachambuzi wameibua maswali kuhusu tafsiri ya ukuaji wa uchumi, hasa kufuatia kauli ya kuwa “uchumi wa Tanzania umeendelea kuwa imara katikati ya...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dhana ya nchi zinazoendelea kukua kiuchumi zaidi ya nchi zilizoendelea haimaanishi kuwa zinayazidi kiuchumi mataifa hayo

    Wakuu Kumekuwa na mjadala mkubwa mara baada ya ya kauli kuwa uchumi wa Tanzania unakua kuliko baadhi ya nchi zilizoendelea. Kwa mujibu wa makadirio ya ukuaji wa Pato la Taifa yanayofanywa na kutolewa na Shirika la Fedha Duniani (IMF) kwa Mwaka 2025 imeonesha kuwa nchi zinazoendelea kwa kiwango...
Back
Top Bottom