Fanya haya miezi 6 iliyobakia ili kukua kiuchumi

Fanya haya miezi 6 iliyobakia ili kukua kiuchumi

Dr leader

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2016
Posts
1,080
Reaction score
1,452
Mambo ya kufanya miezi 6 iliyobakia ili kufikia malengo yako

• Chukua uwajibikaji wa 100% juu ya maisha yako. Acha kabisa kujitetea na kulalamika.

• Tumia muda ukiwa peke yako, soma, andika na jione ukitimiza ndoto zako.

• Kata mahusiano yote yenye sumu na yanayokuvuta nyuma.

• Fanya amani na maisha yako ya zamani.

• Weka malengo yaliyo wazi, yashikilie na yafanyie kazi kwa consistency kila siku.

“Kama unaweza kukabiliana na hofu kubwa maishani, hakuna kitu kinachoweza kukuzuia.”

“Kama kweli unataka kufanya kitu, utatafuta njia. Kama hutaki, utatafuta sababu.”

“Jizungushe na watu wanaoongelea malengo, mafanikio na maendeleo… si watu wanaoongea vibaya kuhusu wengine.”

Abuuabdillah ✍️
0744 883 353
 
Back
Top Bottom