Wakati Serikali ikiwasilisha tathmini ya hali ya uchumi wa Taifa kwa mwaka 2024 na mpango wa maendeleo kwa mwaka 2025/26, baadhi ya wananchi na wachambuzi wameibua maswali kuhusu tafsiri ya ukuaji wa uchumi, hasa kufuatia kauli ya kuwa “uchumi wa Tanzania umeendelea kuwa imara katikati ya...