kukutana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    Serikali kutoa ufafanuzi nyongeza ya mishahara, yaomba wafanyakazi watulie

    Hamjamboni nyote? Baada ya malalmiko ya watumishi kuwa mengi kuhusu ongezeko la mshahara. Msemaji Mkuu wa serikali, Gerson Msigwa amesema serikali italitolea ufafanunuzi suala hilo hivi karibuni. Ameandika hayo katika ukurasa wa twitter japo hajasema ni lini ufafanuzi utatolewa
  2. Ni wakati wa Kenyatta kupewa semina kabla ya kukutana na mama.

    Huwezi kukutana na mama Samia,rais wa nchi, Amiri jeshi mkuu, mkuu wa nchi na serlikali halafu unajiaachia tu ,unakaa Kama unasubiri githeri maeneo ya Kayore. Ebu angalia utulivu wa mama halafu linganisha na ule wa Uhuru Uhuru next time jitahidi brother.
  3. Kagame, Tshisekedi kukutana kuzungumza tofauti za Rwanda na DRC

    Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia Congo (DRC), Felix Tshisekedi anatarajiwa kukutana na Rais wa Rwanda, Paul Kagame Nchini Angola kwa ajili ya mazungumzo kutokana na mgogoro unaoendelea baina ya mataifa hayo. Haijawekwa wazi watakachozungumza katika mkutano huo utafanyika Jijini Luanda lakini...
  4. Kukutana na mama mkwe mtarajiwa ni dalili ya hatua nyingine kwenye mahusiano yenu

    Madada ndiyo walengwa wa uzi huu lakini makaka msiache kusoma na pia kutoa mawazo yenu. Mama wakwe ni wanawake na wao pia walikua vijana wakati fulani hivyo kukutana na mama kusikufanye uwe roho juu juu. Mpaka mwenza anaamua kukufahamisha kwa mama yake, inamaana kuna vitu ameviona kwako na...
  5. Waziri kukutana na Viongozi wa Vyama na Mashirikisho ya Michezo Bara.

    Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa Kesho anatarajia kukutana na kuzungumza na Viongozi wa Vyama na Mashirikisho ya Michezo Tanzania Bara, Mkutano huu utafanyika uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.
  6. Sioni haja ya kukutana, Naona haja ya kufuata Katiba

    Toka Freeman Mbowe atoke jela/ gerezani, ameshakutana na Rais Samia mara kadhaa sasa. Bado sijui na sielewi kwa nini hasa wamekuwa wakikutana kutana. Ni kweli kuwa Mbowe alikamatwa na kufungwa kimakosa. Mtu yeyote aliye na chembe ya akili kwenye ubongo wake analijua hilo. Kwenye nchi...
  7. Baada ya Samia, Museveni kukutana, sasa Tanzania kuanza kununua sukari kutoka Uganda

    Tanzania inatarajiwa kuanza kununua sukari kutoka Uganda ikiwa ni ishara ya kuashiria kulegea kwa moja ya migogoro ya kibiashara iliyodumu kwa takriban miaka mitatu. Rais Samia Suluhu, katika siku ya kwanza ya ziara yake ya siku mbili Nchini Uganda alikubaliana na mwenyeji wake Rais Yoweri...
  8. Papa Francis aomba kukutana na Putin, achuniwa

    Picha ya Maktaba, Rais Vladimir Putin (kulia) alipokutana na Papa Francis, Vatican mnamo Julai 4, 2019. Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis amesema kuwa aliomba kukutana na Rais wa Urusi, Vladimir Putin ili kumshawishi kumaliza vita dhidi ya Ukraine lakini hajapata majibu. Papa...
  9. T

    Rais Putin usisikilize wanafiki, kanyaga twende

    Wazungu wana msemo wanasema they don't give a damn or (don't give a f.uck) kwa maana kwamba they don't care about anything or anyone. Hali hii imejitokeza kwa Rais Putin dhidi ya Papa wa Kanisa katoliki. Papa anasema alimtuma mwanadiplomasia mkuu wa Kanisa aombe mkutano wa Papa na Putin lakini...
  10. Rais Zelensky aomba tena kukutana na Rais Putin ili wamalize vita

    Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky ametoa tena wito wa kufanya mkutano na Rais wa Urusi Vladimir Putin katika juhudi za kumaliza vita nchini mwake. Zelensky ambaye alishawahi kuomba kukutana na kiongozi huyo amesema hakuwa na hofu ya kukutana na Putin iwapo hilo lingesababisha makubaliano ya...
  11. Rais Samia kukutana na Baba Mzazi wa Rihanna tunafaidika vipi kama Taifa?

    Wasalaam Mtanzania Mwenzangu! Naomba uitikie KILA KITU KITAPANDA BEI! Nimepita mitandaoni kusoma taarifa mbalimbali zinazoendelea hapa Nchi na ulimwenguni kwa ujmla. Na nisikatae kwa Juma moja saivi na siku kadhaa kumekua na taarifa inayosemwa sana mtandaoni ni Juu ya ROYAL TOUR! Nikiwa napita...
  12. Putin anatakiwa kukutana na nchi kama Finland ambayo sasa naona ameanza kuichokonoa, atashangaa NATO ipo Moscow

    Russia anatakiwa kukutana na wendawazimu kama Finland, hao ndiyo hata yeye Russia anawagwaya. Mwaka 1939 aliivamia Finland ili kuitanua himaya yake ya Soviet, pamoja na uhodari wa Jeshi lake na vifaa vyake vya kivita Russia aliishia kupata hasara kubwa sana kwenye ile winter war, zaidi akaishia...
  13. Heko kwa Kufuzu, ila kwa Mpira 'mbovu' tuliocheza na kwa Timu tunayoenda Kukutana nayo, tukifuzu Nusu Fainali mnizamishe Baharini na Jiwe

    Tusheherekee zetu tu kwa Kushinda jana na Kufuzu huko Robo Fainali ya CAFCC na kupata hicho Kitita cha Shilingi Milioni Mia Nane ( 800,000,000/= Tsh) Ila kwa Mpira mbovu niliouona Jana huku Beki Onyango, Beki Tshabalala, Viungo Mkude na Kanoute na Washambuliaji Morrison na Sakho wakionyesha...
  14. Umewahi kukutana na utapeli wa aina gani?

    Habari zenu wana JF wenzangu. Mara nyingi katika maisha yetu tumekuwa tukikutana na mambo kadha wa kadha, ikiwamo fursa, ajira, changamoto, connections na hata Utapeli. Katika maisha yetu haya yaliyojaa harakati, utapeli umekuwa ni mkubwa sana. Takribani miezi miwili iyopita nilikutana na...
  15. Ushawahi kukutana na hii kamati ya Nidhamu? Tuambie ilikuaje!

    Huyo ni.mdudu hatari sana, anaitwa Nyigu. kwa maumivu yake hata Nyuki anasubiri Mara ya kwanza kukutana nae alinipa Komwe la muda mfupi na maumivu ya hatari😅😅 nikimuona naanza safari ya kujihami mapema sana vipi kwako, tupe stori..
  16. Mnyika apewe semina kwanza kabla ya kukutana na Rais Samia

    Baada ya Lissu na Mbowe kutanguliza maombi yao binafsi kabla ya chama, nashauri hili lisitokee tena wakati John Mnyika atakapokutana na mama. Makosa yaliyofanywa na viongozi wakubwa wa chama kuomba pasipoti na ruzuku badala ya katiba yalionesha kupwaya sana kwa mwenyekiti na makamu wake, labda...
  17. K

    Ratiba robo fainali Azam Shirikisho yatoka: SIMBA na YANGA kukutana nusu fainali endapo watashinda robo fainali

    Ratiba ya Kombe la Azam hatua ya robo fainali imetoka: 1. SIMBA VS PAMBA 2. YANGA VS GEITA 3. AZAM VS POLISI 4.COASTAl VS KAGERA NUSU FAINALI: Mshindi: SIMBA VS PAMBA anacheza mshindi: YANGA VS GEITA Mshindi: AZAM VS POLISI anacheza mshindi: COASTAl VS KAGERA Uwezakano ni mkubwa wa SIMBA na...
  18. 5

    CHADEMA yagawanyika, Lissu kukutana na Samia haikuwa ajenda ya chama

    Habarini watu wa ukumbi huu.., Vyanzo vya ndani vinasema hivyo, Tundu Lissu alikutana na Rais Samia kwa matakwa na maamuzi yake binafsi haikuwa ajenda ya chama wala hawakuwahi kukaa ata kwa dakika 5 kupeana mashauri juu ya kukutana na rais Brussels., Lakini vyanzo vilienda mbali zaidi baada ya...
  19. Huu niseme sijui ni Ushamba wa baadhi ya wanaccm na ACT kuhusu Lissu kukutana na Rais?

    Hivi kiongozi mmoja wa ACT Wazalendo anapotoka dharani na kusema kuwa kitendo alichokifanya Lissu cha kukutana na Rais Samia rti wao ndio walishauri hivyo, hivi huyu mtu anaelewa nini kama siyo ushamba na kujikweza? Hawa watu hawaelewi kuwa CHADEMA wameanza kusaka suluhu ya maridhiano toka JPM...
  20. Balozi wa Marekani Tanzania, Donald J. Wright apongeza Rais Samia, Lissu kukutana uso kwa uso

    Balozi wa Marekani Nchini Tanzania, Donald J. Wright amepongeza kitendo cha Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Antiphas Lissu kukutana na Rais Samia Hassan Suluhu, jana tarehe Februari 16, 2022 katika Jiji la Brussels nchini Ubelgiji. Balozi amepost picha ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…