kukutana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ni masharti gani ya ajabu uliwahi kukutana nayo nyumba ya kupanga?

    Mimi niliambiwa kama nataka kulewa home nataka kumnunulia mama mwenye nyumba bia zake ili anipe kibali. Wewe ulikutana na sheria ipi ya ajabu?
  2. Fashion Kali ya Msanii Barnaba

    Hii ndio fashion aliyekuja nayo mkali wa Bongofleva hapa Tanzania. Ukipata Nafasi ya Kukutana na Msanii Barnaba AKA Mopao Mkali wa Fashion Je Utampa Neno Gani. kwa Fashion hii.???
  3. S

    Kamati ya Bunge itakayomuhoji Gwajima ijiandae kukutana na majibu yatakayowaacha wakiangaliana

    Kwa msomaji wa Biblia au mtu yoyote aliesikia habari za Yesu, bila shaka atakuwa amesikia habari au visa vya Yesu kutoa majibu kwa wafuasi wake, majibu yaliyokuwa yakiwafanya watu kubaki wanashangaana kama sio kutawanyika au kubaki midomo wazi na wakati mwingine kujiona wajinga. Rejea kisa cha...
  4. S

    Liberata Mulamula: Rais Samia alipanga kukutana na wapinzani lakini ratiba zikaingiliana

    Kuna kitu kimoja ambacho nakichukia kupita kiasi katika maisha yangu ya U-Tanzania. Hiki ni kauli za Polisi au wanasiasa pale ambapo wanajaribu kuficha au kupotosha ukweli ambao ukiwekwa wazi wananchi wataona wanavyokiuka haki za msingi za Watanzania, wanavyokandamiza demokrasia au hata...
  5. Naibu Waziri wa Masuala ya Siasa Wa Marekani, Victoria Nuland aja Tanzania, kukutana na Rais Samia

    Rais Joe Biden wa Marekani amemtuma “Naibu Waziri” (Under secretary) anayeshughulikia masuala ya siasa, Victoria Nuland, kwenda nchi kadhaa za Afrika ikiwa ni pamoja na Tanzania, ambako atakutana na Mama Samia Suluhu na pia kufanya maongezi na Wapinzani.
  6. Je, kuna uwezekano wa kukutana tena baada ya maisha ya duniani?

    Tushirikiane kulidadavua hili kwa pamoja kila mtu kwa imani yake na kwa brain yake. Maana kabla ya hapa duniani hatukumbuki tulikuwa wapi. Je, baada ya hapa duniani tutakutana tena baada ya hapa au ndio tunamaliza kila kitu hapa.
  7. Kamati Kuu ya CHADEMA kukutana kwa dharula tarehe 22/7/2021

    Taarifa hii imetolewa na Katibu Mkuu wa Chama hicho Mh John Mnyika alipokuwa anaongea na Waandishi wa Habari wa Kimataifa na wa ndani , kwenye Mkutano wake wa dharula aliouitisha Maalum. Bado haijafahamika ajenda zitakazojadiliwa , lakini suala la Kukamatwa kwa viongozi na wanachama wa chama...
  8. K

    CCM ruksa kukutana, Wapinzani mwiko kukutana; Tunalibomoa Taifa

    Wapo watu wanaona wao ndio walizaliwa kuzungumza,kutafakari sahihi na kuamua kwa ajili ya wengine. Wapo watu wameaminishwa kwamba wanaishi hapa Duniani kupumbuza wengine ili wao na familia zao warithishane madara. Zipo familia Leo baba,mama,watoto wanatumia usafiri wa serikali,wanalipiwa nyumba...
  9. Rais Samia kutoka nia ya kukutana na vyama vya upinzani hadi "Ngoja tuimarishe uchumi kwanza"

    Moja ya kauli za mwanzo kabisa za Rais Samia ambazo zilileta msisimko nchini ni kusudio lake la kukutana na viongozi wa vyama vya upinzani. Msisimko ulitokana na ukweli kwamba Rais Magufuli hakuwa na mpango wa aina hiyo kabisa, badala yake mkakati wake ulikuwa kuviua kabisa vyama vya upinzani...
  10. CAF inatarajia kukutana Morocco Julai 16 kwa ajili ya kujadili mfumo wa mashindano ya CAF Super League

    CAF inatarajia kukutana Morocco Julai 16 kwa ajili ya kujadili mfumo wa mashindano ya CAF Super League Timu zilizotajwa 🇲🇦Wydad, Raja, Berkane 🇪🇬Al Ahly, Zamalek, Pyramids 🇿🇦Mamelodi Sundowns, Orlando Pirates, Kaizer Chiefs 🇨🇩TP Mazembe, Vita Club 🇸🇩Al Hilal, Merrikh 🇹🇿Simba 🇬🇳 Horoya...
  11. NGO's zaomba kukutana na Rais Samia

    NGO's zaomba kukutana na Rais Samia Mashirikaka yasiyo ya kiserikali Kanda ya ziwa yameomba kukutana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania MH. Samia Suluhu Hassan ili kueleza kero na changamoto zinazowakabili. Miongoni mwa changamoto ambazo masharika hayo yameeleza ni zile zinazochangia...
  12. J

    Kamati Kuu ya CCM kukutana Dodoma kesho Jumanne Juni 22, 2021

    Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM inatarajia kukutana kesho Jumanne Juni 22, 2021 chini ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan katika ukumbi wa Jakaya Convention Centre Jijini Dodoma. Kikao hicho kimetanguliwa na kikao cha Secretariet ya...
  13. L

    Uchawi au Majini hayapo! Nani ameshawahi kukutana na jini

    Kuna nadharia za ajabu sana Africa ambazo huwezi ziona dunia ya kwanza. Uchawi ni nini. Nani ambaye anaweza kutupa proof uchawi upo? Nani alimuona mchawi? Nani anaujua uchawi? Uchawi una nguvu gani? Hayo Majini ni nini? Hakuna cha majini wala babu yake na majini? Hizo ni drama za kufikirika...
  14. Maneno ya viongozi wa CHADEMA kukutana na Rais yanatia doa dhamira yao

    SHINIKIZO LA CHADEMA KUKUTANA NA RAIS LINATIA MASHAKA. Na Elius Ndabila 0768239284 Baada ya Mhe Rais kula kiapo Cha kuliongoza Taifa hili, Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia kwa Mwenyekiti wake Mzee Freeman Mbowe waliutangazia umma kuwa wamemwandika barua Rais ya kutaka...
  15. Mbowe unakosea sana kumpangia Rais Samia ratiba zake

    Leo mbowe akiwa mkoani Morogoro amesema walimuandikia barua kuomba kukutana na Rais Samia ila hadi leo hajakutana nao. Anasema anaona tu anakutana na makundi mengine ila wao hataki kukutana nao, hivyo hawatasubiri mwaka kukutana na Raisi na ipo siku atawatafuta. Hadi haoaa itoshe kusema...
  16. C

    Ningemwambia haya Rais Samia endapo ningepata nafasi ya kukutana naye

    Ningemsalimia kwa unyenyekevu mkubwa na kumshukuru kwa nafasi ya kukutana naye! Ningemwambia kuhusiana na changamoto ya ukosefu wa ajira kwa vijana wengi katika taifa letu! Ningetoa mapendekezo yangu kuwa sekta ya kilimo itazamwe upya kwa jicho la tatu kama mkombozi wa changamoto hiyo! Kuwa...
  17. R

    CHADEMA sukumeni agenda yenu ya kukutana na Rais Samia

    Kwa kuanzia hili ni muhimu na lenye nia njema. Tumetoka kwenye udikteta uliokubuhu na hivyo kuna mwanya wa kufanya reconcilliantion. Push your agenda to meet her. Na wala hamuendi kujikomba kwake, kujipendekeza, ni kuona kama kunaweza kuwa na mwanzo mpya.
  18. Hai: Zaidi ya Wafanyabiashara 36 wathibitisha kuwa na Nyaraka za uhakika kuthibitisha tuhuma za Sabaya. Waomba kukutana na mamlaka inayomchunguza

    Hii ndio habari mpya inayosambaa Wilayani Hai kwa sasa baada ya Taarifa ya kufutwa kazi kwa aliyekuwa DC wa hapo bwana mdogo bilionea mpya Sabaya (miaka 34) , ambaye anachunguzwa kwa makosa mbali mbali ikiwemo uvamizi , uporaji wa pesa na wizi wa kuaminiwa ikiwa ni pamoja na ulevi wa madaraka...
  19. F

    Siku ya kwanza kukutana na mtoto wa kishua...

    Basi bwana kwa vile nilikuwa na chat chat naye mtandaoni na kutumiana ma picha ya mahaba kwa muda mrefu basi nikaona itabidi nionane naye mtoto wa kishua, sikubali aiseee, toto rangi ya chungwa, ziwa saa sita unusu, toto slim fit, figure number 8, toto macho yanaitaa, kiuno cha nge nyuma...
  20. Tunapotaka kutumia nguvu kubwa Kupindua Meza kwa Kaizer Chiefs FC je, tunaoenda kukutana nao Semi Finals tutawaweza?

    Najua kuanzia sasa nguvu Kubwa ya Kupindua Meza (kwa Fitna za nje ya Uwanja) zitaanza Kutumika ili Kuwafunga Kaizer Chiefs FC Wikiendi ijayo huku tukidanganywa sana kuhusu uwezo wa Timu yetu na Kuaminishwa mno na Kauli Mbiu za Kibabe za Kuujaza Uwanja ili Mapato yapatikane wakati wenye Kuujua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…