kula

Kula - kitendo cha kuingiza kitu kinywani (hasa chakula) kwa lengo la kupoza njaa
  1. K

    Ni mahubusu wote wanaruhusiwa kula chakula kutoka makwao au ni Sabaya peke yake?

    Ndugu wa Sabaya pamoja na marafiki zake na watu wa chama wanajiwekea utaratibu wa kumhudumia mtuhumiwa aliyeko mahabusu kinyume kabisa na taratibu na tunaamini Kuna usawa? Aliyeruhusu mpishano wa misosi kutoka mtaani kwenda Kisongo ni nani? Aliyeruhusu Sabaya asifungwe pingu toka gerezani hadi...
  2. Kibonzo: Ukitaka kula mema ya nchi kuwa mbunge

    Mishahara yao haikatwi kodi, wanapata kiinua mgongo kila baada ya miaka mitano pasi kuchangia mfuko wa jamii. Tena mafao yao yanatoka kwa wakati stahiki hakuna njoo kesho.
  3. Mke wa mtu kanifunza kitu

    Mara ya kwanza tulikutana club sikujua kama ni mke wa mtu, alikuwa amevaa kistaarabu sana kumbe alikuwa ametoka kwenye sendoff party alikuwa ameongozana na wenzake wawili. Nilimtongoza hakukubali moja kwa moja ila tulibadilishana mawasiliano. Kilichonifanya nisiwaze kama ni mke wa mtu kwanza ni...
  4. Upungufu wa mafuta ya kula nchini

    Kuna jambo haliniingii kichwani. Jana nimemuona Waziri Mkenda na Balozi wa Netherlands hapa nchini Tanzania wakiwa ARUSHA wakizungumzia juu ya upungufu wa mafuta ya kula. Sijamuelewa maana huku mafuta yapo na ya kutosha na hayana wanunuzi. Wao wanataka mafuta yapi?
  5. D

    Mfano siku ikibainika kula bila kumenya kunaongeza umri wa kuishi hadi miaka 200, tutajiona wajinga sana

    Hivi kwa mfano; Ikabainika kwamba kula vyakula bila kumenya ndiyo chanzo cha umri mrefu duniani itakuwaje! Ujue ukitafakari sayansi ya watu wa zamani kuishi miaka mia 600 au mia 400! Unashindwa kabisa kuelewa siri imefichwa wapi hadi sahivi watu waitafte 100 kwa mbinde! Mi nazani siri hii...
  6. Yahusu kula chumvi nyingi

    Lakini, chumvi ikiwa imeharibika itatiwa nini hata ikolee? Haifai tena kabisa, ila kutupwa nje na kukanyagwa na watu. Umuhimu wa chumvi katika maisha Ndio kiungo pekee kinachotumiwa na na asilimia 99.99 na wanadamu wote duniani.. Ndio kiungo kwenye chakula muhimu zaidi kinachonogesha na kuleta...
  7. Vibonge tambueni kuna tofauti ya kula chakula kingi na kula kula ovyo

    Nimejaribu kuchunguza sana, vibonge kweli ubonge umekuja wenyewe au umejitakia au umerithi? 1. Kweli kuna unene wa kurithi lakini unue ni ugonjwa, lazma ufanye upasuaji au umtafute daktari kwa ushauri zaidi. 2. Ubonge wa kuja sababu ya maisha mazuri, kutokuwa na wasiwasi na maisha au kutojali...
  8. Watu 420,000 hufariki kila mwaka kwa kula chakula kisicho salama

    SHIRIKA la Afya Duniani (WHO) limesema watu wa wanaokadiriwa milioni 600 huugua kutokana na kula chakula kisichosalama na kati yao takribani watu 420,000 hupoteza maisha kila mwaka Takwimu zinaonyesh kuwa wahanga wengi wa chakula kisichosalama ni watoto walio chini ya umri wa miaka mitano...
  9. Maeneo ya kula maisha Tanzania

    Maisha ya binadamu huwa hayana maana kama kumbukumbu za furaha zitazidiwa na kumbukumbu za huzuni, ili kupata furaha kuna njia nyingi sana mojawapo ni kutoka nje ya eneo ulilolizoea. Karibuni wakuu kushare locations kali mnazopenda kwenda kupunguza misongo ya mawazo au kupata happy moments na...
  10. Today is the big day, Lamu port inazinduliwa. Wadau kaeni mkao wa kula

    Hayawi hayawi huwa. Leo ndio siku ya kuzinduwa mradi wetu tukufu wa Lamu port. Wivu batallion mpo wapi? Kujeni mumwage povu tutapanguza.
  11. J

    Kwanini viongozi wa kitaifa hupenda kula Sikukuu DSM badala ya Dodoma yalipo makazi yao?

    Nauliza tu maana Dodoma wamebakia akina mzee Mgaya na mzee Ndugai wengine wote wametimkia Dar es salaam kula sikukuu ya Eid El Fitr. Ni kwamba Dodoma ni padogo au bado ni mashambani hakufai kusherehekea sikukuu zenye amsha amsha?!! Eid Mubarak!
  12. Unapenda mboga gani ya majani?

    Mboga za majani ni muhimu sana kwa afya. Tunashauriwa kula mboga za majani kila siku. Binafsi napenda kula mboga za majani na mboga zangu pendwa ni tembele, chainizi, majani ya maboga na kisamvu. Tupe zako na ukiweza na jinsi ya kuziandaa.
  13. Uchaguzi 2020 Mnyika: Sakata la Wabunge wa Viti Maalum limehusisha mfumo wa Serikali kufifisha ajenda ya 'Uchaguzi haramu'. Ahoji Nusrat kuteuliwa akiwa gerezani

    Leo Novemba 25, 2020 katibu mkuu wa CHADEMA amezungumza na vyombo vya habari makao makuu ya chama hicho eneo la Ufipa, Kinondoni mada kuu ikiwa uteuzi wa wabunge wa viti maalum ambapo uapisho wao ulifanyika jana bungeni jijini Dodoma jana. Yafuatayo ni maelezo kwenye mkutano huo kuanzia mwanzo...
  14. J

    Faida 10 za kula Matango

    Ulaji wa matango na matikiti maji husaidia kuboresha kiwango cha maji ambayo huitajika mwilini, hii ni kutokana na matango kuwa na kiwango kikubwa cha maji ambayo husaidia kuondoa taka mwili pamoja na sumu mbalimbali ambazo miili yetu huzipata kupitia vyakula, madawa na hata vinywaji...
  15. Je, Kula kucha ni tatizo?

    Wasalamu, Mtu anayependa kung'ata kucha na kuzila kuna madhara yeyote kwa huyo mtu. Na je kipi afanye ili aache hiyo tabia.
  16. L

    Suala la mafuta ya kula lisipotezewe

    Kuna wengine wakienda supermarkets pesa iko na kubaki inabaki wanawapa tipu wahudumu kwahiyo hata mafuta yauzwe 10,000 Lita moja wala haiwasumbui pesa iko sio tatizo ni hivi to whom it may concern. Sijui ni Waziri wa kilimo au viwanda mafuta yako juu mno Au mko group ya pesa sio tatizo kwahiyo...
  17. U

    Kama uliwahi kula mishkaki ya mia mia, Morogoro basi uliwahi kula mbwa, jamaa wamekamatwa huko

    Mbwa ni mnyama ambaye amekuwa akitumiwa na binadamu kwa muda mrefu kwa ajili ya ulinzi katika maeneo mbalimbali, ikiwamo majumbani. Ni mnyama ambaye amekuwa akitumia nyama kama chakula chake kikuu. Pamoja na kuwa na sifa hizo, miaka ya zamani mnyama huyo alikuwa akitumiwa kama kitoweo na kabila...
  18. K

    Hizi hapa Hatari za Kula Tunda kimasihara

    Nimekua JF kitambo lakini jukwaa langu pendwa ni kule Siasa, ila masiku ya karibuni nikaanza kuingia humu na kwakweli nimejikuta nnapapenda kutokana na story za kuvunja mbavu zilizopo. Kuna huu uzi wa kula tunda kimasihara na hakika story za humo zinahadithiwa kiushujaa lakini ukiangalia...
  19. Wanaume: Ilikuwaje mara yako ya kwanza 'kula tunda'

    Hello Guys Leo ningependa tushee visa, hisia, vituko n.k Ilikuwaje kwa mara yako ya kwanza kupata utamu/kuingiliana na mwanamke/ku do /kula tunda /kuonja papuchi? Mie nakumbuka ilinichukua takribani Nusu Saa kusimama kwa Hofu niliyopata mpaka mdada wa watu akaanza kuingiwa na Wasi wasi lakini...
  20. Nigeria: Watu nane wakamatwa na Polisi kwa kosa la kula mchana mwezi wa Ramadhani

    Watu wanane wamekamatwa na polisi wa Kiislamu katika jimbo la kaskazini mwa Nigeria Kano kwa madai ya kukataa kufunga Mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Polisi wa Hisbah wanasimamia sheria za Kiislam huko Kano – moja ya majimbo 12 ya Waislamu kaskazini mwa Nigeria wanaotumia mfumo wa sheria wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…