kula

Kula - kitendo cha kuingiza kitu kinywani (hasa chakula) kwa lengo la kupoza njaa
  1. J

    Mbunge wa Hanang Mhandisi Hayuma asisitiza wanafunzi kula Shuleni.

    Na John Walter-Hanang Mbunge wa Jimbo la Hanang mkoani Manyara Mhandisi Samwel Hayuma amewataka wazazi na walezi kutimiza wajibu wao wa kuhakikisha wanafunzi wanakula chakula cha mchana shuleni . Hayuma ametoa Kauli hiyo wakati wa mahafali ya 22 katika shule ya msingi Bassotughang iliyopo Kata...
  2. Ramon Abbas

    Nafasi ya kazi ya ulinzi: mshahara laki 1. Pesa ya kula elfu 30. Mbezi Dar

    Wahi chap nikuunganishe upate hii kazi. night shift kwenye lodge Taarifa muhimu nimeweka juu ukiona mshahara sio size yako acha povu. Mlinzi mlinzi mlinzi
  3. Superbug

    Nawachukia Sana wanawake wapiga mizinga

    Kwakweli nawachukia Sana wanawake wapiga mizinga Yani unamtongoza Sasa hivi baada ya dk moja anaaanza kuomba hela ya kula au Kama Ana mtoto (singo maza) itaanza kusikia kesho nampeleka mtoto hospital Yani wanawake mnamaujinga mengi Sana mpaka mnatia kinyaaa. Acheni kuwa ombaomba uzeni hata ndizi...
  4. sky soldier

    Kazi hizi hufanya Wanaume wengi kula tunda kimasihara

    Wachungaji / ma ustadh / waganga feki - wanawake wengi sana wanasukumwa na Imani na ndio maana idadi yao ni kubwa kanisani, kwa waganga na wanaoenda kwa maustadh kwa tiba, matatizo Yao huwa kwenye uzazi, ndoa, malimbwata, kuombewa miujiza, kuroga, kuondoa nuksi, n.k hapa sasa kuna watu tajwa...
  5. J

    Serikali: Bei ya mafuta ya kula imepanda kwenye soko la dunia kutoka US dollar 500 hadi 1000 ndio sababu bei haijashuka

    Msemaji mkuu wa serikali Gerson Msigwa amesema bei ya mafuta ya kula imepanda kutoka dola za Kimarekani 500 hadi zaidi ya 1000 katika soko la dunia. Hii ndio sababu bei za mafuta hapa nyumbani zimabaki vile vile hazijashuka.
  6. mahunduhamza

    Kula kwa kujipongeza

    Aiseee mimi nampenda saana ronaldo CR7. Na nilijiapiza kama Ronaldo atarejeaa tena Man Utd nitakula vizuri saana hiyo siku. Nikaona sio kesi nakasubiri game yake ya kwanza England, kakipiga na Newcastle na kafanikiwa kutulia goli 2.. Man u imeshinda kwa gori 4-1 Wachaaaaa nijipongeze na ugali...
  7. Idugunde

    RC Homera: Kuleni Maharagwe aina ya Jesca muongeze nguvu za kiume

    RC wa Mbeya, Juma Homera amewashauri wanaume wenye matatizo ya upungufu wa nguvu za kiume kuacha kutumia dawa za kienyeji kuongeza nguvu hizo akidai dawa hizo zina madhara na badala yake watumie maharagwe aina ya Jesca
  8. Sky Eclat

    Msile mpaka daktari awaambie punguzeni, kula kwa kiasi na ukumbuke kuyaunguza mafuta kwa mazoezi

    Sasa huyu shost akiambiwa alipie nyama zote alizozi contaminate, bado tozo la miamala. Maisha ni magumu sana.
  9. MabatiBeiNafuu

    VIDEO : Manara azomewa na mashabiki baada ya Yanga kula Kichapo

    Baada ya timu ya wananchi kuchezea kichapo katika siku ya tamasha lao pendwa. Msemaji wa mpya Haji Manara aka Bugatti amerekodiwa akizomewa na mashbiki wenye hasira kali. #PoleSanaManara
  10. P

    Natafuta kazi yoyote ile ya kujitolea ilimradi nipate sehem ya kulala na kula tu

    Waungwana nimekuja kwenu, anayeweza anisaidie nipate kazi ya kujitolea nipo tayari kufanya kazi sehem yoyote ile, ilimradi ni kuwa na sehem yakunihifadhi na kula tu 🙏🙏🙏
  11. M

    Taliban wavamia Theme park Kabul na kuanza kula bata kama watoto.

    Hawa wataliban wanaocheza na hivi vigari wanaendana kinyume kabisa na Taliban asili. Kwasababu Taliban hata kusikiliza mziki na kucheza ni marufuku unachinjwa. Hii Taliban ya sasa ni tofauti ndo maana wanataka diplomasia na mataifa mengine na China na Urusi imefungua mlango. Hii ni Taliban...
  12. Suley2019

    Nigeria: Watu 24 wa familia moja wafariki kwa kula sumu

    Watu 24 wa familia moja wamefariki dunia baada ya kula chakula kinachohisiwa kuwa na sumu Kaskazini Magharibi mwa Nigeria katika jimbo la Sokoto. Kamishna wa Afya wa jimbo hilo, Ali Inname amewaambia waandishi wa habari kwamba familia hiyo ilitumia kimakosa kemikali ya mbolea ambayo ilionekana...
  13. Erythrocyte

    Viongozi wa CHADEMA waliokamatwa Segerea waanza kugoma kula kushinikiza washitakiwe ama waachiwe

    Watu hawa tangu walivyokamatwa siku 5 sasa hawajapelekwa Mahakamani , wala hawaruhusiwi kuonana na ndugu zao pamoja na wakili wao .
  14. malunde_mc

    SoC01 Kilimo cha kimkakati ili kuondoa upungufu wa mafuta ya kula nchini

    Kilimo cha kimkakati ni aina ya kilimo kinacholimwa kwa lengo la kuzalisha mazao yanayotosheleza mahitaji ya nchi na kubaki ziada. Kwa miaka mingi sasa kumekuwa na tatizo la upungufu wa mafuta ya kupikia nchini.Ili kuondokana na tatizo hilo nchi inatakiwa kuanzisha kilimo cha mazao yafuatayo...
  15. G

    Athari za mafuta ya kula yaliyoharibika (rancidity)

    RANCIDITY NI NINI? Rancidity ni hali ya kuharibika kwa mafuta ya kupikia au mafuta yaliyo katika vyakula mbalimbali kama vile samaki au nyama kutokana na jinsi yanavyotumika, kuhifadhiwa au kupita muda wake wa matumizi (expired). Katika kuharibika hutoa kemikali ambazo ni hatari kwa afya ya...
  16. M

    Maumivu ya upande wa kushoto wakati wa kula

    Habari Siku mbili hizi nimejihisi ninapata maumivu chini ya kabla ya kumalizika kwa mbavu upande wa kushoto wakati wa kula tuu maumivu sio makali kawaida tuu. Kabla ya kwenda kufanya vipimo naomba kujua kama kuna mtu anafahamu tazizo hili. Asanteni sana
  17. B

    Kodi ya Uzalendo na Kisa cha nguruwe kula watoto wake

    Kuna Kipindi nilifuga nguruwe, yule nguruwe akapata watoto 7. Sasa cha kushangaza siku ya pili yake jioni nakuta vitoto 4, nikauliza ni nini kimetokea, kijana akasema na yeye anashangaa. Nikampigia simu rafiki yangu kuuliza akasema huenda hakupewa chakula cha kushiba hivyo sababu ya njaa kala...
  18. The Palm Tree

    CCM msipumbazike na kula, kunywa na kushiba hata mkalewa msioone hatari iliyoko mbele yenu

    Nimetoa mada "Rais Samia Suluhu Hassan, alama ya mwisho ya anguko la utawala wa siasa za CCM Tanzania...." Wengi hawajanielewa na kusema it's a delusional.... Dunia hii ina historia pevu sana inayoweza kutufundisha na kutujuza tulikotoka. Tunaweza kutumia matukio yaliyopita (historia) ili...
  19. JABALI LA KARNE

    Ukitaka kula basi kubali nawe uliwe, hili halikwepeki

    Ukitaka kula, sharti uliwe..... Nimemkumbuka JK, uongozi wake ulikuwa na kashfa za kifisadi ila uliweza kutengeneza fedha, sehemu za fedha zilifisadiwa sana, ila nchi bado ilikuwa na fedha za kuendesha uchumi, kulipa mishahara na kuiongeza, mikopo kwa wahitimu wa sekondari hata walipogoma...
  20. K

    Msaada wa mpangilio wa lishe kwa asiyependa kula

    Wandugu nna rafiki yangu kaniomba msaada wa kumuandalia menyu ya wiki nzima kwasababu hapendi kula. Naomba msaada tafadhali
Back
Top Bottom