Kwenye huu uzi nitakuwa naposti video pamoja na habari mbalimbali za kula bila ya kuvimbiwa pamoja na video na habari za kujipimia pia.
Video zangu ni fupifupi ambazo zipo chini ya MB 1 ili hata akina sie ambao bando linasumbua sumbua baada ya serikali kupandisha gharama za bando tuweze...
Kuna watu wamejijengea heshima Kwa Miaka mingi ila Kwa sasa wamekuwa wa kupuuzwa!
Mara tatu Samia anataka kujiuzulu mwaka 2017 tarehe 6 June aliandika barua kwenye Suala linahusu kukaripiwa Kama mtoto Mdogo ndani ya korido za ikulu akatishwa kwamba yatakayo mtokea yanaweza kuwa mabaya zaidi...
Nimeangalia na kusona sehemu ya maandiko kuhusu mmea aina ya Canola au Rapeseed, ambao unaweza kuzalisha mafuta ya Kula zaidi ya Alizeti.
Wenzetu Kenya wenye mashamba makubwa wameanza kulima, licha ya kuwapatia faida lakini kimekuwa ni kama kilimo cha muda kusaidia kurutubisha ardhi au...
Ndugu zangu madaktari wa jf nina shida kila nikila nyama nyenye mafuta nakua naharisha sana.
Mfano jana nimekula nyama ya mbuzi iliyopikwa mchuzi nimeharisha mpaka damu.
Naombeni msaada jamani
Itoshe kusema watu wa imani ile ni washari na wakorofi sana, ni wanafiki kuliko vipimo vyote vya unafiki ati dini yao ni ya haki, sasa haki gani ya kubugudhi wengine kama wewe umefunga ndio ulazimishe wa wengine wasiokua wa imani yako wafunge ?!!! Ebo !!
Mbona wengine hua wanafunga kwarezwa na...
Kuna Kwaresima na Ramadhan miezi ambayo waumini wa Kikristo na Kiislam wanafunga kama sehemu ya imani zao kwa lengo la kumpendeza Mungu wao ili awasamehe dhambi au awape kibali cha kuingia peponi. Kwenye upande huu wa dini sintakuongelea zaidi kwakuwa imani ya mtu ni package ambayo haiko wazi...
Habarini za kutwa nyote.
Naomba niseme kwamba katika dini yetu ya uislamu hakuna pahala mtume kamkataza asiyekuwa muislamu kula mchana wa ramadhani.
Na wala hakuna pahala qurani imekataza asiye muislamu kula mchana wa ramadhani.
Na wala hakuna sehemu wakati wa mtume imeonesha kwamba...
Nikiri wazi kale ka uzi Pendwa ka vijana wakati mwingine kana hamasisha na unaeza kuwa mtaani na mambo yako ukikumbuka tu JF unasema eemu ngoja nitest zari.
Kwa kifupi last 2 weeks nilikua napita pita tik tok kuna mdada kiukweli ni pisi hatar nilikua namfatilia kwa week kadhaa huwa anapenda...
Wakati wa vita ya pili ya dunia Uingereza ilipatwa na upungufu mkubwa sana wa mafuta ya kula. Wakakaa chini wakaumiza vichwa wafanye nini. Wakakubaliana kulima karanga kwenye koloni lao la Tanganyika. Mipango ikafanywa, eneo linalofaa likatafutwa, wakapata huko Kondoa. Wakanunua matrekta...
Habari wana jamvi.
Kijana wenu nikiwa na umri wangu wa miaka 33 kamili, nimedhamiria kwa hiyari yangu mwenyewe, bila kushurutishwa wala kushawishiwa na mtu yeyote; kuacha kula kabisa vyakula vyenge wanga. Vyakula vyenye wanga kwa wingi ni kama mahindi, mpunga, mihogo, viazi, magimbi, ngano...
Tulizoea bidhaa kama ngozi ya ng'ombe ikitumika katika utengenezaji wa bidhaa mbalimbali kama vile mikanda, Mabegi nk. Nina mwezi mzima na zaidi naweka oda ya ngozi ya ng'ombe kwa ajili ya kumchemshia mbwa nakosa nashindwa kujua kwanini. Basi ikabidi nimuulize huyo muuza bucha kwanini zimekuwa...
Ilikuwa Ni siku ya weekend jumosi Siku ilikuwa na hali ya hewa tulivu kama Dalili ya mvua kunyesha. Niliamka asubuhi na mapema nikafanya usafi wa mwili na mazingira, Nikanywa chai nzito, nikaenda Chumbani nikachukua kitabu nisome ili nijiliwaze na kupoteza mawazo ya ahadi ya tunda tuliyo wekeana...
Nakumbuka kuna kipindi nlikuwa chuoni hela yangu ya matumizi kwa mwezi ndani ya siku 10 hivi, nlimpigia simu mhusika aliekuwa akinutumia pesa jibu nlilopewa ni "mbona mapema sana subiri mwisho wa mwezi".
Hapo tayari nlikuwa na madeni kadhaa yani kukopa ilikuwa tabu.
Basi ikifika mchana nlikuwa...
Askari ma gereza wamemfuata FREEMAN Mbowe, anahitajika ofisini kwa Jaji katika kikao cha pamoja na mawakili wa pande zote (serikali na utetezi), Washtakiwa wengine watatu bado wamebakia kizimbani.
Hapa Kuna utata na mahakama imeshindwa kabisa kusimamia Haki, ushahidi wa Upande wa utetezi...
Mhe. Mbowe amenyoosha MKONO na kumwaleza Mhe. Jaji kwamba Wana miezi mitano bila kula chakula cha Mchana kwa maana nyingine kauli Hii inaonyesha watuhumiwa hawa wamekuwa wakishinda na kulala bila kula Kwa siku zote wanazoletwa mahakani huku mahakama ikishindwa japo kupitisha mchana bila kula
"...
Nimeulizwa et oooh unantakia nini? Nikauliza unaniona kipostive et eeeh? Mi nikamwambia mi wa kifestival na ni habari ya dunia hata pasaka na Valentine vinasubiri, akauliza tena wee si umeoa? Nikamjibu ndiomana namba umenpa uko na akli tmamu.
Wa Kifestval nshapta nae sasa asubr ufafanuz...
Mcheshi Erick Omondi amekashifiwa kwa kula uroda na msichana katika hoteli moja jijini Nairobi halafu akakosa kutimiza ahadi ya kulipa binti huyo shilingi elfu ishirii na tano za Kenya.
Akizungumza na chombo kimoja cha habari, msichana huyu almaarufu manzi wa TRM alisema kwamba alikutana na...
Kwema!
Mara kadhaa umewahi kusikia mtoto akilia kisa kipigo et kalosa , unadhani mtoto aliyeshiba vizuri anaweza kula upya? Kwa mawazo ya kikubwa kikubwa unaelezeaje hili suala kama lilishawahi kupata utotoni; kama mzazi alikuwa sahihi kwa nini? Kama hakuwa sahihi kwa nini? Huelewi bado...
Nakukumbusha mheshimiwa rais mliidhinisha pesa za upanuzi wa viwanja kadhaa vya ndege hapa nchini na cha Mkoa wa Mara hapo musoma kikiwa ni kimojawapo.
PICHA: Sehemu ya mji wa musoma unavyoonekana kutokea juu.
Taarifa tulizo nazo pesa ilitolewa ili kufidia wananchi waliopo kwenye eneo la...
Habari za wakati huu wana JF.
Baada ya kupitia ule uzi pendwa wa kula tunda kimasihara nimegundua visa vingi vimejengeka katika mazingira yanayohusisha matumizi ya vilevi.
Hivi sababu ni nini? Je vilevi vinahamasisha ulaji wa tunda kimasihara?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.