kula

Kula - kitendo cha kuingiza kitu kinywani (hasa chakula) kwa lengo la kupoza njaa
  1. beth

    Naibu Waziri: Suala ya wazalishaji mafuta ya kula kufutiwa 'VAT' linahitaji wataalamu

    Naibu Waziri wa Fedha, Hamad Hassan Chande amesema Serikali inafanya tathmini ya hatua mbalimbali zinazopaswa kuchukuliwa kwa kila Sekta ili kukabiliana na athari zinazotokana na Hali ya Kisiasa ikiwemo Vita ya Urusi na Ukraine Ameeleza hayo baada ya Mbunge Nancy Hassan Nyalusi kuhoji ni hatua...
  2. S

    Nimeamua kuacha kula maharage

    Maharage yanaharibu macho so nimeona bora niache kuyala au kupunguza kuyala kwa muda wa mwezi
  3. MakinikiA

    Ukila nyama ya mtu utaendelea kula tu

    Msemo huu unatufundidha sana ni sawa na mtu muongo. Ukiwa muongo utakuwa muongo muongo kuanzia msikitini, bungeni mpaka kwenye familia endapo hutaamua kutubu UWONGO wa mwanzo.
  4. Poker

    Kula dagaa ni umaskini au maharage, sasa mbona bei iko juu?

    Maharage kilo 2800 Dagaa kilo 8000 Sasa kwanini ukila unaonekana hohehahe?
  5. OffOnline

    Kumekucha, Kafulila, Chongolo kula sahani moja na wahujumu Uchumi

    SIMIYU: KAMPUNI ZILIZOSAMBAZA DAWA FEKI ZA PAMBA KITANZANI Mkuu wa Mkoa Simiyu, Ndugu David Kafulila amesema timu aliyounda kuchunguza ukubwa wa tatizo la dawa feki za pamba itamaliza kazi siku ya Jumatatu, Juni5, 2022. Kafulila amesema hayo kufuatia malalamiko ya wakulima kuhusu bodi ya pamba...
  6. DR HAYA LAND

    Vijana na wazee tusikose kula

    Katika Maisha yangu mimi kula vizuri kulala katika Godoro la Futi 10, Mboga za majani Nyama, juice Safi hayo ndo Maisha yangu napenda. So siwezi kuishi kwa kuwatengenezea Maisha watu watakaozaliwa miaka 10 ijayo huu ni uongo kiukweli so i can't Naamini mtakaozaliwa na nyie mtakula...
  7. FRANCIS DA DON

    Je, mtu unaweza kupokea Ekaristi Takatifu bila kula kile kipande cha ngano?

    Mantiki ya swali langu inalengo la kufahamu, je, Ekaristi ni kitu ‘Spiritual’ au ni kitu ‘physical’? Meaning, mtu anaweza kupokea Ekaristi bila kula kile kioande cha mkate? Spiritually tu kwa kuamini?
  8. aise

    Huu hapa mchongo wa kufanya kwa kijana apate hela ya kula

    Huu mchongo ni kwayule kijana ambaye amepinda na maisha ya mtaani. Kuna michongo mingi ya kufanya ili "kusogeza siku" huku ukisubiri inshu ya maana. Huu ni mmoja wapo. KUGONGA KOKOTO. KUGONGA KOKOTO ndoo moja ni 200, kwahiyo ukikomaa kwa siku wastani unaweza kugonga ndoo 30. 200 ×...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    Mambo ya kuzingatia wakati wa Kula chakula mkiwa jumuiya!

    MAMBO YA KUZINGATIA WAKATI WA KULA CHAKULA MKIWA KWENYE JUMUIYA! Anaandika Robert Heriel. Kula chakula napo kunauungwana wake, ambao hauna budi kufuatwa, hasa ukiwa unakula watu zaidi ya mmoja, iwe ni kwenye familia, Ugenini,kwenye matukio Kama HARUSINI, misibani n.k. Kula kitasha inaweza...
  10. Expensive life

    Ukisikia kula tunda kimasihara ndiyo hii sasa!!!

    Kijana mmoja huko buza kwa mpalange amejikuta akitunukiwa tunda kimasihara bila kutoa hata senti tano. Dah,, ila hizi bahati mbona hazijawahi kunikuta ona sasa mpaka nimesha owa.,😋😋😋
  11. GENTAMYCINE

    Wapenda Kula Ndizi na Kulamba Ice Cream za 'Kibaiolojia' mkiwa na Suti zenu za Uumbwaji acheni kwani HIV 'Kajibanza' huko sana

    Sasa Wewe jifanye unajua sana ' Malavidavi ' na unataka kuonyesha Mbwenbwe zako Kitandani Ufe. Kwanza kwa Maisha haya Magumu nyie Mabwege mnaopenda sijui Kulamba Ice Cream na Kula Ndizi mkiwa ' Mnabanjuana ' mnaupata wapi huo muda? Pateni Nakala ya Gazeti la Nipashe la Leo ili mjue mengi zaidi...
  12. sky soldier

    Babu zetu waliwakataza wanawake kula mayai na nyama wakiwa na mimba kuzuia mtoto kuwa mkubwa, wengi wamekiuka hujifungua kwa upasuaji

    Wahenga zetu kwa namna moja au nyingine walikuwa na akili sana. Zamani haya mambo ya upasuaji yalikuwa bado sana na mtoto alikuwa anazaliwa nyumbani kwa msaada wa wakunga ila kazi ya kumtoa mtoto kwa kiasi kikubwa ilikuwa kwa mwanamke kumsukuma mtoto atoke, hakukuwa na shortcut ya upasuaji kwa...
  13. BabaMorgan

    Kama Mwanaume haupaswi kula chakula kingi nyumbani heshima yako itashuka

    Katika muendelezo wa kupeana tips za hapa na pale kwa lengo la kuishi comfortable na kuhakikisha heshima ya mwanaume inabaki palepale licha ya mapinduzi makubwa ya teknolojia katika karne ya 21 ni vyema kuzingatia vitu ambavyo ni minor kwenye maisha lakini vina negative impact. Back in days...
  14. Expensive life

    Ambao hatujawahi kabisa kula chipsi tujuane hapa.

    Chipsi ni chakula kisichokuwa na faida yeyote mwilini mwa mwanadamu, hakiongezi chochote zaidi ya kuusababishia mwili maradhi yasiyo na maana. Pale nyumbani kwangu wanakula japo siyo mara kwa mara inaweza kupita zaidi ya miezi mitano ndiyo wanakula, wanajua kabisa kwakipika hii kitu baba lazima...
  15. E

    Tusipunguze kodi kwenye mafuta ya kula tuwawezeshe wakulima kuzalisha alizeti kwa wingi bei itashuka yenyewe

    Nimeona maelezo ya mama ssh kuwa wanaangalia upya kodi ya mafuta ya kula, mie sioni sababu ya kupunguza kodi na ikiwezekana ipandishwe badala yake tuwekeze kwenye kilimo cha alizeti ufuta na michikichi, tuwasaidie wananchi kuwekeza kwenye mashine za kuchakata mafuta ya kula hasa alizeti...
  16. I

    Hivi Ramadhani ni mwezi wa kula Sana au wa kufunga?

    Ukiangalia huku uswahilini mama ntilie wanafurahia Sana mwezi wa ramadhani Mana watauza Sana kuliko miezi mingine. Sasa logically Ni kwamba mwezi wa ramadhani Ni mwezi wa kula mno/Sana na tunadanganywa kwamba ni kufunga. Ukiangalia hata waislamu wenyewe wanafurahia Sana wakati ki ukweli mateso...
  17. Mia saba

    Nini kilikufanya uache kula kwa majirani

    Mda mwingine unaona njaa itaniua unaamua kugusa gusa (kula) kwa majirani, baada ya hapo masimango ya kuwa "mpaka hapo ulipofikia bila sisi ungekuwa umeshakufa uwe unatushukuru kila kukicha😬" na kadhalika. Binafsi masimango ndio sababu iliyonifanya niache kula kwa majirani
  18. L

    Wimbi la watoto kutoa shuhuda za kutisha zinazohusu uchawi wa kuua na kula nyama za watu

    Wanapendwa, Watoto wadogo kuanzia umri wa miaka 6 mpaka 12 asilimia kubwa wasichana kwa nyakati tofauti wamekuwa wakitoa shuhuda za kujishughulisha na uchawi katika kanisa maarufu lilipo Dar es Salaam. Katika shuhuda hizo watoto hao hukiri kujihusisha katika vitendo vya kichawi vya kuua watu na...
  19. Robert Heriel Mtibeli

    Kanuni ya muhimu katika Drafti; "Ukitaka Kula nyingi nawe lazima ukubali kuliwa" ndio inayotumika sasa?

    Kwema Wakuu! Niliwahi kumsikia Mzee wetu, Rais Mstaafu Jakaya mrisho Kikwete akisema; ukikata Kula sharti nawe uliwe. Naweza kuwa sijanukuu Kama ilivyo lakini ujumbe ulikuwa na maana Sawa na huo. Taikon ni moja ya wacheza Drafti mahiri Sana katika mchezo huo. Mabingwa wa Drafti wanajua kanuni...
  20. M

    Uhaba wa mafuta ya kula ulaya

    Mzuka wanajamvi! Kwaanzia Uingereza, Ujerumani na nchi zote za skendinevia kuna uhaba wa mafuta ya kula. Kuadimika huko kumesababisha hadi bei kupaa. Bei ilishaanza kupaa kabala lakin vita ya Ukraine imeipaisha zaidi. Na yale ambayo bado yapo kwenye shelves za supermarket huruusiwi kuchukua...
Back
Top Bottom