Habari wadau,
Naomba ushiriki katika ujenzi wa afya, Dunia hii malaika ni watu na si vinginevyo, kila mmoja wetu kaumbwa kama malaika wa pekee, niwape hili moja la kupunguza mwili na Uzito na kuondokana na tabia ya kula kula kila wakati.
Anza zoezi la kutumia kahawa iliosagwa vizuri ya dukani...
Imeelezwa kuwa panya hao wamekula bangi hizo zilizokamatwa kama ushahidi kutoka kwa wahalifu na kuhifadhiwa kwenye Kituo cha Polisi.
Maelezo hayo yametolewa Mahakamani wakati kesi tatu za bangi zilipokuwa zikiendelea, tamko la Polisi limesema “Panya ni Wanyama wadogo na hawawaogopi askari ni...
Nichukue nafasi hii Kuwapongeza Watoto Wote wa Kikatoliki ambao leo wanapata Komunio yao ya Kwanza.
Tafadhali Wazazi wa hawa Watoto GENTAMYCINE nawaomba hebu nipeni basi Code ili nije Kula nanyi hiyo Mipalau yenu mlioipika ili niokoe Bajeti yangu ya Chakula kwa leo Jumapili.
Nijibuni upesi kwa...
Lazaro Adamsom mwenye miaka 40 mkazi wa Songwe, anatuhumiwa kumuua Berta Shugha mwenye miaka 69, kisha kuukata kata mwili wake na kuuchoma kama mishkaki, kisha kuila.
My Take: Tunapoelekea panatisha sana.
----
Mkuu wa wilaya hiyo Simon Simalenga amesema mtuhumiwa alidai kwamba alimuua mwanamke...
Kwa kuwa sisi ni wakristo ni kwamba sisi tunafata nyayo za Yesu Kristo. Ni vipi kitu ambacho hakusema Yesu Kristo kinawekewa mabano ya kuweka uchambuzi wa maono ya waliotafsiri biblia? mbaya zaidi kuna biblia hata hayo mabano hayamo, uchambuzi umeunganishwa kuonekana ni maandiko matakatifu...
MUHIMU: Kwa wale baadhi yao wenye tabia hii, sio wote, wapo wanaojiheshimu !
Elimu yangu niliishia form 4, ilinibidi nianze maisha ya kujitegemea kwa kujifunza useremala naoufanya hadi sasa (najikongoja wala siwezi kujisifia nimefanikiwa )
Katika miaka mingi nimeweza ku observe kwamba kua...
Kuongezeka kwa biashara ya mafuta ya kupikia kunaweza kuwa na manufaa kwa uchumi wa nchi, lakini kufanya biashara hiyo katika mazingira ya wazi, ni hatari kwa afya ya watumiaji.
Uuzaji wa mafuta ya kupikia kwenye maeneo ya wazi hukaribisha uwezekano wa athari za oksaidi, ambazo zinaweza...
Toka tupate uhuru ni miaka zaidi ya 60 chini ya utawala wa CCM lakini watanzania hatuna uhakika wa kula, kuoga wala kuona usiku. Nikimaanisha kwamba hakuna chakula cha kutosha, hakuna uhakika wa maji wala umeme.
Leo unga wa sembe kilo ni zaidi ya shilingi elfu 2, maharage yako shilingi elfu 4...
Hela bwana Shetani sana hahahaah, hivi kuna mtu umewahi kukusanya mchango hata wa msiba tu halafu usichomoe hata 10,000 yaaani lazima itakuja kishawishi tu utachomoa sijui kwanini!
Hivi kuna mtu ambaye hajawahi hata siku moja umechangisha hata kuchomoa kidogo?
Kuna siku moja nilikuwa nasafiri kutoka mkoa A kwenda mkoa B na safari ilichukua takribani masaa 16. Kuna muda dereva wa basi alituamuru tushuke kichakani tuchimbe dawa na tutumie dakika 5, kweli abiria wote wake kwa waume tulishuka.
Mimi nikaelekea upande fulani halafu kuna mdada nikashangaa...
Hawa ni majini, na kama tujuavyo majini kazi yao ni kuharibu na kupotosha. Hamna nyingine.
1. Waganga
2. Manabii wa uongo.
3. Saluni/Urembo na mavazi.
Hawa ndiyo kwa kiasi kikubwa wanakula sana pesa za wanawake. Yaani nyumbani inawezekana kabisa ukawa huna pesa hata kidogo na mke anafanya kazi...
Wakati bei za vyakula zikizidi kupanda katika maeneo mbalimbali nchini, wakulima wametaja sababu tatu za hali hiyo, wakiitaka Serikali kuingilia kati.
Miongoni mwa sababu hizo, eneo ambalo wanataka Serikali iingilie kati ni kufurika kwa wanunuzi wa nafaka kutoka nje ya nchi. Sababu nyingine ni...
Kwa jinsi ilivyo kwa sasa, huwenda nawakilisha wananchi wengi mamilioni kwa mamilioni wenye swali kama hili
Maisha yamekuwa ghali sana kushinda vipato vyetu,
Wengi wetu, vipato vyetu haviruhusu kucheza mbali na kula tuu, na hapo ni kwa kukatisha Milo, kama mtu kwa kipato hikihiki ambacho...
Kama wewe mwenyewe umeshindwa kujisimamia, utawezaje kumsimamia mke pamoja na watoto?
Narudia tena kukushauri, usioe kama kula yako ni ya shida; tatua kwanza changamoto ulizonazo, na uhakikishe uhakika wa kupata chakula kila siku upo, ndipo uoe.
Kuoa sio fasheni
Wazee kibunda kipo na nishafika Moro,ntalala hapa Ili kesho mchana niondoke kuja dar sasa nawaza hiki kibunda changu nikitumie wapi?
Nipo na girlfriend wangu.
Zaidi ya watu 100 walikimbizwa Hospitali baada ya kula nyama ya ngamia aliyekufa. Baadhi ya watu wakiwemo watoto wamelazwa katika hospitali ya Nyambene na wengine walitibiwa na kuruhusiwa kurudi nyumbani.
Daktari aliyewatibu amesema walikula Nyama ya ngamia ambaye nyama yake haikuwa salama...
Shirika la Viwango (KEBS) limezitaja aina hizo za mafuta yanayotakiwa kuondolewa madukani haraka kuwa ni Friji Safi na Garlic Oil, Fry Mate, Bahari Fry, Fresh Fri, Gold na Pure Olive Gold, Postman, Rina, Salit, Tilly na Top Fry.
Aina zilizoorodheshwa zinatengenezwa na kampuni za Bidco Africa...
Mlipayuka hovyo na kudai kuwa hayati JPM alipenda megastructure ambazo hazina msaada wowote.
Mlisahau kuwa dadaja la wami la sasa ni dogo na kiusalama lilikuwa halifai.
Leo mtaenda kula X mass huko kaskazini huku mkipita juu ya hilo daraja jipya mmekanyaga kibati 130km/h
Kwenda bar nakuagiza; mbuzi, kuku, kitimoto, nyama choma, pamoja na kumwagilia moyo na marafiki; huku familia umeiacha ikila mboga za majani, sio uungwana.
Itapendeza zaidi, kama utakuwa na familia yako; wote mkiwa mnatumia kwa pamoja, na si wewe na marafiki wakati huko nyumbani kwako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.