Mimi banaa, nmekulia kwenye huu ustaharabu wa Kila mtu na Sahani yake.
Lakini napo ilikua inanibidi kumwambia mwanandugu tuchanganye Msosi tule fasta fasta , sio kwamba lengo lilikua nikumpiga KO kama ambavyo wengi wasomaji mwaweza kudhania, la Hasha, lengo ilikuaga ni Ili tuwahi kumaliza...
Kuna watu wanaishi maisha ya ajabu sana, na wao wanaona ni sawa.
Kuna sehemu nilienda wakaanza kuandaa chakula, mara nikaona mpishi anapika mara akafutia sufuria na kanga aliyojifunga, nikasema tobaa hiki chakula siwezi kukila tena.
Usafi ni muhimu sana kwa mpishi kwani ukizingua kwenye usafi...
Tofauti na samaki wakubwa, mtu anayekula dagaa anakula hadi mifupa yake. Sasa mifupa ina madini mengi sana ya calcium. Madini hayo ndiyo hujenga mifupa ya viumbe wote.
Binadamu anayekula dagaa anakuwa na mifupa imara sana kuliko alaye samaki wakubwa, hasa kwa watoto ambao wanakua. Kwa kweli...
TO ALL TOURISM ESTABLISHMENTS
ZANZIBAR
RE: THE HOLY MONTH OF RAMADHAN 2022
I have the honor to refer to the above subject.
Ramadhan is one of the five pillars of Islam when Muslims are abstaining from eating from sunrise to sunset. During this month you are strongly required to observe the...
Leo March 20 Kuna tukio nimelikumbuka kipindi Niko o level kidato Cha nne.
Nilipewa hela kama laki 4 kwa ajiri ya kulipa Ada na michango mingine ya shule. Kipindi hicho Ada inalipwa shuleni unapewa risiti halafu muhasibu wa shule anapeleka benki..nilikuwa nasoma shule ya jeshi ni ya day na...
Serikali Wilayani Ludewa Mkoani Njombe imepiga marufuku ulaji wa nyama ya Nguruwe, kuingiza mfugo wa Nguruwe pamoja na kutumia mazao yoyote ya Nguruwe ikiwemo Damu, samadi, mifupa na nywele kwa muda usiojulikana isipokuwa kwa idhini ya Daktari wa mifugo wa Wilaya hyo.
Taarifa iliyotolewa na...
Mpaka muda huu watu sita wamefariki dunia baada ya kula nyama ya kasa kisiwani Mafia wakiwemo watoto wawili ambao ni ndugu huku baba yao na mama yao wakiwa wapo hospitali hapa Mafia wamelazwa.
Taarifa zinakuja sababu bado huduma inaendelea watu ni wengi waliokula taarifa inakuja ishazikawa...
Wale Jamaa pale Kwa Mnyamani na li ugali lao kuuubwa walilopika na kula kwa sukari. Wamepata faida gani kimpira zaidi ya kula ugali wakiwa gongo wazi??
Manara aliwahi kusema kuwa Yanga kuna watu wawili tu wenye akili (hata yeye hana), yaani baba yake mzazi na Mzee Jakaya.
Yaani asikwambie mtu machungwa ya tanga ni matamu sana hasa upate yenye maji mengi na kiharufu Cha asili mengi, nnakwambia utaloesha hadi ndevu, afu upate yenye kiharufu Cha asili.
Ni kutafuna na kufyonza tu mpaka ganda, maelezo zaidi kwenye picha.
Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mira wa Miguu Tanzania (TFF) imekutana leo tarehe 2 Machi, 2023 kwa ajili ya kusikiliza pamoja na mambo mengine shauri la mapitio (Review) ya uamuzi wake wa tarehe 9 Januari 2023 kati ya Feisal Salumu na Klabu ya Young Africans kama...
Kwakweli mimi sijazunguka mikoa mingi sana ila kwa nilipopita bado sijaona sehemu nzuri za kula bata kama Moshi. Isipokuwa Dar es Salaam
Kwanza nilichopendea hakuna sehemu ya kiwango cha chini zote ni kama VIP ambazo kwa Dar lazma ukute vinywaji vinauzwa bei juu.
Pamoja na kuwapo na wageni...
Baada ya kuandika post ambayo ilikuwa inahusiana na Dhana ya Futari na Daku kumeibuka maswali mengi na kashfa nyingi kuhusiana na funga ya Waislamu kwamba, wamebadili ratiba ya kula,mara sijui wanakula usiku mzima na bla bla bla nyingine kibao.
Sasa Jamiiforums ni jukwaa la elimu na maarifa...
Mihogo huwa ina sumu inayoitwa cyanide. Sumu hii hupatikana kwa wingi sana kwenye mihogo michungu. Lakini pia ipo kwa kiasi fulani kwenye mihogo ile mitamu. Sumu hii ni kali sana, ikizidi inaua mara moja. Ndiyo hata wqle majasusi unaona wnajiua kwa kutumia cyanide iwapo wamekamatwa na hawataki...
Kuna kipindi nilikwenda Japan kwa shughuli flani.
So nikawa nacheck news kwenye television, na uzuri Station niliyokua naangalia ilikua inatumia lugha ya Kiingereza katika kurusha matangazo yake so nilielewa vizuri tu kilichokua kinazungumzwa.
Mtangazaji alitangaza kwamba kuna maiti ya...
Wanabodi,
Sisi binadamu tofauti tofauti tuna hobies mbalimbali, wengine wanapenda kutulia sehemu moja, wengine wanapenda kusafiri safiri.
Mimi hobby yangu ni safari, na kula. yaani travelling na eating delicious meals na feasting on anything good! Yaani napenda sana kusafiri na kula vitu...
Tunaambiwa kuwa kuishi vizuri ni pamoja na kula chakula bora na sahihi. Pia, mtu anayeishi vizuri ni yule ambaye hasumbuliwi na maradhi hatari na njia pekee ya kuulinda mwili dhidi ya maradhi hatari ni kujua ipasavyo na kuvitumia vyakula bora pamoja na kufanya mazoezi.
Katika makala yafuatayo...
Acha pupa/Uharaka
• Mtoto wakike wala usimwarakishe. Ukifika chumbani(akafika chumbani) kwanza (kumbatianeni na mbusu pia mnongoneze. Kwa sauti ya mahaba ya chumbani, mwambie nakupenda.
• Mpeleke taaratibu kitandani, akishafika (kama una zawadi unaweza mgeiya yoyte ile iwe zawadi ya chakula au...
Huku kwetu Rais anaweza kujikuta karibu kila waziri wake anakula ngumi kwa ubadhirifu kwenye wizara zao 😀😀.
Mwalimu Nyerere alikuwa sahihi kwa sehemu kuwapiga viboko ishirini na vinne,siku anaingia viboko kumi na viwili na siku anatoka jela viboko kumi na viwili akamuonyeshe mkewe 😀😀.
Mimi ni Msabato kindakindaki. Nilibahatika kufunga ndoa na binti Mkatoliki, alihamia Sabato na akabatizwa ubatizo wa Kisabato.
Huyu binti ni mpigaji mzuri wa kitimoto, yaani balaa. Nimemwambia achana na hugo gudude ni gubaya.
Akaniahidi kuwa ameacha, lakini kila baada ya muda kidogo namkuta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.