kula

Kula - kitendo cha kuingiza kitu kinywani (hasa chakula) kwa lengo la kupoza njaa
  1. Mwamuzi wa Tanzania

    Umerogwa sio bure: Unang'ang'ania Dar es miaka mingi, kula kwa shida, kulala kwa shida, unasafiri kwa shida huku kuna ardhi Tanzania haina mwenyewe

    Bila salamu nawapa ujumbe wenu enyi watu. Mnaweza kusema kuwa najiinua au nawakashifu ila Mimi siko huko. Ni upendo tu. Waarabu wanasema fikisha ujumbe hata kama ni mchungu. Miaka 5 inatosha kabisa mtu kupima bahati ya maisha Dar es salaam au mahali popote. Unaishi Dar miaka zaidi ya 5 huna...
  2. figganigga

    Ally Bananga, alimnanga Paul Makonda kwamba ni Ziro Bashite, ila leo kula kwake hadi Makonda aamue

    Ally Bananga ambaye sasa ni Mwenezi wa CCM Mkoa wa Dar, amejikuta anakula matapishi yake baada ya kuangukia mikononi mwa Makonda. Kumbuka Paul Makonda ni Mwanachama hai na mwaminifu wa CCM Mkoa wa Dar. Pia ni moja ya Watoa Maamuzi. Bananga alipokuwa CHADEMA, yeye na Mwenzake Boniface Jacob...
  3. Kichwamoto

    Ubunifu wakati wa kula tunda la mti wa Eden unasaidia kujenga legacy yako kwenye anga za mahusiano

    Habarini nyote Bazzukulu, Nawakumbusha wanaume kuwekeza kwenye ubunifu wakati wa kula tunda ikiwa ni pamoja na kuicheza ngoma ya mlo wa tunda kwa kumkatikia mwanamke mauno yenye ustadi wa hali ya juu sana. Hii itasaidia kuacha legacy yako nzuri kwa washirika wako. Nisiwachoshe ni hayo tu...
  4. M

    Rais aliyepinduliwa Niger aamrishwa kula wali mkavu bila mboga

    --- Experienced journalist and public affairs analyst Chuks Ohuegbe has come forward to respond to the ousted President's comments regarding his treatment by the detaining soldiers under Mohammed Bazoum's prolonged arrest by the military junta that has taken control of the Niger Republic...
  5. benzemah

    Faida sita kubwa za kula ndizi mbivu na angalizo la kutokuweka ndizi kwenye friji

    Ndizi ina aina tatu za kipekee za sukari zinazojulikana kitaalamu kama Sucrose, Fructose na Glucose na pia ina kiasi kingi cha ufumwele (fibre), ambacho husaidia sana katika usagaji wa chakula tumboni. Pia, ndizi ina uwezo mkubwa wa kuongeza na kuimarisha nishati ya mwili. Unaweza kupata...
  6. MulegiJr

    Kuosha mikono safarini, wakati na baada ya kula

    Jana nilikuwa Safarini kutoka Moshi Dodoma, nilipanda Bus ya Shabiby, tulipofika Babati tukashuka kula, nilipofika eneo la kuchukua chakula nikagundua Siku tatu mfulizo nimekula chipsi so siwezi kula tena chipsi nikasogea kwenye wali na Samaki nikavutiwa, nilipochukua msosi nikawaza kuchukua...
  7. Black Opal

    Ulishawahi kumwaga chakula au mboga yote muda mfupi kabla ya kula, ulifanyaje kuokoa jahazi?

    Wapishi mko njema? Kwenye harakati za upishi ajali ni kawaida sana, ila zikidi wewe utakuwa hujui kupika ukatafute kitu kingine cha kufanya. Sasa bwana, kwa upande wangu, kuna kipindi tulikuwa tunahama nyumbani na kazi zilikuwa nyingi, moja ya jukumu langu ilikuwa ni kupika maharage (nikikupia...
  8. Christopher Wallace

    Uzi mweupe wa Simba Sports ni wa moto, wana simba kaeni mkao wa kula

    Nimefanikiwa kuchungulia jezi za Simba za ugenini hizi nyeupe ni nzuri sana sijawahi kuziona aisee. Wana Simba kaeni mkao wa kula kwa uzi huu hakika vunjabei aliwachelewesha sana. Uzi ni mkali. Ikitokea hujauelewa niulize mimi
  9. UMUGHAKA

    Serikali imeamua kabisa kula kuku kwa mrija kufurahia watanzania kupoteza maisha/kupata ulemavu wa kudumu

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane!. Hivyo ndivyo navyo weza kusema kwasababu ni kama viongozi waliopewa dhamana ya kuwatumikia watanzania na kuhakikisha mali na usalama wa maisha yao unalindwa kwa wivu mkubwa. Hizi ajali zinazoendelea kuwamaliza watanzania na kuwaacha wengi wakiwa na...
  10. Meneja Wa Makampuni

    Utafiti: Kiongozi mwenye akili hawezi kuiba wala kula rushwa wala kufanya ufisadi

    Hii ni ngumu kumeza lakini ndivyo ilivyo; Wanasema kiongozi mwenye akili hawezi kuiba wala kula rushwa wala kufanya ufisadi. Utafiti unasema kwamba kinachomfanya mtu aibe ni tamaa ambazo huongozwa na hisia. Mtu asiye na akili huongozwa na hisia kwasababu ya kukosa maarifa. Hicho ndicho...
  11. Mangi shangali

    Nimekuja kula iddi dar ila nilichokutanacho..

    Kama kichwa kinavyojieleza. Nimetoka kote arusha ili nije kula iddi dar . Ila tanesco wamezingua luku hazinunuliki kabisa,kwanini siku ya sikuku ndo mnafanyia watu hivi?? Ngoja nikapige bia zangu kitambaa cheupe,kama kuna mtu anataka bia za bure anakaribishwa.. Muwe 50 hata 100 mnakunywq mpaka...
  12. M

    DODOMA; Wabunge Washindana kula Ubwabwa!

    Salamu Wakuu, Baadaye ya kuumiza vichwa na mijadala ya mizito ya kuitoa Tanzania kwenye Lindi la umaskini, leo Wabunge wanafanya bonanza la kushindana kula Ubwabwa na maharage!
  13. Mwamuzi wa Tanzania

    Kula kwa urefu wa kamba yako

    Inasikitisha sana! Mtu unajawa uzalendo mpaka unamwagika. Unakuja kuona wapumbavu wachache wanaihujumu nchi yao wenyewe kwa tamaa ya mali na fedha. Ukijiangalia unajiona wewe ni kama tone la mvua linalopiga juu ya bahari. Unaamua tu nawe utafute mpenyo ule kwa urefu wa kamba yako.
  14. Antonio de Guzman

    Mazingira gani ya hatari uliwahi kufanya mapenzi?

    Habari zenu wana jukwaa? Ni sehemu gani hatarishi uliwahi kufanya ngono? Mimi ni hospital, nilimgegeda nurse ninayefahamiana nae.
  15. M

    Kwanini Watu wakialikwa Ikulu za Afrika mawazo yao huwa ni kwenda Kula tu na si mengineyo?

    Ina maana Watu wote wanaoalikwa Ikulu huwa ni Waroho, wana Njaa sana na Makwao huwa hawali? Natoa pongezi kwa wale ambao hawajaalikwa Ikulu kwani inaonyesha hawana Njaa, si Masikini, si Washamba wa Vyakula na Vinywaji na ni Watu Matajiri vile vile. Hata Mimi MINOCYCLINE ikitokea nimefanya...
  16. S

    Rais Samia Awaandalia Yanga Hafla ya Kuwapongeza

    RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan Ameandaa hafla ya kuwapongeza Wananchi, Young Africans SC kwa hatua waliyofikia kwenye michuano ya kombe la shirikisho Afrika ambapo klabu hiyo ilifika fainali na kufanikiwa kutunukiwa medali kama mshindi wa pili. Hafla hiyo ya...
  17. Uboboh

    Ushawahi kula ugoro wewe?

    Hahaha enzi za ujana wangu niluenda mtembelea bibi huko Tanga, Alikua anamiti ya ugoro na tumbaku + ule ugoro wa kununua Nilikuwa na gonga nae pasu pasu alinipenda sana soon nitaenda kumuona tena Ni feel the difference Gily mshamba_hachekwi Mshawahi pata hii kitu Na members wengine toeni...
  18. Jidu La Mabambasi

    DR Congo, kubwa jinga linalokula mayenu tu bila aibu!

    Nchi ya Congo na uongozi wake wanatutia aibu Afrika. Kwa miaka nenda rudi wamejitawala lakini wana mindset ya kufanyiwa mambo yote na wau wengine. Sasa hivi wanasumbuliwa na M23, lakini wao wanaona kulitatua tatizo ni kuwaite watu wa nchi nyingine wawatatulie tatizo hilo. Huo ni ukubwa jinga...
  19. JanguKamaJangu

    Asilimia 10 ya watu Duniani hawana chakula cha kutosha na wanalala bila kula

    Watu milioni 828 Duniani ambao ni takribani Asilimia 10 ya watu wote wanalala bila kula kila siku, ikiwa ni ongezek la watu milioni 46 zaidi ya ilivyokuwa mwaka mmoja uliopita. Takwimu hizo zimetolewa na Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO), mbili ya tatu ya watu hao ni...
Back
Top Bottom