Utasikia goma langu lililoolewa Dar, Mza au Dom limekuja kula sikukuu.
Lilivyoniona tu likatabasamu na kug'ata kidole.
Mara jamaa yangu nae kalipanga goma lake.
Mara kuna goma langu nimeliinamisha fasta jana. Limekuja kula sikukuu ila limeolewa mjini.
Ndo ilishabaki ishara ya heshima tu.
Habari ndugu zangu,
Leo ninao furaha kubwa kwa sababu bwana ameniwezesha kufunga mungo wa siku arubaini bila kula chochote .
Tangu mwezi wa 11 tarehe 15 nilipoingia kwenye kifungo hicho hadi leo
Nilikuja hapa kununua nyama leo sikukuu watoto wakale lakini nimekuta bei zimebadilika hadi elfu 11 kwa kilo, naomba serikali itusaidie udhibiti wa bei ambazo zinapanda mara kwa mara.”- Dickson Kitanda, Mkazi wa Mwananyamala
Nimeshutushwa sana na kampuni ambayo inawakilisha Fedex Tanzania. Ukituma mzigo wowote kwa Fedex hata barua tu utasumbuliwa sana. Hawa jamaa ukituma mzigo kwa Fedex mfano hata kama mzigo ni wa $50 watajaribu kukuwekea gharama za 500,000 na zaidi.
1. Wenyewe sio TRA kodi zote zinatakiwa ziwe za...
Maamuzi ya Mahakama , kwa kifupi yanakubali hawa walifukuzwa na CHADEMA , kwamba sasa si wabunge ila wasikilizwe rufaa ya kupingwa kufukuzwa.
Maskini wa Tanganyika aliyebebeshwa mzigo wa Tozo za Simu zinazopanda, aliyebebeshwa Mzigo wa nauli kupanda wakati mafuta yanaendelea kushuka kwa niaba...
Asalaam aleykum,
Hapo Posta panagadeni nzuri mno mno ambayo ikipangiliwa vizuri inaweza kugeuka sehemu nzuri ya kustaftahi, kula ngisi, urojo juice, soda na katu pombe zisiwepo kamwe!....
Itapendeza mno hasa baada ya ubunifu mahususi kufanyika.
Leo nataka nikale bata mazingira ya Mbezi - Kimara.
Sehemu nzuri classic yenye music na totoz wasafi wasafi sio machangu. Nile na kunywa na kutengeneza connection.
Wenyeji nipeni suggestion ya places nzuri.
Mcdonald ni mgahawa wa fast food mkubwa zaidi duniani
Katika mashambulizi ya October 7 Israel ilipovamiwa na Hamas, Mcdonald walitoa vyakula bure kwa wahanga.
Hali hii ilipelekea magaidi kuhamasisha kugomea kununua vyakula vya Mc Donald,
Chuki hizo hazina nafasi kwa mamilioni ya waarabu...
Kumekucha tena, siku hazigandi, waliyoyatenda yanaenedelea na yatakula hadi shoka. Kama shoka ikichomeka usidhani mpini utabaki salama, Time will tell.
CCM msipotubu dhambi hii itaendelea kuwatafuna na kamwe hamtapata amani. Yajayo wala hayafurahishi.
Naomba mnielezee kwa kina kuhusu hii kitu
Umuhimu wake hasa ni upi maana sasa naona naendeshwa na imani nyingi sana mpaka nashindwa kuishi kwa amani
Au kusali kabla ya kula kunaweza kukuepusha na chakula chenye sumu ya Panya?
Au LIMBWATA?
Kwa wengine inawezekana ni mazoea tu. Lakini kwa upande wangu mimi, ni kwa sababu za kiusafi.
Leo, nikiwa mji fulani, niliingia kwenye mghahawa mmoja ambao kwa mji huo, ni miongoni mwa mighahawa ya hadhi, kwa ajili ya mlo wa Mchana. Mwonekano wake, huduma, bei na wateja wake inaakisi...
Jamani naombeni ushauli, mimi ni mdada nataka kunenepa😒Nina kilo 52 sasahv nataka kuongezeka mwili lakini yani kula kwangu kunasuasua ani, nikila kidogo tu nakua nshashiba ani.
Nawaza kutumia protein powder ila sina uhakika nayo sana kama inafanya kazi.Naombeni ushauli kwa alie na experience
Ndugu zangu hii hali ya lugha ya malkia mbona inanchanganya sana.
Unakuta kwenye interview msahiliwa msomi kabisa, ata introduction tu, jasho inatoka na mpaka sauti inapotea kabisa, na haitoki ng'oo. Hawezi kujieleza kiingereza anatetema tu msomi huyu wa chuo..
Lakini msahiliwa huyuhuyu...
PAKA WAKO UKIMNYIMA CHAKULA
ATAENDA KULA KWA JIRANI.
Sina shaka kuwa unawafahamu PAKA, kama hujawai kufuga, basi hata kwa jirani zako ushawahi kuwaona.
PAKA ni miongoni mwa wanyama wa kufugwa wanaoishi vizuri na binadamu, lakini pia wana tabia ya kubadilika na kuwa moja ya viumbe hatari kwa...
Kumponda kijana, kumvunja moyo na kumtamkia kauli za kumkatia tamaa ni kushambulia uti wa mgongo wa taifa.
China imepromote vijana, hadi leo ndio nchi inayoongoza kuwa na malaki ya mabilionea under 30.
Tukumbuke wakina Nyerere, Salim etc walianza kung'aa wakiwa vijana.
Kumeibuka kundi la...
Cassie amefungua kesi ya dola milioni 30 dhidi ya Diddy akimtuhumu kwa ubakaji na unyanyasaji wa kijinsia. Mwanadada huyo anasema muda mfupi baada ya kukutana na Diddy mwaka 2005, akiwa na umri wa miaka 19, alianza tabia ya kumdhibiti na kumnyanyasa ikiwa ni pamoja na kumlazimisha kutumia dawa...
Safari ni hatua, Safiri salama.
Mpendwa,
Mthalani abiria anasafiri kwa basi kutoka mkoa moja kuelekea mkoa mwingine.
Ni aina gani nzuri ya vyakula avitumie njiani na aina gani ya vyakula abiria huyu msafiri aviepuke kula njiani, ili hatimae safari yake iwe tulivu, huru, nzuri na salama kiafya?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.