kula

Kula - kitendo cha kuingiza kitu kinywani (hasa chakula) kwa lengo la kupoza njaa
  1. Mjanja M1

    Jinsi ya kula Mkeka kwa Muhindi

    ChatGPT ina akili Vizuri kweli?
  2. Mwande na Mndewa

    Je, Shujaa Magufuli angekubali kula wali wenye virutubisho!?

    Mama kaenda Marekani kaja na wali wenye virutubisho, Tanzania yenye ardhi yenye rutuba asilimia 80 mvua inayonyesha na maji yanayotiririka masaa 24, Tanzania yenye amani isiyo na vita, Tanzania ilitolelewa kijamaa iliyolima mashamba ya Ujamaa kuvuna mavuno ya kutosheleza, leo tumefanywa kama...
  3. NostradamusEstrademe

    Msaada wa muda wa kufuturu na kula daku kanda ya Shinyaga

    Kichwa cha habari chahusika naomba mwenye ratiba ya mwezi mzima ya muda wa kufuturu na kula daku alfajir kwa kanda hii ya Shinyanga. Nafanya kazi ya uchimbaji porini huku hakuna kanisa wala msikiti hakuna hata adhana.
  4. Roboti Wa Nape

    Mwanafunzi mmoja afariki wengine hali tete wilayani Kilolo, Iringa baada ya kula futari ya msaada

    Hii imetokea katika shule ya Sekondari Kilolo iliyopo katika Kijiji cha Luganga, kata ya Mtitu Wilaya ya Kilolo Mkoa wa Iringa. Tukio hilo limetokea jana. Wanafunzi 7 wa kiislam waliokuwa wamefunga kwenye mfungo wa Ramadhani wamekumbana na kadhia ya kutapika na kuharisha kunakoelezwa kunatokana...
  5. K

    Akutwa na minyoo kwenye ubongo uliosababishwa na kula nguruwe

    Najua kuna wakereketwa na wafurukutwa,nisiongee sana ila baada ya kusoma habari hii kwenye shirika la habari la BBC,nimejiwa na mawazo mengi sana!! --- Mwanaume mmoja nchini Marekani amekutwa na mayai ya minyoo kwenye ubongo wake ambayo huenda imesababishwa na kula nyama ya nguruwe ambayo...
  6. Tanzania Nchi Yetu Sote

    KWELI Msongo wa Mawazo (Stress) husababisha mtu kula sana na hatimaye kuongezeka uzito

    Je, ni kweli kuwa watu wenye stress hula sana na matokeo yake huwasababishia uzito kupita kiasi?
  7. Pang Fung Mi

    Wanaume wengi ambao hatuna ndoto za kuoa sio husband material kabisa japo wengi wetu tuna maokoto ya kula bata

    Mimi Wadiz nawasalimu na hapa chini ni ujumbe wangu kwenu wenye kupangia watu maisha. Wanawake wanatakiwa kujua sisi wanaume ambao hatutaki kuoa hatuna sifa ya husband material kabisa. Ndiomana wengi wetu pia hatutaki single mothers kwa sababu hatutaki kubeba majukumu ya wengine. Sisi...
  8. Papaa Mobimba

    KWELI Ni hatari kiafya kulala muda mfupi baada ya kula

    Haya mambo yasikie tu, watoto wetu siku za shule huwa wanalazimishwa kulala tu punde wamalizapo kula. Hii ni hatari kwa mujibu wa tafiti za afya. Uelewa mdogo na kutojali kwa wazazi kunaweza kupelekea watoto wetu kupata madhara hapo mbeleni. Kulala mara baada ya kula ni kitendo ambacho...
  9. Shining Light

    Fahamu baadhi ya umuhimu ya kula matunda nusu saa kabla ya kula mlo

    Unafahamu kuwa unashauriwa kula matunda Nusu saa kabla ya kula chakula au mlo kamili, Kula matunda kwa muda huo unaweza saidia mwili wa binadamu kwa njia tofauti. Kula matunda kabla ya chakula kunaweza kusaidia kujiandaa kwa mfumo wa mmeng'enyo wa chakula kwa ajili ya chakula kinachokuja, hivyo...
  10. Mwamuzi wa Tanzania

    Prof. Janabi unataka uwapangie watu ratiba za kula?

    Hivi ndivyo vichekesho ambavyo vinapatikana Bongo. Prof. wa kwenye media, professor Janabi siku moja nilimsikia anasema kuwa kama unavaa nguo yenye kiuno size 37 wewe ni mgonjwa. Inamaana huyu Prof. hajui kuwa kuna watu naturally wana maumbo makubwa? Kama mwili wako una umbo dogo ukinenepa na...
  11. Suley2019

    SI KWELI Kula matango baada ya kuvuta sigara kunasaidia kupunguza athari zake

    Salaam ndugu zangu, Mtaani kwetu nimezungukwa na ndugu na marafiki wanaovuta sigara. Baadhi Yao hupendelea kula matango baada ya kuvuta sigara wakidai wanapunguza sumu itokanayo na sigara. Nimejaribu kugoogle kutafuta ukweli lakini sijafanikiwa kuona. Naomba JamiiCheck itusaidie kupata facts...
  12. KING MIDAS

    Je Mwislam kula nyama iliyochinjwa na Mkristo ni dhambi?

    Hapa Monduli, wanachinjwa ng'ombe wasio na idadi, mbuzi na kondoo kwa fujo. Wachinjaji ni wenzetu Wamasai, wanyama wanachinjwa kimila hamna kugeuziwa Quibla, wala MAKA, hamna cha Bismillah al-Rahman al-Rahim wala nini. Watu kama wamejitoa ufahamu wa mafundisho ya vitabu vitakatifu, ni mwendo wa...
  13. Equation x

    Shepu inayostaili kula hela za mwanaume (kupiga mizinga)

    Kuhonga mwanamke asiyekuwa na shepu hii, ni matumizi mabaya ya fedha. Wengi wanajisifia kuhonga vipato vyao kwa wapenzi wao mbalimbali; wengine wanasema pesa ya mwanaume lazima itumiwe na mwanamke. Na kwa sasa tunapokaribia siku ya wapendanao, wapo wanaume wameshaanza kupigwa mizinga ya hapa...
  14. Kijana LOGICS

    Mwanaume ukipata chance ya kula pesa za mwanamke zile sana sharti huyo mwanamke asiwe mama yako au ndugu yako

    Ni ngumu Mwanaume kula hela ya mwanamke Ila Kuna nyakati nafasi inapatikana ushauri ukipata hiyo nafasi we kula pesa. Kuna wanawake wenye pesa Ila kichwani sifuri wengi wapo mijini hawa ni kula mbususu Zao na hela Zao hadi akili ziwakae Sawa. Dunia imekua katili sana dhidi ya Mwanaume Ina bid...
  15. Mjanja M1

    Dokta Greyson: Kula huku unachezea simu hupunguza nguvu za kiume

    Dokta Greyson Babishomba akiwa anafanya mahojiano na Kituo cha Redio Times Fm, amesema kuwa tabia ya wanaume kula wakati wanachezea simu zao hupelekea tatizo la nguvu za kiume. ANGALIA VIDEO HAPA Nini maoni yako? Written by Mjanja M1 ✍️
  16. DR Mambo Jambo

    SGR na Zimwi la Uhairishwaji kila Muda

    Zifuatazo ni Failed Mission ya Majaribio au Kuanza Kwa Kutumika SGR.. Kipi Kifanyike.. Februari 2019 - Aliyekuwa Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji alisema safari ya kwanza ya SGR itaanza Novemba, 2019. Januari 2021 - Aliyekuwa Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbas...
  17. Webabu

    Watu wa Gaza waanza kula majani na kunywa maji machafu

    Tangu vita kuanza vyakula vimekuwa vikiingia eneo hilo kwa shida sana na ni asilimia chini ya 10 ya mahitaji ya kawaida. Pamoja na hivyo ujasiri na uvumilivu wa wapalestina umewafanya waendelee kusihi kwa kidogo wanachopata mpaka pale Israel ilipotia fitna ya kutaka hata hicho kidogo...
  18. Mjanja M1

    Kula mke wa mtu ni sawa na kula malaya

    Kwa tamaduni zetu mwanamke anaefanywa na wanaume zaidi ya mmoja anatambulika kuwa ni mwanamke malaya. Kijana unayekula mke wa mtu tambua kuwa unafanyana na mwanamke malaya, na malaya huyo usipokuwa makini atakuponza kwa tamaa zako. Kijana kwanini ufanye mapenzi na malaya ambae anayaweka...
  19. JanguKamaJangu

    Simiyu: Marufuku kula Msibani, mnadani, mahindi ya barabarani

    Uongozi wa Mkoa wa Simiyu umepiga marufuku isiyokuwa na muda ya watu kula katika misiba, mnadani, magulio pamoja na wanafunzi kuuziwa vyakula mashuleni kutokana na ongezeko la watu waliobainika kupata magonjwa ya mlipuko ya kuharisha, tumbo na kutapika. Zuio hilo limewekwa jana na Mkuu wa Mkoa...
  20. Allen Kilewella

    Mwenye ushahidi Mbowe kula ruzuku ama kupewa rushwa auweke hapa!

    Kama wewe una ushahidi kwamba Freeman Mbowe anakula Ruzuku za CHADEMA ama yeye binafsi au uongozi mzima wa CHADEMA yeye akiwa mwenyekiti wake, walipewa rushwa na CCM ili waache harakati za kuipigania Tanganyika na Zanzibar, uuweke hapa ili watanzania wote wauone. Sema kweli ama kaa Kimya!!
Back
Top Bottom