kula

Kula - kitendo cha kuingiza kitu kinywani (hasa chakula) kwa lengo la kupoza njaa
  1. Mwalimu wa tuisheni

    Mauaji Afrika Kusini: Amuua mwenzake, amkata Kichwa na kula viungo vya ndani sehemu ya tumbo

    Kwa Madiba kuna mambo, Jamaa amefanya kitendo cha kinyama sana kuutoa uhai wa mtu mwingine bila hata chembe ya huruma Muuaji alikua na bifu na Marehemu na alimfuata mpaka sehemu ya kazi kulianzisha, aliingia na visu viwili kimoja kikubwa na kingine kidogo kwaajili ya kutekeleza mauaji hayo...
  2. political monger senior

    Simba yamtimua kocha Roberto Oliveira Goncalves Do Carmo (Robetinho)

    Klabu ya Simba imefikia makubaliano ya pande zote mbili ya kuvunja mkataba na Kocha Mkuu wa kikosi cha kwanza Roberto Oliveira Goncalves Do Carmo (Robetinho). Vilevile tumefikia makubaliano ya kusitisha mkataba wa kocha wa viungo Corneille Hategekimana. Uongozi wa Klabu ya Simba unawashukuru...
  3. Mwamuzi wa Tanzania

    Je, Serikali imewaruhusu Polisi kula Rushwa?

    Nimezungumza na watu mbalimbali waliowahi kushikwa na polisi kwa makosa mbalimbali karibu wote wanasema walitoka polisi baada ya kutoa fedha. Wengine waliachiwa kabla ya kufikishwa kituoni baada ya kutoa pesa. Wengine waliachiwa baada ya kutoa pesa ambayo polisi waliziita pesa ya kumdhamini...
  4. Nsennah

    Shida ya mtoto kutopenda kula kwa hiari yake

    Habari zenu wana jamvi!! Moja kwa moja kama mada inavyojieleza, kuna mtoto wa miaka miwili hivi sasa ila bado chakula kwake ni kama anapigana vita hadi akabwe na mama yake ndo anyweshwe uji ila chakula hata akilishwa ni kulia na hatokimeza. Nini suluhu ya hili jambo? Msaada wenu please.
  5. MK254

    Iran yajitetea na kukana haikuhusika, ila uchunguzi unafanywa, wakae mkao wa kula soon

    Babkubwa la magaidi ya dini limekana halikuhusika kwenye ugaidi wa juzi wa HAMAS ambao umepelekea Israel kujibu kwa nguvu nyingi hadi dunia imechanganyikiwa, wengi tunasema sasa basi, tosha, hadi hapo Israel inapaswa kupunguza kipigo zaidi maana maafa ya Wapalestina kuna namna yanasababisha moyo...
  6. sky soldier

    Aibu kuona Wasabato wanaokataa nguruwe na pombe wamelegeza msimamo kuhusu kuchonga nywele/ndevu, kuvaa hereni na kusuka

    Ni moja ya kanisa linaloendelea kufuata sheria za agano la kale ikiwemo kuheshimu sheria zilizowekwa na Mungu kuhusu uchambuzi wake wanyama wa kula pamoja na kuendelea kuamini Pombe ni chukizo kwa Mungu, Siku yao ya kuabudu huanza ijumaa jioni hadi jumamosi kama ilivyo kwa wayahudi wanaoabudu...
  7. The Burning Spear

    Mnadanganywa kusoma sayansi ili walio soma kiswahili/History wawaongoze na kula hela zenu.

    Mgabe alishawahi kusema fisrt class students become engineers, doctors and so and so third class students become politicians, witch doctors and so and so in order to eat the money of the first class students. Huo ndo ukweli waliosoama history ndiyo watoa maamuzi ya fedha zenu ziende kwenye...
  8. D

    Makonda kupata teuzi wakati wowote kutoka sasa

    Kwa hali inayoendelea na kwa uzoefu wa mambo ya bongo yetu soon makonda atakula teuzi, naona kabisa kuna upande unamuhitaji kwa kudhani anaweza kuwa msaada kwao, haihitaji kuwa kwenye system kuijua bongo yetu.
  9. sky soldier

    kuahirisha shughuli muhimu ili kula tunda, kama iliwahi kukutokea weka hapa mkasa wako, naanza mimi

    Yalinikuta !, Niliahirisha kwenda interview niliyoisaka kea muda ili nile tunda Nakumbuka kuna kipindi wakati natafuta kazi kuna sehemu nilii apply na kweli nikapigiwa simu kwamba siku ya jumatatu niende, nikatumiwa pdf ikaonesha nafasi niliyoomba inabidi nifike saa nane mchana Siku ya ijumaa...
  10. Down To Earth

    Ushauri: Nataka nianze kula kitimoto

    Nataka nianze rasmi kumla huyu mnyama anayechukiwa na watu zaidi ya bilioni moja ulimwenguni.. Nataka kujua anakuwa mtamu zaidi akiwa rosti au mkavu? Je nimsindikize na ndizi ama kaugali? Sipendi awe na mafuta mengi nipeni idea za kutosha
  11. MK254

    Mtu mmoja auawa India kwa kula nyama ya ng'ombe

    Hizi dini bana, kwa waislamu ukikamatwa unakula nguruwe ni hatari, kwa wahindu ukikamatwa unakula ng'ombe ni hatari. Watu wanaishi kwa kupangiana cha kukula kwa maagizo ya miungu wao ambaye kila mmoja hamtambui 'mungu' wa mwenzake. Police in India have arrested three men in eastern Bihar state...
  12. LA7

    Nimeghairi kula tunda baada tu ya kuniambia ameishi njombe zaidi ya mwaka

    Kuna demu nimemtongoza akaeleweka lakini aliponiambia tu amewahi kuishi njombe zaidi ya mwaka mmoja, stimu zimekata kabisaa, hii ni kutokana na story ninazozisomaga humu jf kuhusu njombe Asanteni
  13. encyclopaedia Tanzaree

    Tatizo la kushindwa kula samaki na dagaa

    Habari zenu wanajamvi Mimi nina tatizo la kushindwa kabisa kula samaki, dagaa na vitumbua. Vitu hivyo nilivyoorodhesha hapo mwanzo vilikuwa ndio vitu navyovipenda sana nilipokuwa mdogo mpaka kufikia umri wa miaka 13 ndipo mambo yakaanza kuharibika. Tatizo lilianza kwa kushindwa kula samaki...
  14. jastertz

    Je, ulishindwa kula tunda kimasihara?

    Hii ni opposite thread ya ile ya kula tunda kimasihara. Kuna wakati tumewahi kuwa kwenye mazingira yenye opportunity ya kula/kuliwa tunda kimasihara ila tukashindwa/kuponyoka. Binafsi nilishapata opportunity hiyo kwa dem na nikashindwa. Opportunity ya dem niliipata nikiwa field 7 years ago...
  15. MrWings

    Leta experience yako kwenye haya mambo( pain ya kuliwa naul na demu, Raha ya kula nauli ya me na inawezekanaje watu wanaendelea kutuma nauli?)

    Mimi binafsi nilishwah kuliwa nauli 10k na precious, japo nikampat mbelen ila the moment nauli ililiw iliniuma mno. Toka apo sijawahi tuma Tena Kwa yyote.
  16. G

    Kwa mwezi mzima nimeamua kula Kiazi utamu, Muhogo na Kiazi mbatata kwasababu vyakula vya mafuta na nyama mtaani sina imani navyo, nipo sahihi?

    Nipo kikazi mkoa flani pande bush ndani ndani, na kwakweli nilichoona huku mitaani chakula sina imani nacho, Nimezoea kula chakula safi kilichopikwa nyumbani na hata mchana huwa nalia nyumbani ama naletewa chakula kilichopikwa nyumbani, mara kadhaa tunaenda hotelini ama restaurants nzuri na...
  17. Suley2019

    Mbunge wa Ngorongoro aachiwa huru. Asema aligoma kula kwa siku tatu

    MBUNGE wa Ngorongoro, Emmanuel Ole Shangai ambaye alikuwa anashikiliwa na Polisi mkoani Arusha ameachiwa kwa dhamana usiku wa leo Jumatano Agosti 23, 2023. Akizungumza baada ya kuachiwa Ole Shangai amesema kwa siku tatu tangu alipokamatwa aligoma kula. Pia Soma: - Mbunge wa Ngorongoro bado...
  18. Expensive life

    Mwanaume mwenzangu, mara ya mwisho kula hii kitu ilikuwa lini?

    Wanaume tumekuwa tukiangaika sana juu ya kufanya vizuri tuwapo kwenye tendo, wapo wanaotumia sijui mkongo, vidonge, energy drinks nakadhalika ili kuwa na pafomansi nzuri kwenye tendo. Hivyo vyote hapo juu vina madhara kiafya tena vinakumaliza kabisa maana kuna kipindi usipovitumia hivyo huwezi...
  19. Determinantor

    Waraka wa TEC wajadiliwa TV IMAAN

    Naona Waraka Sasa umefika Kila pahala, haujamuacha MTU salama! Naam wanaushambulia Kwa hakika though hakuna tangible points hapa! Masheikh hawa wanaamini Waraka wa TEC utaleta taharuki. Wanafanya reference ya mambo ya ESCROW. Wanasema tamko la TEC linataka kuleta taharuki Kwa wananchi na...
  20. Robert Heriel Mtibeli

    Kuuliza Bei Kabla ya Kula uwapo Outing ni Akili na kujiamini lakini Malofa huona aibu

    KUULIZA BEI KABLA YA KULA UWAPO OUTING NI AKILI NA KUJIAMINI LAKINI MALOFA HUONA AIBU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Mmetoka out, mmefika kwenye mgahawa, mnaagiza chakula. Huoni aibu kuagiza chakula lakini unaona aibu kuulizia bei Kabla ya kuagiza. Hivi unaakili kweli? Ukiitwa Mshamba...
Back
Top Bottom