kula

Kula - kitendo cha kuingiza kitu kinywani (hasa chakula) kwa lengo la kupoza njaa
  1. Webabu

    Kwa kauli hii naanza kuogopa kula Sangara

    Kumbe wavuvi wa ziwa Victoria wanatumia maji ya maiti kutupatia kitoweo kama alivyotahadharisha Makamu wa Rais Dkt. Mpango baada ya wagonjwa wa saratani kuongezeka huko Mwanza katika ziara yake hapo juzi. Naunga mkono nasaha za wavuvi kuacha kutumia maji ya maiti kama chambo cha kukamatia...
  2. NetMaster

    Nawezaje kuacha tabia sugu niliyoanza ya kupenda kula kula

    unaweza kuona ni rahisi kuacha kwasababu wewe hauna hili tatizo lakini kwa mtu ambae ni mraibu huu ni mtihani mzito, ni sawa na kumwambia mtu aache uraibu wa simu, aache ulevi wa pombe, aache sigara, aache kamali, n.k.. sio rahisi kihivyo, Nimekuja kwa unyenyekevu humu ndani muwezi kunipa...
  3. Pfizer

    Wakazi wa Dar kufaidi TAWA-Weekend bash ya kula Nyama Pori zilizochomwa

    Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) Meja. Gen. (Mstaafu) Hamis Semfuko, ameyasema hayo Mkoani Dar Es Salaam 10 Septemba 2022 alipokuwa aliongea na Wanahabari kwenye hifadhi ya pori la akiba la Pande (Pande game reserve). Amesema Wakazi wa...
  4. MSAGA SUMU

    Nimeshindwa hata kula

  5. M

    SoC02 Mjamzito afanye hivi kuondoa mazoea ya kula udongo kutokana na madhara yake

    Watu maarufu waliowahi kula udongo. Mwaka 2014, Muigizaji mashuhuri wa Hollywood nchini Marekani, Shailene Woodley, aliwashangaza watu alipofichua kuwa yeye hula udongo kila siku kwa kupima kijiko kimoja. Muigizaji huyo, aliyewahi kucheza filamu mashuhuri ya Descendants akishirikiana na George...
  6. peno hasegawa

    Mbunge Saashisha Mafue, unawakera wapiga kura wako

    Umekumbushwa tu kuwa huu ni mwaka wa tatu tangu uchaguliwe na fedha za mfuko wa jimbo unazila na hujui hatima ya waliokutuma Bungeni. Ukumbuke 2025 sio mbali na CHADEMA tunakuangalia tu.
  7. Checnoris

    Kwa yanayomkuta Macon greenwood wa man utd.Ulaya kula kinyama ni ngumu sana.

    Nimepitia mitandaoni. Pamoja na talent yake mchezaji kinda wa Man utd ana Hali mby Sana. Makampuni yanajitoa na kuapia kutojihusisha na mwingereza huyo mshambuliaji wa united. Kwa hali hiyo Ulaya kula kinyama hicho ikiwa hujaoa ni ngumu sana. Na hata kama umeoa mkuu uache yeye(mchuchu)atake...
  8. P

    Sera ya CCM ya kula na kila anayebwatuka na kusema udhaifu na ubadhirifu wake, umeonesha jinsi gani viongozi wetu wanavyopenda pesa na si kutetea

    Hii ni dhahiri kuwa, Kwa Africa na Tanzania, kuwapata viongozi wenye focus na maisha ya watu wao ilivvyo ngumu kupatikana. Sera ya CCM ya kuwalambisha Asali wote wenye vidomodomo na kiherehere, imetuomyesha jinsi watu hao malengo yao si kuwatetea wananchi, Bali kutafuta furusa za kwao na...
  9. M

    Makarani wa Sensa si mmepewa hela ya kula? Kwanini mida ya saa 7 hadi Saa 9 mnapenda kung'ang'ania katika nyumba moja tu?

    Na gia yenu Kubwa hiyo Mida huwa mnajifanya Vishkwambi vyenu vimeisha Chaji hivyo mnaomba mvichaji kumbe Timing yenu Kuu huwa ni Kuwepo katika Ratiba zetu za Kula mkijua kuwa Watanzania ni Wakarimu hivyo mtakaribishwa na mtakula tu. Kuna Mwenzenu leo kajua kwanini Nyoka hana Ugoko au kwanini...
  10. M

    CCM, kula nyama choma sio kutatua kero za wananchi!

    Wananchi wanalia kwa ugumu wa maisham Huku mkiweka mitozo ya kila namna. Sasa kula nyama choma ndio suluhu! 👇
  11. BARD AI

    Madhara utakayopata kwa kujizuia kula

    Si jambo la kustaajabisha kumkuta mtu yupo kwenye mfululizo wa kutokula muda mrefu kwa kile wengine wanakieleza wapo kwenye ‘diet’ ya kupunguza mwili. Mfumo huu wa maisha unaendelea kushamiri kwenye maeneo mbalimbali, wengi wakitafuta kurudia maumbile yao ya awali, wakisahau kushinda na njaa...
  12. Lady Whistledown

    Zaidi ya Tai 100 wafa kwa kudaiwa kula mzoga wenye sumu Afrika Kusini

    Walinzi waliokuwa kwenye doria katika Hifadhi ya Wanyamapori ya Kruger, wameripoti kugundua mzoga wa nyati, ambaye alionekana kuwekewa sumu, baada ya hapo walikuta Tai 100 na Fisi mmoja waliokufa kwa kuhisiwa kula mzoga huo Tai wengine 20 waligunduliwa katika eneo la tukio wakiwa katika hali...
  13. Roving Journalist

    Msanii wa Nigeria, Kizz Daniel akamatwa na Polisi Jijini Dar

    Baada ya kushindwa kutoa burudani usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa Next Door Arena msanii huyo kutoka Nigeria amekamatwa na Polisi. ========= Baada ya kushindwa kutoa burudani usiku wa kuamkia leo Agosti 8, 2022 katika Ukumbi wa Next Door Arena, msanii Kizz Daniel kutoka Nigeria...
  14. D

    Ukipigwa marufuku kula nyama kwa miaka miwili halafu ukaamua kuinyonya, kulamba na kunywa mchuzi wake utakuwa hauna kosa?

    Eti wadau ukipigwa marufuku kula nyama kwa miaka miwili halafu ukaamua kuinyonya, kuilamba na kunywa mchuzi wake utakuwa umevunja kanuni? Case study Haji manara! Sikio la kufa! Kaonekana akitangaza leo taifa, kwa haiba yake akiguswa na TFF atakuwa kaonewa? Tueleweshane hapo! AU makundi maalum...
  15. Lady Whistledown

    Tiktoker Nchini Kenya taabani kwa kudaiwa kula Buibui

    Mtayarishaji wa maudhui katika Mtandao wa #Tiktok nchini Kenya #Aq9ine amelazwa hospitalini akiwa katika hali mbaya baada ya kuripotiwa kula buibui baada ya kuanza kuumwa kifua huku joto la mwili likifika 48 ℃ ‘Tiktoker’ huyo, anadaiwa mapema, Jumamosi, alichapisha katika mtandao wa Instagram...
  16. K

    Je, ulishawahi kula tunda kwa punguzo kubwa la bei?

    Nakumbuka mwaka 2013 nikiwa machimboni huko Geita, machimbo mapya ambayo yalikuwa ndo kwanza yameibuka na hivyo kulikuwa na ukame wa totoz. Mademu waliokuwepo walikuwa wakitoa huduma kwa kuringa sana kwani demand ilikuwa kubwa kuliko supply Sasa siku moja tukiwa bar mshenzi tukipiga vitu(bia)...
  17. 44mg44

    Mzungu Ni mtamu sana, asikwambie mtu. Nimebahatka kula Mjerumani

    Mliowah kula wazungu bila Shaka mtaniunga mkono katka Hil Wazungu wanajua Mambo,yaan mpaka unavutiwa na unalizka kabsa kingono Mim Nmebahatka kula mzungu bonge hiv,yaan anajua kumbembeleza we acha tu Mliowah kula wazungu ongezeen utam walionao
  18. M

    Yanga kumsajili Morrison ni kula matapishi yao na ni ishara ya kukubali udogo wao

    Morrison aliondoka Yanga kwa nyodo sana so to me kuona yanga leo wanamtaka tena kwa kweli ni ishara ya kukubali udogo wao dhidi ya simba . Simba wanachukua mchezaji kutoka Yanga akiwa kwenye top form wakati Yanga wanachukua walioachwa Simba . Timu kubwa haiwezi kuwa dhaifu kiasi hiki mchezaji...
  19. Satisfy

    Siri ya kupendelea kula pili pili kwa wingi

    Bila shaka pili pili ni moja wapo ya kiungo kwenye chakula. Siku moja nilipata mualiko wa familia kwenda kubadikishana mawazo. Sasa adi kuandika huu uzi, yaliyo nikuta ni kwenye upande wa chakula yaan kilikuwa kimeshamili pili pili kupita maelezo adi nilishidwa kula . Lakin familila nzima adi...
  20. Mwamuzi wa Tanzania

    Dada kama hutaki kuliwa usipende kula vya wanaume. Tunapata pesa kwa ugumu sana

    Hi Hii ni kwa wadada, wengi wanapenda kitonga, yaani kusaidiwa na wanaume kisha kutoa mzigo hawatoi mpaka utumie nguvu au mbinu za kumvizia. Dunia Iko kasi, watu hatuna muda wa kubebembeza kitu ambacho hakina maajabu. Tunashobokea kabla hatujakipata tu, tukipata tunaanza kujijutia hasa...
Back
Top Bottom