kulala usiku

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Hoteli ya Mapito Safari Camp, Serengeti, kulala Usiku mmoja ni Milioni 4.5 hadi Milioni 7. Nani mmiliki?

    Inadaiwa inamilikiwa na Mtanzania Patel. Lakini nimeongea na Mwarabu rafiki yangu, nilimuuliza kwanini Tangu Januari 2026 hii hotel inapokea Watu wengi kutoka Uarabuni hasa Oman? Gharama ya kulala pale usiku mmoja, inaanzia milioni 4 hadi Milioni 7 na kuendelea kutegemeana na Msimu. Akanijibu...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na sehemu ya kulala usiku shukuru sana, usiku ni mrefu sana kama umekosa pa kulala

    Ukiwa na sehemu salama ya kulala usiku, shukuru sana hata kama unalalia mkeka. Kuna watu usiku ukiingia wanabaki na mawazo tu ya wataegemea wapi, watajisitiri wapi, au wataamkaje salama kesho yake. Usiku huwa mrefu sana kwa mtu asiye na pa kulala. Kile unachokiona cha kawaida, kwa mwingine ni...
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini binadam usiku anaweza kulala saa nyingi ila mchana ukijaribu hata saa mbili hufiki

    Leo mchana nilikuwa nimechoka na kazi ngumu nikasema acha nikajifidie hata masaa sita nikalale. Nikajikuta nimeishia saa moja japo kuwa usiku mzima nyuma yake sikulala kabisa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…