figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Inadaiwa inamilikiwa na Mtanzania Patel. Lakini nimeongea na Mwarabu rafiki yangu, nilimuuliza kwanini Tangu Januari 2026 hii hotel inapokea Watu wengi kutoka Uarabuni hasa Oman?
Gharama ya kulala pale usiku mmoja, inaanzia milioni 4 hadi Milioni 7 na kuendelea kutegemeana na Msimu.
Akanijibu ni kwa sababu ni Hotel ya mwana wa Mfalme na asilimia kubwa ya marafiki zake Wanakuja kupumzika.
Mimi sijaihusanisha na Abdul wala Samia eti kwa Sababu ndugu zao wapo Oman. But January Mwaka huu siku ya Uzinduzi, alikuwepo mtoto wa Samia na watu wengine wengi wa Serikalini kama wageni Waalikwa.
Ila ukienda Business Registrations and Licensing Agency (BRELA), unaambiwa hii hotel inamiliki na
Delaware Investments na inaendeshwa na Marriott International.
Delaware Investments Mkurugenzi Mtendaji (CEO) na mwanzilishi wake ni Rishen Patel. Wengi mnaendembelea Kisutu mtakuwa mnakutana naye.
Japo anaishi kwenye nyumba za kupanga za NHC(Kama mnavyo jua ndugu zetu Watanzania wa kihindi walishaapa hawatajenga Nyumba za kuishi Tanzania wala kuweka hela kwenye benk za kibongo. Hela wanaweka Bank of India (Tanzania) Ltd pale mtaa wa Maktaba Posta Dar halafu wanaenda kuzitolea India) huu ni Mjasala mwingine.
Hii Hoteli ipo kwenye Hifadhi ya Mbuga ya Serengeti.. Nasubiri Mwaka uishe tuona imelipa kodi bei gani Serikalini.
Je, hii Hoteli ni ya kiongozi gani? Kwanini viongozi wa Tanzania hawataki kuweka majina yao kwenye biashara zao? Wanahofia nini?