Ukiwa na sehemu ya kulala usiku shukuru sana, usiku ni mrefu sana kama umekosa pa kulala

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
3,253
Reaction score
9,736
Ukiwa na sehemu salama ya kulala usiku, shukuru sana hata kama unalalia mkeka.

Kuna watu usiku ukiingia wanabaki na mawazo tu ya wataegemea wapi, watajisitiri wapi, au wataamkaje salama kesho yake.

Usiku huwa mrefu sana kwa mtu asiye na pa kulala.

Kile unachokiona cha kawaida, kwa mwingine ni ndoto kubwa sana.
 
Sahihi mzee. Kuna siku nilienda mkoani sana nikafikia sehemu ya kulala ya hovyo maana kufika tu wanasema humu tumeona nyoka na hatujampata bado, ikabidi nikeshe mpaka asubuhi, nilikoma sana siku ile. Usiku unaenda taratibu sana na una mambo mengi sana.
 
Ukiwa na sehemu salama ya kulala usiku, shukuru sana hata kama unalalia mkeka.

Kuna watu usiku ukiingia wanabaki na mawazo tu ya wataegemea wapi, watajisitiri wapi, au wataamkaje salama kesho yake.

Usiku huwa mrefu sana kwa mtu asiye na pa kulala.
Kile unachokiona cha kawaida, kwa mwingine ni ndoto kubwa sana.
Naunga mkono hoja.
 
Attachments

  • HIC4s1oXQAA1N7D.jpeg
    HIC4s1oXQAA1N7D.jpeg
    104.6 KB · Views: 16
Back
Top Bottom