Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 8,069
- 15,029
Aaah usiku uchukulie poa tu. Kuna siku nililala site asee ule usiku ulikua haukuchi halafu wajinga wanatuambia nje huko kuna simba.... niliona usiku una masaa 72...
Duuuh!! Nini hii sasa? KhaaahKuna mwamba anafanya shughuli zake stand anapiga debe ikifika muda wa kulala anarudi zake hospital ipo jirani na stand,na asubuhi anaoga vizuri
Maisha jamaa anajitafutaDuuuh!! Nini hii sasa? Khaaah
Duuuu polee yake sanaa.Maisha jamaa anajitafuta
Nakubaliana nawe nitakujq kusimulia hustle yangu kwenye huu uziUkiwa na sehemu salama ya kulala usiku, shukuru sana hata kama unalalia mkeka.
Kuna watu usiku ukiingia wanabaki na mawazo tu ya wataegemea wapi, watajisitiri wapi, au wataamkaje salama kesho yake.
Usiku huwa mrefu sana kwa mtu asiye na pa kulala.
Kile unachokiona cha kawaida, kwa mwingine ni ndoto kubwa sana.