Sakata linaanza na Mwili mmoja wa mwanafunzi aliyekua anasoma Jomo kenyata university of Agriculture and technology (JKUAT) unagunduliwa kwene ambapo eneo la dampo mjini Nairobi.Baada ya kutolewa unagundulika ni wa kijana anaitwa…densel Omondi… raia wanadhan kua aliuawa na vyombo vya usalama...
Hivi ni kweli Utafiti ulifanyika kweli ikaonekana mstaafu ukimpa hela yake yote atakufa mapema kuliko kikokotoo.. Nachoona kwa sasa wenye kikokotoo ndo wapo kwenye risk kubwa ya kufa kuliko serikali ilivyofikiria.
Jamii za kiislamu wanapenda misaada sana as if they are always unable bodied. Ukienda Tabora, Ujiji, Zanzibar nk hata huduma za jamii ni duni hata kujenga misikiti tu hawawezi mpaka ajitokeze tajiri mmoja awajengee.
Ukienda jamii hizo utakuta maji ya visima ndo yamejaa halafu visima vyenyewe ni...
Je unalipa bili kubwa ya umeme, ambayo unadhani inazidi matumizi yako?
*Nafanya ukaguzi wa mifumo ya umeme kuangalia chanzo cha tatizo.
*Nafanya marekebisho kuondoa tatizo
*Lakini pia kama hakuna tatizo tunatoa ushauri wa kitaalamu juu ya maboresho ya vifaa vyako ili kupunguza gharama za...
Wapewe maua yao hawa KMC,
Manispaa zingine nazo ziige mfano kwa KMC
Nilikuwa naangalia Kagame cup, nimeuangalia uwanja wa KMC nikajua mzee Bakhresa kafanya ukarabati mkubwa,
Mechi iliyofuata ya saa 12 nikashangaa kuona minazi na majumba nje ya kuta za uwanja ndipo nilipogundua kumbe ni azam...
Mpendwa Bachelor, Ikiwa sababu kuu ya kuwa mwanamke ni kwa sababu ana kifurushi kikubwa cha mbele aka Manchester united na kifurushi cha nyuma aka Arsenal, basi hauko kwenye MAPENZI. Haijalishi unafikiria nini, ikiwa unaona tu mali yake ya mwili basi UMEPOTEA katika TAMAA...
Huku mitandaoni single Maza hathaminiki. Maneno meengi ila ukija field sasa mwanamke WA miaka 40 mwenye watoto watatu ni rahisi kuolewa kuliko mwanamke WA miaka 40 Bikra.
Kuzaa sio mwisho wa mapenzi.wapo watakaokupenda Tu .kwanza watoto wanaleta rizki sana.wanafungua hata Milango iliyofungwa.
1. umiliki wa simu kwa watu wenye umri miaka 15+
Tanzania bara= 82.5%
Zanzibar= 88.8%
2. Kaya kumiliki nyumba au makazi yao
Tanzania bara= 64.5%
Zanzibar= 71.3%
Ukiyasikiliza maelezo ya Bashe katika tuhuma za maamuzi na kutolewa vibali vya biashara ya kuingiza sukari yana walakini mwingi na kuacha maswali zaidi
1. Ni kweli Bashe anayo mamlaka ya kujifanyia maamuzi tu kwamba nchi ina dharura ya upungufu wa sukari yanayompa mamlaka ya kutofuata taratibu...
Nendeni huko TimesFmTz ( katika Mtandao wao ) ili mkajiridhishe Wenyewe. Ukipinga basi uje na Tafiti yako nawe Ok?
ANGALIZO TUKUKA NA TAKATIFU
Hunipendi na hunikubali kabisa GENTAMYCINE kwa CHUKI BINAFSI zako, USHAMBA wako, WIVU wako kwa UMAARUFU wangu mkubwa hapa Jamiiforums, kwa ROHO MBAYA...
Wadau hamjamboni nyote?
Mama yetu Mtakatifu Bikira Maria ndiye Mama wa Bwana wetu Yesu Kristo/Nabii Issa
Ndiye mbarikiwa pekee anayekubalika na Wakiristo.na Waislamu
Ndiye Mbarikiwa pekee aliyekula chakula kilichotoka mbinguni kwa kutolewa na Mungu wetu Mkuu
Ndiye Mbarikiwa pekee aliyezaa...
Fikiria juu ya ufisadi wa Kagoda, Meremeta, Richmond, na ule wa enzi za Jakaya.
Je , sasa hivi? Mahindra tech, Waarabu waliouziwa bandari?
Mbona Watanzania hawaipiganii Nchi yao kama Wakenya? Mama anaenda Oman kusalimia Wajomba. Kodi za Watanganyika hazitumiki?
Ombi kwa Rais wangu mpendwa mama Samia, nakuomba uongee na wafanyabiashara wa kariakoo kwa kuita viongozi wao wachache katika timu yao ya Uongozi, maana nadhani wamezingukana katika kutoa kauli, nakuomba Waite kesho Jumatano saa 4,asb, ongea nao kwa kifupi mno, na watakuelewa zaidi ya yeyote...
Maneno ya Alikiba
"Hutawai niona nikipost pesa, magari makubwa ama vitu expensive namiliki, sio kwa sababu siwezi, ni kwa sababu nayajua haya maisha vyema, kuna watu wanateseka na wanatamani izo pesa na hayo maisha unayoposti.
Haina haja nipee mashabiki wangu pressure na hao ndio wamefanya...
Watu wenye ulemavu wa ngozi (Maalbino) wameitaka serikali kuweka sheria ya dharula itakayowalinda maalbino tofauti na kuendelea kutoa matamko ambayo hutolewa tu pale mauaji yanapotokea.
Wakizungumza na waandishi leo juni kwa nyakati tofauti Juni 24, 2025 wamesema tangu Mwaka 2016 maalbino...
Kuna propaganda kubwa zinaendelea duniani na JF za kuwaponda wanaoamini dini, na kuwaona wanaopuuza mambo ya imani kuwa ni majiniasi. Hii ni kweli kwa aina flani ya wanadini na sio sahihi kabiss kwa kundi kubwa la wanadini pia.
Dini namaanisha watu wanaoamini kuhusu uwepo wa Mungu na nguvu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.