kuliko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nikiambiwa huyu ndiyo Profesa hasa ambaye sina Shaka nae na hata Kichwani yuko vizuri nitakubali kwa 100%, kuliko Maprofesa wengi Uchwara tulionao

    Mtaalamu na mbobezi wa masuala ya sheria, Profesa Abdallah Safari amefichua siri ya kujiweka kando na shughuli za kisiasa badala yake ameamua kukitumia ipasavyo kipawa chake cha utunzi wa vitabu. Profesa Safari aliyewahi kuwa kada na mshauri wa masuala muhimu ya kisheria wa Chama cha Wananchi...
  2. Pre GE2025 Hii Serikali inayosifiwa kwenye mabango nchi nzima nini hasa dhumuni lake?

    "Siku mkisikia wazungu wananisifu tambueni nimewasaliti" ni maneno ya Samora Machel kwa wananchi wake. Tuje hapa kwetu sasa. Hii serikali inayosifiwa kwenye mabango nchi nzima Nini hasa dhumuni lake?. Kwanini imekimbilia kwenye mabango kujitangaza na si kuacha kazi ijitangaze yenyewe? Ukweli ni...
  3. Sumu ya NGE ni sumu ghali kuliko zote hapa duniani

    Inadaiwa kuwa sumu ya nge ndio sumu ya gharama zaidi Duniani ikiuzwa kwa Dola za Kimarekani milioni 39 kwa galoni moja, sawa na Shilingi za Kitanzania bilioni 90. Galoni moja ni takriban lita 4.5 Sumu ya nge inaweza kumsababishia maumivu makubwa mwanadamu ikiwa ataumwa na mdudu huyu, lakini...
  4. Polisi wengi wana utu kuliko raia wengi wanavyowachukulia

    Siikatai kuwa kuna Askari Polisi wasio waadilifu! Karibia kila taaluma kuna watu wasiozingatia maadili ya kazi/taaluma zao Kule nchini Marekani, Polisi mmoja alibaini kuwa leseni ya udereva wa kijana aliyemsimamisha ilikuwa imeisha wakati wake. Alipomwuliza sababu za kuendesha gari huku leseni...
  5. D

    Tanganyika iliitaka sana Zanzibar kuliko Zanzibar ilivyoitaka Tanganyika

    Nyerere aliona mbali sana si ajabu kusingekuwa na muungano tungalikwisha pinduliwa zamani au kuvamiwa na maadui kupitia kisiwa cha Zanzibar. Kumbukeni Nyerere hakuwa mjinga kama mnavyofikri hasa akina Lissu wenye fikra finyu sana. Kumbuka security ni muhimu sana kuliko interest zenu na...
  6. Ruto ni bora kuliko Raila

    Siyo mkenya wala sizisijui sana Siasa za Kenya. Lakini Leo wakati namsikiliza Rais William Ruto akizungumzia mfuko wa Jimbo (CDF) nimepata hisia kwamba yeye ni bora zaidi kuliko labda Raila Odinga kama angekuwa Rais. Uwezo wake wa kusema ukweli mbele ya wabunge nimeupenda sana. Anajieleza...
  7. Katiba ya Tanzania ni nzuri, lakini ya Kenya ni bora zaidi kuliko ya Tanzania

    Inasemekana, Naibu Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Kenya, Jenerali Ogolla, alitumwa kuzuia Ruto asitangazwe kuwa mshindi wa kiti cha Urais Kenya, lakini azma hiyo haikufanikiwa. Viongozi wa Tume ya uchaguzi hawakuuogoopa Ujenerali wake. Waliiheshimu na kuisimamia Katiba yao kikamilifu...
  8. Kelele za Serikali ya mama Samia ni nyingi kuliko maendeleo

    Imefika wakati tupigeni kelele mambo ya ajabu yatokomee 1. Vyombo vya habari vimekuwa na uhuru tu wa kusifia Serikali ya mama Samia pekee ila huwezi kukuta chombo cha habari kikihoji maendeleo ya kijamii kama kukatika katika ya umeme, uhaba wa maji, mafuta, vyakula bei juu, kuadimika kwa dolla...
  9. Kwa Tanzania, wachekeshaji wengi wameenda shule kuliko waimbaji na waigizaji

    Ukiachana na 'wadudu', wachekeshaji wengi wameenda shule. Hii tasnia imeonekana kustawi vema miaka ya hivi karibuni. Ni katika kutelekeza kaulimbiu ya Serikali yetu ya kuwataka wasomi wajiajiri. Wasomi wetu baada ya kukosa michongo ya maana wameangukia kwenye vichekesho, wengine wakienda...
  10. Mpuuzieni Christina Shusho, anatumika na shetani kuiaminisha jamii kuwa zinaa ni bora kuliko ndoa

    Christina Shusho aliibuka mbele ya jamii na kusema kuwa ''aliamua kuachana na mume wake na kuamua kumtumikia mungu'' na hiyo ilikuja baada ya kuona mashabiki wake wakimuuliza sana na kumsihii aolewe ndipo alipoamua kujificha kwenye kimvuli cha kumtumikia mungu lakini nyuma ya pazia ni uongo...
  11. Jana usiku Mashabiki mbumbumbu wa Tanzania ndio wamejua Al Ahly ni bora kuliko Mamelodi!

    Droo ya robo fainali ilipotoka nilishangaa watu kuwaogopesha yanga kuwa mamelodi watawafunga na kuwapongeza Simba kuwa wamepangwa na vibonde. Ashakhum si matusi, mashabiki wabongo pamoja na wachambuzi ni vilaza. Kwaaliyefuatiliamechi zote za CAFCL atakubali kuwa Al Ahly bado ni timu kubwa na...
  12. Tuwaombee simba wacheze CAF's competition kuliko Azam

    Wakuu Mimi nikiwa kama mwananchi kindakindaki kabisa Nakiri binafsi na naomba tuwaombee watani zetu hawa mbumbumbu wajitahidi hata waishie nafasi ya pili ili sisi na wao tucheze huko CAF kuliko azam. Hawa azam hawatabiriki kimataifa zaidi wataenda kufanya tu point zetu zikwame tu Kama msimu...
  13. R

    Miaka 60 ya Muungano imegubikwa na kamata kamata za polisi kuliko mijadala ya kitaifa? Nani yupo nyuma ya hujuma ya 4R za Rais?

    Vyombo vya habari zimeripoti mambo mengi ya Muungano lakini wananchi wamekataa kujadili na kusambaza habari njema ya uzima wa Muungano. Mtaani hakuna mtu anahangaika na gwaride wala hotuba watu wapo busy kujadili picha za waliopotea. Boniface na Malisa wameteka mijadala ya ndani na muda si...
  14. How come stand ya wilaya iwe nzuri kuliko ya mkoa

    Mfano ni stand ya Mangaka iliyopo nanyumbu ni kali kuliko stand za songea, Mtwara, Lindi.. Serikali inakuwa inaonaje kuipa wilaya kipaumbele ilihali watu wengi wako mkoani na mzunguko uko mkoani.
  15. Shaaban Kissu, mtangazaji anayelipwa mshahara mkubwa kuliko watangazaji wote nchini, alifuatiwa na Gadner G

    Shaaban Kissu MC wa Taifa ndiye the most paid Radio presenter so far, akiwa TBC Na sasa AMG Analipwa zaidi ya milioni tano kwa mwezi, sababu ya kuwa hivyo inatokana na kuwahi kuteuliwa kuwa mkuu wa wilaya enzi za Kikwete. Kabla ya kutumbuliwa na JPM. Kanuni za utumishi ziko wazi ukipandishwa...
  16. Kupigwa na jua ni muhimu kuliko tunavyodhani

    Moja ya vitamin ngumu kabisa kupatikana kutoka kwenye vyakula ni Vitamin D. Mahitaji ya siku ya vitamin D kwa binadamu ni wastani wa 600IU(International Unit). Ni vyakula vichache sana vinaweza kukupatia kiasi hiki cha vitamin D kwa siku. Vitamin hii hupatikana kwa wingi kwa kupigwa na jua. Mtu...
  17. Dunia imeisha, Transgender ni mbaya kuliko vita vya Israel

    habari wana JF!! Leo kati pita pita zangu mtandaoni nikapishana na baadhi ya video za kichafu za transgender, nilisisimka mpaka ndevu sikuwahi kujua maana ya transgender. Hapo nazidi kuamini kuwa siku za mwisho zipo na masiha atarudi, video zile ni mbaya kuliko hata vita. GOOBYE JF,NAMRUDIA...
  18. Mzamiru Yassin ni kiungo mzuri kuliko Babacar Sarr

    Kwa macho ya kimpira naona Mzamiru ana vitu vingi kumzidi Babacar Sarr. Sarr ni mzito na ndiye anaeigharimu simba kwa kushindwa kukaa eneo lake na kukaba kwa wakati. Sijui kamati ya usajili ya Simba iliangalia nini kwake ambacho Mzamiru hana.
  19. Kwanin APU za AMZ ryzen ni cheap kuliko intel?

    Ni kwanin kompyuta zenye apu za processor ya intel iwe na gharama zaid ya processor za amd ryzen, wakat specs zngne kama processor speed, ram,rom na generation zko sawa
  20. Idadi ya Wanaume duniani ni kubwa zaidi kuliko ya wanawake

    Hii ni taarifa maalum kwenu wadada wote mliojikatia tamaa kwamba hamuwezi kuolewa kisa wanaume ni wachache kuliko wanawake. Ni wakati sasa wa kuachana na huzuni kisa umekosa mwanaume wa kukuoa. Ukweli ni kwamba wanaume ni wengi kuliko wanawake. Ikiwa kuna idadi kubwa ya wanawake kuliko wanaume...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…