Kwa wale wasiotaka au wasiopenda Dodoma kuwa makao makuu ya nchi kwa sababu eti mji mdogo kuliko Dar es Salaam au Arusha, basi kwa taarifa yenu kuna nchi nyingi tena nchi kubwa na maarufu katika kundi hili. Nchi hizo zina makao makuu ya nchi madogo kuliko jiji au majiji ya Biashara. Nitatoa...
Kuanzia mtaani hadi mitandaoni, mechi iliyowajaa midomoni wapenzi na mashabiki wa soka ni ile ya Yanga. Kuna wanaoiamini Yanga na kuona itaibuka kidedea Benjamin Mkapa na hata mwisho wa mechi mbili. Kuna wanaoibeza na kuona imefikia mwisho. Lakini, Yanga ameteka mazungumzo.
Kuanzia wachambuzi...
Kama Mwafrika angekuwa na mali na uchumi wa kuweza kuajiri wafanyakazi kutoka mataifa mengine angepata lawama toka pande zote za Dunia kwa unyanyasaji na ukatili.
Mwafrika anamtesa ndugu yake Mwafrika kama mnyama, jambo ambalo kwa mataifa mengine huwezi kuliona.
Mitaani case za unyanyasaji ni...
Waislam wakifunga hata usiyemuislam utafaidi. Sio wachoyo, Sio wabaguzi kwenye futari. Nimewahi kupanga nyumba moja na waislam ikifika mfungo sisi wakristo tulikuwa tunafaidi sana. Kikipikwa chakula cha kufuturu na sisi tumo kwenye bajeti hata kama wanajua hatujafunga.
Wakristo tukifunga, mara...
MAMA NA BABA KUISHI PAMOJA NI RAHISI KUWASAIDIA NA KUWAHUDUMIA KULIKO WAKITENGANA.
Anàandika, Robert Heriel
Mtibeli
Fainali ya uzeeni naiona kwa wengi ikiwapiga Knockout Matata. Kuna kilio cha mbuzi Mee naliona kinakuja kwa waliowengi.
Nilisema, wewe kama kipato chako upo chini ya milioni...
Ukija uwanja wa Taifa ukiwa umevaa jezi ya Mamelodi Sundowns lazima utuoneshe passport ya Afrika Kusini na ukiwa na jezi ya Al Ahly utuoneshe passport ya Misri, nje na hapo Polisi watakuchukua ukapumzike” Damas Ndumbaro, Waziri wa Sanaa, Utamaduni na Michezo.
Yapi maoni yako?
al ahly
falsafa
freedom of expression
jezi
kuliko
kwa mkapa
mgeni
mipaka
mkapa
mpira
mzalendo
ndumbaro
polisi
samia
simba
tanzania
uzalendo
waziri
waziri ndumbaro
yanga
Inashangaza sana kuona nchi iliyobarikiwa rasilimali kibao kukuta wafanya biashara waliotoboa ni wachache, WHY?
Mbaya zaidi karibu top 20 wote ni wageni waarabu na wahindii kina Bakhresa, Mo, GSM. bado nawaaita wageni sababu huwa wanaishi kivyao, huoana wao kwa wao, huzikana wao kwa wao, si...
Hivi hii imekaaje yaani video clip vya facebook ukiviangalia dakika kumi tu zinakausha data Balaa hata GB 1 fasta inakata. Wakati unaweza kuangalia YouTube muda mrefu tu.
1: Jason Bourne vs Mission Impossible
2: Into The Blue vs Fool's Gold
3: Batman v Superman: Dawn of Justice vs Captain America: Civil War.
4: Snow White and the Huntsman vs Mirror Mirror
5: White House Down vs Olympic Has Fallen
Amani ya Mungu iwe nanyi.
Ebana kuna kamanzi/kadada kammoja kameibuka huku mitandaoni anaelekeza namna ya kunyandua ndizi na apple ni mkali balaa, ana vionio kama vyote wenye video ya visa mafunzo vya ndizi na apple atupashe madesa, simbi na vizenga tafadhari.
Ni hayo kwa uchache tu...
Hivi ni kweli Kennedy, Mshery, Manula, Sop, na Mao ni bora kuliko wachezaji wote walioachwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa kinachokwenda Azerbaijan? NI uteuzi usiokuwa na mipango ya muda mfupi wala muda mrefu. Ni timu ambayo imeteuliwa kwa kubalance idadi ya wachezi kutoka timu fulani na nani...
Kichwa cha habari chajieleza na kimepigiwa mstari.
Katwale anawaza kuwa mkuu mbunge tu. Anachowaza ni kumg'oa Kalemani.
Alipoteuliwa ukuu wa wilaya Chato hakuwa na muda kutatua kero za wananchi. Masalani pamoja na Chato kuwa karibu na ziwa Victoria bado kuna shida ya maji kubwa.
Yeye kikubwa...
Nasema hivi ni afadhali ukumbane na Chui atakuchuna atakuacha lakini sio Mamelodi, huyu ni zaidi ya mnyama.
Kwanza akitua tu unazimika mwenyewe sembuse kukabiliana naye.
Tukiangalia kwenye vitabu, watu wa imani wanamsitu wa ushahidi wa taarifa za kijasiri za watu kufanya mambo makubwa wakiwa na Mungu.
Cha ajabu katika uhalisia, hasa kwenye maendeleo tunaona no asilimia ndogo sana ya watu wanaotumia imani yako kuleta maendeleo ya kusisimua.
Leo ukienda...
Baba na mwana katika hizi familia mbili za wapakwa mafuta zinatafakarisha.
UKimchukua January Makamba na mzee wake Yusuf ukaweweka kwenye mzani,Yusuf atamzidi January kwa umri tu,ni dhairi January alijifunza siasa kwa mzeewake na akampiku kila kitu,elimu,aiba nk.
Njoo kwa Rizwan ambaye...
Hifadhi ya Taifa Nyerere ndiyo hifadhi kubwa kuliko zote Tanzania. Ilianzishwa kutoka kwenye pori la akiba la Selous na kupewa jina ilo mnamo mwaka 2019 kwa heshima ya aliyekuwa mwanzilishi Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Ina ukubwa wa eneo la kilomita za mraba 30,000.
Ni hifadhi...
Wanawake wanakumbana na viwango vya umasikini vya juu kuliko Wanaume, na pengo la kijinsia katika Umasikini linatarajiwa kuendelea hadi katikati ya karne.
Takwimu za Kimataifa kutoka UN Women zinaonesha, asilimia 10.3 ya Wanawake Duniani wanaishi katika Umasikini wa kutisha kuliko Wanaume...
Nawasalimu Kwa Jina la mwenyezimungu mwingi wa kusamehe, najaribu kutafakali kuhusu tabia za watanzania najaribu kulinganisha na mataifa mengi ya wazungu au wachina au wajapani kuhusu uzalendo wao.
Katika nchi ya Tanzania wafanyakazi wa umma wanafanya mambo ya ovyo Kwa Tamaa zao au...
Hifadhi ya kisiwa cha Saanane ndiyo hifadhi ndogo kuliko zote Africa mashariki inayopatikana mkoa wa Mwanza na ndiyo hifadhi pekee iliyopo katikati ya mji. Ni mwendo wa kilomita mbili tu kutoka mjini na kuifikia iliopo. Inapatikana kwenye kingo za ziwa Victoria.
Ni hifadhi inayokupa nafasi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.