Yani usiku naweza fanya kazi ambazo zinahitaji akili nyingi na tulivu kuliko mchana, naweza kesha usiku mzima bila shida,
Lakini mchana ni kama vile niko less, who can relate?
Basi tulivyokuwa wadogo enzi mwaka 1996 nikiwa zangu mgeni kabisa iringa mafinga ndo mara kwanza niliwaona hawa wana kamati ya nidhamu(nyigu)...
Hawa wanakamati ya nidhamu(nyigu) mara nyingi walipenda sana kujenga nyumba zao vibarazani hasa karibu na meter za umeme sasa tukiwa wadogo...
Niaje Wadau,
Uchaguzi umetaradadi, Majimboni kunazidi kuwaka moto. Wanasiasa wanaonekana saana.
Kumekuwa na tamaduni za watu wengi kwenye jamii yetu kuwalinda na kuwaunga mkono wagombea wa vyama vyao hata kama hawana uwezo na sera zenye tija. Baadhi ya watu wanalazimika kutetea hata mabaya na...
Morogoro kwasasa si mkoa salama, vitendo vya uporaji kwa kutumia bodaboda vimeongezeka, vikundi vya uhalifu vinasumbua sana katika baadhi ya mitaa na kufanya raia waishi kwa hofu.
Cha ajabu jeshi la polisi limeweka jitihada kubwa kupambana na bajaji, yaani ikifika saa 1 jioni, polisi wenye...
Shalom in advance wakuu.
Ni ushahidi wa wazi juu ya kuwepo kwa wizi na ubadhirifu mkubwa unao endelea katika taifa letu, pesa za walipa Kodi maskini zina nufaisha watu wachache na familia zao.
Kila taasisi hivi sasa inanuka wizi, Kisha tunabaki kulaumiana.
Licha ya serikali kuweka Sheria...
Tunaweka kumbukumbu sawa ya kwamba katika makundi yote ya CCL msimu huu kundi lililokuwa dhaifu KULIKO yote ni kundi la Simba, ubora wa timu zilizokuwa kwenye kundi ilo kwa yeyote aliyekuwa anafatilia mechi zao atakuwa shahidi.
Asec mimosas kiwango chake kilikuwa Cha kawaida sana lakini ametoa...
Ok tumeandamana Mwanza, Dar Mbeya na Arusha nini cha maana taifa limepata?
Kuingilia msafara wa Biteko?
Leo hii hali ni mbaya sana. Maana pesa za umma zinachotwa hovyo na hakuna cha maana kikifanyika.
Mpaka waziri mkuu Majaliwa anazunguka nchi nzima kuibua madudu. Mbona wakati wa JPM haya...
Habari zenu!
Kama kawaida sisiti kuachia nyuzi za upendo kwa dada zetu. Lengo ni jema tu ingawa wasiotaka kubadilika hunichukia.
Mama mwenye familia yake haijalishi ameolewa au hajaolewa. Haijalishi amepanga au anaishi kwenye nyumba yake, mama anayeanini katika kazi za mkono wake. Anauza...
Luka 4:1-21 BHN
Yesu alitoka mtoni Yordani akiwa amejaa Roho Mtakatifu, akaongozwa na Roho mpaka jangwani. Huko alijaribiwa na Ibilisi kwa muda wa siku arubaini. Wakati huo wote hakula chochote, na baada ya siku hizo akasikia njaa. Ndipo Ibilisi akamwambia, “Kama wewe ni Mwana wa Mungu, amuru...
Huyu Mzee anawajibika ipasavyo Kila akipata Fursa ya kuujulisha UMMA kiukweli anaitendea haki.
Kazi/projects zilizopo na zijazo zinatia moyo sana kwa future ya taifa na mataifa jirani.
Vp wakurugenzi wengine wangekuwa productive kama huyu Mzee naamini matatizo ya usafiri, mafuta, umeme...
Mratibu Mkazi na Misaada ya Kibinadamu wa Umoja wa Mataifa (UN), Bruno Lemarquis, amesema Mgogoro unaoendelea nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, ni kati ya matatizo makubwa, magumu, ya muda mrefu na yanayopuuzwa zaidi duniani.
Pia, UN imeonya kuwa hali ya Kibinadamu katika eneo la...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo ni (CHADEMA), ni chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania chenye makao makuu yake jijini Dar es Salaam wilaya ya Kinondoni. Kwa miaka mingi chama hicho kimekuwa kikifanya harakati mbalimbali zenye lengo la kuibua makosa mbalimbali yanayofanywa na chama tawala...
Takwimu rasmi zinaonesha GDP ya Israel imeshuka kwa 19% robo ya mwisho ya mwaka 2023. GDP ya Israel iliathiriwa moja kwa moja na kuzuka kwa mgogoro huo Octoba 07 mwaka jana, ilisema ofisi ya takwimu.
Wataalam wanasema takwimu hizo zilizotolewa jana na ofisi ya takwimu ya Israel ni mbaya zaidi...
Mbunge Maimuna Pathan: Kwa Nini Serikali Isihakiki Wastaafu Wilayani Kuliko Ilivyo Sasa Kuhakikiwa Mikoani.
Serikali imesema Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) una mpango wa kuweka vifaa vya uhakiki vitakavyotumia alama za vidole kwenye ofisi za halmashauri ili kuhakikisha...
Yani inauma sana hawa wakenya wanajua kutembelea code za Tanzania kwenye fursa zilizopo hapa. Kumbuka Kenya asilimia kubwa imejaa kikabila kuongea na ndio maana lugha yao kubwa ni Kingereza ila suala la kujitangaza kiswahili kipo kwao wameshinda hili.
Nimeshangaa fursa hii tumeshindwa kupeleka...
Haijulikani sababu hasa ya Shida ya umeme kuwa kubwa kiasi hiki , ila sasa ni dhahiri ni tatizo kubwa sana .
Dar es salaam ni kama raia wamezoea shida hiyo, huko Mbeya, wilaya ya Kyela kimsingi ni kama umeme haupo, tangu ulivyokatika saa 11 alfajiri, hadi muda huu haujarejeshwa.
Jamaa wamejitahidi kutupatia classics throughout the years:
The Fast and the Furious (2001)
2 Fast 2 Furious (2003)
The Fast and the Furious: Tokyo Drift (2006)
Fast & Furious (2009)
Fast Five (2011)
Fast & Furious 6 (2013)
Furious 7 (2015)
The Fate of the Furious (2017)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.