Na hili ni bango maalum hasa kwa kizazi cha sasa, ambapo hata kazi za kujiajiri watu wanazifanya wakiwa wamekaa ndani tu, wakitumia simu au kompyuta zao.
Sio kwamba Usile, Angalia Kazi Zako!
Watu wengi bado wanadhani kisukari kinasababishwa tu na kunywa soda au kula keki. Ukweli ni kwamba...
Kupitia mitandao ya kijamii, hususan Facebook, kumekuwepo na ukurasa uliochapisha video inayowahamasisha wanaume kutofanya mazoezi, ikidai kuwa kufanya mazoezi husababisha watu kutokuwa na afya njema. Katika video hiyo, mhusika anarejelea zamani akisema kuwa watu wa kale hawakufanya mazoezi, na...
Ugali wa dona ni mzuri kuzidi wa sembe lakini katika mazingira ya sasa, umejaa hatari nyingi kiafya, hatuna budi kubaki kwenye sembe kulinda afya zetu
Unga wa dona ni mahindi yaliosagwa na Maganda yake (pumba), unga wa dona huondoa Maganda.
Ugali wa dona ni chakula chenye afya ikiwemo kuwa na...
Kila siku mpya ni kama nafasi ya pili ya kuandika maisha yako upya. Lakini swali ni, unapoamka asubuhi, je, unaanza siku yako kwa namna inayoilinda afya yako au unaiacha ianze kwa mazoea ya bahati nasibu? Ukweli ni kwamba jinsi unavyotumia dakika zako za kwanza baada ya kuamka, huamua kasi na...
Serikali kupitia Wizara ya Nishati imetoa wito kwa wananchi kuachana na matumizi ya nishati isiyo safi ya kupikia na kutumia nishati safi ya kupikia kama vile umeme na gesi ikiwa ni njia pia ya kulinda afya, mazingira na kuimarisha uchumi wa kaya.
Wito huo umetolewa leo na Mwakilishi wa...
Wakuu!
Mmemsikia Prof. Mohamed Janabi, akiendelea kutupa madini ya kuzidi kulinda afya zetu? Ila hili limeniacha mdomo wazi kidogo kuhusu kunywa juice ambayo tuaamini ni sehemu ya kuboresha afya tena zile juice za kutengeneza mwenyewe.
==================
MKURUGENZI Mtendaji wa Hospitali ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.