Wakazi wa eneo la Kipunguni Hali ya Hewa (Banana), Wilaya ya Ilala, Jimbo la Segerea, Dar es Salaam, tulioathiriwa na zoezi la kupisha makazi kwa ajili ya kupisha ujenzi wa barabara.
Eneo letu lilikuwa sehemu ya mradi unaohusiana na viwanja vya ndege, ambapo baadhi ya wakazi walipewa viwanja...
Anonymous
Thread
banana
barabara
fidia
hali
hali ya hewa
hewa
kipunguni
kulipwakulipwafidia
kupisha
wakazi
Mimi huu ndio ushauri wangu kwasababu tabu na mateso anayopitia ni kwasababu yetu, watoto wetu, wajukuu zetu na hata vitukuu vyetu.
Tukumbuke alishapigwa risasi na leo yuko jela zaidi ya mwaka na hii ni kwasababu ya uzalendo wake kwani vinginenyo,, angeshatusaliti kama walivyofanya wengine...
Wakazi wa Kipunguni Mashariki Ilala Dar es Salaam, wamefikisha miaka mitatu bila kulipwa fidia waliyoahidiwa na Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA) ili kupisha uendelezaji wa uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere na kuomba serikali kuingilia kati ili waweze kulipwa.
Chanzo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.