Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 977
- 1,966
Wakazi wa Kipunguni Mashariki Ilala Dar es Salaam, wamefikisha miaka mitatu bila kulipwa fidia waliyoahidiwa na Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA) ili kupisha uendelezaji wa uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere na kuomba serikali kuingilia kati ili waweze kulipwa.