Pana matakataka mengi yanafanyika Serikali hasa kwa watumishi wa umma inatakiwa mamlaka ilitazame hili.
Huu utaratibu wa kumsimamisha kazi mtumishi wa umma huku akiendelea kulipwa mshahara mwisho wa mwezi je ulizingatia afya ya akili ya aliyebuni utaratibu huu?.
Unakuta mtumishi kapata kesi ya...
Mnada huo ambao ulitarajiwa kufanyika toka Jumanne, uliahirishwa mara mbili na hatimaye kufanyika Alhamisi 14/09. Wakulima zao la Mbaazi, walishangazwa na bei ya mnada kuwa chini kuliko matarajio.
Kwa masikitiko makubwa walitangaziwa Bei ya Tshs 2190/ Ukiniunganisha na Bei ya Mbaazi Kwa soko...
Kwema Wakuu!
Unajua hawa Vijana wa sasa hivi ni kama wamewehuka fulani hivi.
Unakuta mtu analalamika Mshahara wake ni mdogo, unajaribu kumsikiliza, unamuuliza unalipwa bei ngani, anakuambia labda laki tatu au laki mbili. Unamuuliza Elimu yako vipi, anakuambia Darasa la Saba au aliachia njiani...
Je, huu ni wakati wa wanasheria wa serikali kulamba asali kupitia kesi za kimikataba na kimataifa?
Mikataba mingi iliyovunjwa na JPM, ilivunjwa kwa negotiation ya win win stuation ili kuanza upya!
Tokea miaka ya 2018 huko miaka mitano nyuma, mwekezaji kampuni ya Nickel ambaye haijulikani...
Benki Kuu ya Tanzani imeukumbusha umma kuwa kifungu cha 26 cha Sheria ya Benki Kuu ya Tanzania ya mwaka 2006 kinaelekeza kuwa shilingi ya Tanzania ndiyo fedha pekee ambayo inaruhusia kutumika nchini, hivyo hakuna Mtu au Kampuni yoyote inayoruhusiwa kuikataa kwa malipo yoyote halali na kwamba...
Wataalamu wa bank, je naweza kuweka deposit kiasi cha hela kama 10m halafu kila mwezi bank inanilipa riba? Na je watanilipa kiasi gani kila mwezi? Wakati huo hela yangu ipo tu bank?
WANAODAI KAMPUNI YA PRIDE TANZANIA KULIPWA JULAI 2023
Serikali itaanza kuwalipa Watanzania wanaoidai Kampuni ya Pride Tanzania Julai mwaka huu baada ya taratibu za ufilisi kukamilika. Pride ilianzishwa Mei 5, 1993 chini ya Sheria ya Kampuni (CAP 212) kwa lengo la kutoa mikopo midogomidogo kwa...
Baada ya Wadau wa JamiiForums.com kutoka Moshi Mkoani Kilimanjaro na Kilindi Mkoani Tanga kudai kuwa wanufaika wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) hawajalipwa malipo yao pamoja na wengine kudai wazee wanatumikishwa kufanya kazi, mamlaka ya TASAF imefafanua.
Mkuu wa Kitengo cha Habari na...
Kiasi unachopokea kihasibu tunahesabia ni baada ya kutoa matumizi.
Kwa kila safari ya kwenda kucheza mechi za nje, gharama inaweza kuwa milioni 40 kuanzia tiketi za ndege, gharama za malazi, vyakula na vinywaji, n.k.
Simba hadi wanafika robo fainali washakwenda nje mara 6 (mechi 2 za awali...
MBUNGE JANEJELLY NTATE AHOJI KULIPWA POSHO ZA WATENDAJI WA KATA
Mbunge wa Viti Maalum Wafanyakazi Nchini anayetokea Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Janejelly James Ntate amehoji Bungeni kuhusu watendaji wa Kata wanaolipwa na wasiolipwa posho ambapo swali lilijibiwa na Naibu Waziri TAMISEMI Mhe. Deo...
Anaandika Ibrahim Mkamba
Inna lillahi wa inna lillahi raj'ughn, Bernard Camillius Membe ametutoka. Taarifa ilipopatikana tu, mara moja maswali yamekuwa mengi endapo sasa mtu aliyemdai hatalipa kwa sababu madai yalikuwa yanahusu mdai kukashfiwa na huyo mkashfiwa ameshafariki.
Najibu hapa ili...
Leo nimesitika Mbunge anachangia Wastaafu walipwe Mafao ya Mkupuo kama Awali. Ndalichako akaInterupt na kusema Watu wanaolipwa pesa nyingi Sana ambazo si zao hivi wanastahili Kikokotoo. Yaani miaka yote hii ndio Ndalichako kaona Waanze 2022 kupunja Wastaafu akidai wataishi miaka 12. Hivyo...
Kundi la Muziki la Sauti Sol kutoka Kenya limetangaza nia ya kujitoa kwenye Shirikisho la Hakimiliki (MCSK) kwa maelezo ya kutoridhishwa na ulipaji wa fedha zinatokana na matumizi ya kazi zao za sanaa
Sauti Sol wamehoji "Kwa nini MCSK huwa wanafanya kana kwamba wanawafanyia hisani Wanamuziki wa...
Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua amedai Serikali yao inapata changamoto ya mishahara kuchelewa kwa kuwa Serikali haina fedha kutokana na ukopaji uliopitiliza uliofanywa na utawala uliopita wa Rais wa zamani Uhuru Kenyatta.
Watumishi wa umma katika Kaunti 47 nchini Kenya wamekaa kwa miezi...
Kuna hela ambayo kuna mtu anaitwa surveyor hutaka kulipwa pale mteja anapotaka kuvuta umeme, je, kazi hii ni nje na majukumu yake ya kazi?
Maana bila kulipa hii hela aisee huyo surveyor hadi akufikie utazeeka huna umeme.
Unalikumbuka tukio la basi la mwendokasi lililoacha njia na kugonga ukuta wa jengo lililopo Kisutu jijini Dar es Salaam huku likimkosa mwenda kwa miguu aliyekuwa akikatisha mtaani hapo? Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (Tira) imesema anastahili kulipwa fidia.
Wakati Tira ikisema hivyo...
Mkataba huo mpya utakuwa na maboresho makubwa kwenye mshahara wa staa huyo, kutoka kiwango anacholipwa kwa sasa cha Pauni 70,000 kwa wiki na kuwa mchezaji anayelipwa pesa nyingi zaidi kwenye kikosi hicho kinachonolewa na Mikel Arteta, Pauni 300,000 kwa wiki sawa na pesa ya Kitanzania Sh858...
Vanessa Bryant atalipwa na Maafisa wa Polisi na Zimamoto wa Kaunti ya Los Angeles zaidi ya Bilioni 65 za Kitanzania kwa kusambaza Mtandaoni picha za Ajali Mbaya ya Helkopita iliyoua Mumewe na Binti yake Januari 26, 2020
Kwa kuzingatia Ibara ya 16 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
📌Tuanze na Media za bongo| Media zipo kwa ajili ya kuhabarisha na kuburudisha( maana ake kutoa huduma kwa jamii kutobagua habari ya kufikisha kwa jamii , tukija kwenye burudani hapa Media za bongo kwasasa wimbo wako hausikik kwa Media bila pay au wimbo wako kupata air time bila kutoa pay . Afu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.