Wakuu ,
Wiki iliyopita Ijumaa kwenye moja ya ATM ya DTB hapa mjini nilienda kutoa pesa laki moja...
Kilichotokea pesa haikutoka na kwenye account yangu wamekata pesa.. nikawafata customer care mda huohuo wakaniambia mtandao unasumbua pesa yako utarudishiwa baadae... hawakurudisha
Kesho yake...
Salama wandugu,
Hii nchi mbona double standard sana.
Waliwafanyia interview watu ili kuwapa kazi sasa kama walikuwa hawana hela za kuwalipa hao maafisa wangetangaza ajira za kujitolea kuonyesha uzalendo.
Ingefaa zaidi uzalendo waanze wabunge na mawaziri wasilipwe posho ili haki itendeke...
Serikali ya Uingereza imetangaza kuwalipa fidia ya Tsh. 281,800,046 watu zaidi ya 4000 walioambukizwa Virusi Vya UKIMWI kwa uzembe wakati wakiongezewa Damu.
Watu hao waliambukizwa VVU na Homa ya Ini kupitia bidhaa chafu za Damu zilizoingizwa kutoka Marekani ambapo takriban watu 2,400 wanadaiwa...
Ndugu zangu,
Nadhani neno ‘deni’ si geni machoni mwetu. Ni moja ya kitu mashuhuri katika jamii zetu. Wingi wa neno deni ni ‘madeni.’ Binafsi mtu akiniuliza deni ni nini, nitamweleza kuwa; Deni ni shurti (jambo la lazima kufanya) analovikwa au kujivika kiumbe awe hai au mfu.
Ili twende sawa...
Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni leo Agosti 10, 2022 imeiamuru Kampuni ya Bima ya Dexter Insurance kumlipa dereva wa Kampuni ya mabasi ya New Force, Waubani Linyama maarufu kama ‘Ndugu abiria’ fidia ya Shilingi milioni 150 kwa kosa la kutumia picha yake kwenye mitandao ya kijamii kujipatia faida...
Habari Wakuu!
Siku chache zilizopita, niliweka uzi hapa Jukwaani nikihoji uhalali wa mawaziri kulipwa perdiem wawapo Bungeni. Mada ile ilitokana na tweet ya John Heche aliedai Waziri Mkuu analipwa perdiem awapo Bungeni.
Hata hivyo, Siku ya leo Mhe. Kitila Mkumbo amejitokeza kuchangia mada...
Watumishi wengine elimu zao ndogo lakini wanataka kulipwa mamilioni.
Ni huzuni.
Certificate anataka kulipwa milioni moja kwa mwezi.
Diploma naye hivyo hivyo.
Solution hapo ni kurudi shule tu ili ujipandishie mshahara mwenyewe.
Anaitwa Jean Morel poe ni mu ivory coast ana miaka 25 aliwahi kucheza soka la kulipwa belarus, kwa sasa anafanya kazi za u dereva teksi katika jiji la ismailia na jana alikuwa mojawapo ya madereva teksi na wasafisha uwanja waliocheza na simba na akafunga goli
Eneo hilo lenye viwanja 39, linalalamikiwa na wananchi kuwa lilichukuliwa bila wao kulipwa fidia na kuuzwa kwa vigogo hao wa serikali. Dk. Mabula pia amemwagiza Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk. Allan Kijazi, kuunda tume huru ambayo itafanya uchunguzi wa kina...
Shirikisho la Soka Duniani FIFA limeiagiza Club ya soka ya Wydad Casablanca ya Morocco kumlipa Mchezaji Mtanzania Simon Msuva zaidi ya dola za kimarekani laki saba ( Tsh. zaidi ya bilioni 1.6) baada ya Mchezaji huyo kushinda kesi ya madai aliyoifungua dhidi ya Club hiyo.
Msuva ambaye alikua...
Ndugu zangu nawasalimu kwa jina la serikali ya muungano Tanzania. Nipo kwenye mjadala mzito na mke wangu kuhusu hii mifuko ya UTT.
Tumepata pesakiasi Fulani baada ya KULIPWA fidia na Sasa nimemshauri tuwekeze kwenye bond ya utt, tatizo anatishika kuwa huko ukiweka fedha siku ukizitaka kupata...
Nchi ni moja na rais ni mmoja kwa nini madiwani wa Zanzibar walipwe mishahara huku hawa wa bara hawalipwi? Huu ni ubaguzi usiofaa.
Bajeti Zanzibar Sh2.59 trilioni.
=======
Madiwani Z’bar kulipwa mishahara
Jesse Mikofu
Unguja. Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) jana imewasilisha...
Rais Samia Suluhu na Mbunge Faustine Ndugulile wamevunja kikwazo kigumu kabisa Cha maendeleo ya kigamboni.
Sasa tozo zimeshuka na zitalipwa kwa siku badala Kila mtu anapovuka
Hiki kilikuwa kikwazo kikubwa kwa maendeleo ya kigamboni. Kigamboni ikianza kujengwa itakuwa mji mzuri sana na...
Mimi binafsi kama Fumadilu Kalimanzila toka ulipoteuliwa kuwa Waziri wa Nishati na ukaanza kuunda Bodi ya TANESCO na haraka sana hata kabla ya kutembelea miradi uliyokuta chini ya Wizara yako kama ule wa Nyerere Hydropower (Stiglers Gorge) ukakimbilia ubalozi wa Marekani kuanza kuomba misaada...
Pesa nyingi mno inatumika wakati wa kusoma mfano zile laki 2 laki 2 za Kila semester kwa ajili ya clinical rotations
Elfu 50 kwa Kila somo utakalopata Sup pesa ya nacte Kila mwaka
Ada
Alafu anakuja kulipwa kamshahara kaduchuuu
Habari za mchana viongozi.
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 Nina ujuzi katika sales and marketing na customer care service na data entry na stock controller namba yangu ya simu 0654918030.
anahitajika
cashier
certificate
chakula
cheti
clearing
elimu
fundi
habari
hii
jamhuri
jina
kazi
kulipwa
mgahawa
mimi
mpishi
mtu
natafuta
natafuta kazi
ndugu
ndugu zangu
siku
tanzania
unatafuta
uzoefu
vitafunwa
wakuu
waungwana
welding
Kuna taarifa za kupotea gari ya maradi wa ujenzi wa barabara ya afrika mashariki inayopita kata ya kwa msisi handeni tanga.
mkandarasi wa barabara iyo alikuwa anapeleka gari kwa ajili ya kazi hiyo sasa gari moja halijafika kwa msisi handeni kutokea bandari ya dsm
Ujenzi huo unandelea baada ya...
Jamani Mimi bado mawazo na fikra zangu zimebakia kwenye suala la mishahara,
Kwa mfano nikianza na waalimu hivi Nani anastahiliii KULIPWA MSHAHARA MKUBWA Kati ya mwalimu wa SHULE ya msingi na lecturer wa chuo?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.