Mshtakiwa Rhoda Salum (48) anayekabiliwa na kesi ya kusafirisha kilo 23.84 za mirungi, anakusudia kumwandikia barua Mkurugenzi wa Mashtaka Tanzania (DPP), akiomba kukiri shtaka lake na kupunguziwa adhabu ili waweze kuimaliza kesi hiyo.
Mshtakiwa anakabiliwa na shtaka moja la kusafirisha dawa za...
Nimetafakar san jambo hili lakini binafsi sioni jitihada wala nia ya dhati ya kukomesha ufisadi, rushwa, ubadhirifu wa mali za umma!! Hivi kwel tunaona tume zikiundwa mara vikosi kazi! Je kwann haviundwi vikosi kaz vya kuchunguza ufisadi, na rushwa?
Tumeona report nying za CAG mpaka kuweka waz...
Nimeangalia clip ya wanaojitahidi waumini wa GeorDavie au wafanyabiashara soko la Samunge Arusha utagundua binadamu wanapenda kumsingizia Mungu.
Kwanza kwao, tishio la mauaji, as long haligusi watoto wao, siyo shida. Wanaona kama Lema anaigiza kisa kugusa milioni mia moja. Hakuna mcha Mungu...
Ikiwa Serikali imeongeza bajeti ya Kilimo ya mwaka 2022/23 kwa 317% huku ikilenga kupanua eneo la umwagiliaji hadi hekta Milioni 8.5 ifikapo 2030. awamu ya sita iko kazini kuiwezesha sekta ya kilimo kukua na kuzalisha mbegu bora nchini, ili kuhakikisha usalama wa chakula wakati wote.
Serikali...
Na kwa Majina niliyoyaona ni dhahiri shahiri Baba mwenye Nyumba kwa sasa baada ya mwingine kuwa hajielewi hata Kumbukumbu tu hana atakuwa kahusika nayo kwa 95%
Nguvu ya chama ni watu. Kwamba chama kina watu thabiti nyuma yake si habari Tena:
Inafahamika hatutapata katiba mpya kwa kuchezeshwa ngoma na CCM.
Hatutapewa katiba mpya kwa kuzingatia sheria na kanuni tunazopewa na CCM.
Hatutapewa katiba mpya mezani.
2 Wafalme 7:6 inasema:
"Kishindo...
Raia wa Marekani, Brandon Summerlin (31) ameieleza Mahakama kuwa anakusudia kumwandikia barua Mkurugenzi wa Mashtaka nchini Tanzania (DPP) ya kukiri na kuomba kupunguziwa adhabu ili aweze kulimaliza shauri lake.
Summerlin ambaye ni mwalimu wa mafunzo kwa njia ya mtandao, anakabiliwa na shtaka...
Msanii wa muziki Tanzania ndugu Hamorapa amefanikiwa kumaliza masomo yake shahada ya 3 ya elimu ya juu kutoka chuo kikuu cha Mzumbe.
Msikilize hapa chini.
Kuukarabati mfumo wa "Utawala bora" pamoja na sheria zetu ili kuziba na kurekebisha mianya, nyufa, matobo, maadili mabovu, uzembe ofisi za umma, pamoja na mambo yote yanayoifanya nchi yetu iende kinyumenyume ikiwa jitahada za dhati zinafanyika na viongozi wakubwa lakini bado matokeo...
Najua watutsi kote eneo la maziwa makuu watapinga kwa nguvu ila huu ndio ukweli.
Ili kutatua tatizo la ukosefu wa amani mashariki ya congo ni lazima kwanza kuung'oa utawala wa kitutsi unaoongozwa na Kagame Rwanda.
Kwa hulka na desturi ya Watutsi ya kugombea kuhodhi wao madaraka ya kisiasa kwa...
Kwa wale wanaoona tarakimu za makato ya mkopo wa elimu ya juu wanaelewa faraja ya kumaliza mkopo juu.
Kwakeli wale waliochelewa kujiunga na elimu ya juu wanaulipa mpaka miaka ya kukaribia kustaafu. Infewezekana kusamehe wa miaka 50+ iliwaanze kujiandaa na maisha ya kustaafu.
Kuna wana aga...
Habari za Jumapili?
Naomba niende moja kwa mona kwenye mada, hiko hivi, kuna kijana ambaye ametokea mkoa mmoja huko Kanda ya Kaskazini, huyu hakuwa na wazazi wote wawili kwani walifariki kipindi alipokuwa mdogo sana. Kwa kipindi kirefu cha Elimu yake alikuwa akiishi na bibi upande wa mama...
DC Muro aongoza timu kumaliza mgogoro wa ardhi wa miaka 18 Ikungi.
Mkuu wa wilaya ya Ikungi Mhe. Jerry C. Muro pamoja na viongozi wa kata ya Irisya wakiongozwa na mwenyekiti wa halmashauri ya ikungi Mhe. Ali juma mwanga ambae ni diwani wa irisya wamefanikiwa kuumaliza mgogoro wa ardhi baina ya...
Walimu, madaktari na watumishi wa kila kada wanajimaliza kwa pombe kali na kucheza kamali za kichina maarufu kama bonanza.
Mishahara ikitoka ni kucheza makamali tu na kunywa pombe kali.
Wanasahau familia zao na kutoa matumizi.
CCM ipo kimya. Watumishi wanahitaji msaada wa kisaikolojia.
Ni Mwaka 1982, siku ya tatu iliwakutanisha Algeria na West German ambao walijua wanakwenda kutimiza wajibu.
"We will Dedicate our Seventh Goal to our wives and the eighth to our dogs."
Game ikachezwa na German wakapigwa 2-1 mechi ya kwanza.
Ingawa Algeria alifungwa mechi ya pili na Austria...
Mpina ni shujaa wa kweli, akisimama bungeni kunakuwa kimya! Hana unafiki tatizo kachoma nyumba mapema sana angesubiri kwanza akusanye vitu vyake timing imekuwa shida sio usione kujiunga Tadea!
Darasa la nne wamemaliza mitihani hivi karibuni.
Na wote tunafahamu jinsi hizi shule za siku hizi zinavyochukulia mitihani kama vita maana kipindi chote cha mwaka watoto hawapumziki kisa mtihani wa taifa na hubebeshwa madaftari yote na vitabu juu.
Mbaya zaidi watoto walianza kutoka jioni saa...
Hivi haiwezekani kutumia teknolojia ya maji taka yote kwenye vyoo vyetu kwenye majiji yetu Yale maji taka yarudi kwenye mzunguko kwa kuyatreat ili yawe maji safi na Salama?
Kuna nchi moja nilitembelea ughaibuni mwenyeji wangu aliniambia wanatumia system hii ila sikumtilia maanani nilikuwa...
Chama cha ACT Wazalendo kimependekeza Serikali ichukue mkopo wa Sh10 trilioni kwenye benki za maendeleo ili kusambaza maji nchi ili kumaliza kabisa changamoto ya upatikanaji wa maji
Chama hicho kimetoa pendekezo hilo wakati kukiwa na mgawo wa maji katika mkoa wa Dar es Salaam pamoja na mikoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.