Wanadiplomasia wakuu kutoka Marekani na China wamekuana leo Julai 9, 2022 kwa zaidi ya saa tano katika juhudi za kupunguza mvutano unaoongezeka kati ya Nchi hizo mbili.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Antony Blinken alisema uhusiano wa mataifa hayo una ‘matokeo makubwa’, akieleza kuwa...
Klabu ya Simba imekiri kuwa mkataba wa udhamini wa jezi kati yao na SportPesa umeshamalizika na kwa sasa wapo katika mazungumzo ya mkataba mpya na mdhamini mwingine.
CEO wa Simba, Barbara Gonzalez amesema: “Mkataba wa SportPesa uliisha tangu Mei 11, 2022 lakini kibinaadamu tunaendelea hadi Juni...
Wengi wetu tumepitia, wanapitia na watapitia,
Kuna wanaoshtuka mapema na kuanza kutafuta connection kabla ya kumaliza, kuna wale wanashtuka wako nyumbani wakiwa na begi la nguo na laptop kama hajaijza alipomaliza UE, sasa kama unakaa kwa ndugu ndo kabisa, hata mapenzi nayo yanashake, ile title...
Baada ya Yanga kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu wa 2021/22, Kocha wa timu hiyo, Mohamed Nabi amesema kuwa wataendelea kupambana ili wamalize ligi bila kupoteza mchezo hata mmoja
“Nafurahi tumetwaa ubingwa, haikuwa kazi rahisi, lengo letu ni kuhakikisha hatupotezi mchezo hata kama...
Habari za humu ndani wanajamiiforums! niende moja kwa moja kwenye point, Kila nikikutana na mwanamke baada ya kumaliza tendo hua napata maumivu makali kwenye uume.
Kwa anaefahamu suluhisho la tatizo hili jamani anisaidie maana hospital nimeenda lakini shida bado haijatatulika.
Unless unakojoa polini kwenye majani, sehemu yene mchanga mwingi au vile vyoo special vya juu hasa vinavyokuaga stand za mabasi au vyoo vya kulipia au vile vya shimo la moja kwa moja unaweza ukasimama, ila hivi vyoo vya sink na kwengineko ni uchafu mwanaume kukojoa umesemama.
Ukikojoa kwa...
Great thinkers,
Hivi karibuni kumekua na ongezeko kubwa la mabinti wenye umri mdogo (umri Kati ya miaka 14-20s) kupata watoto. Nini kifanyike kumaliza hili tatizo?
Bondia Errol Spence Jr (The truth) amefanikiwa kumtwanga vilivyo Yordenis Ugas kwa T.K.O round ya 10 na kufanikiwa kuunganisha mikanda ya WBA, WBC na IBF amebakisha mkanda mmoja tu wa WBO ambao unashikiliwa na Terence Crawford ili awe Undisputed Welterweight Champion.
Error Spence hakuishia...
Waziri Mkuu wa Israel, Naftali Bennett amekutana kwenye mazungumzo ya saa tatu na Rais wa Urusi, Vladimir Putin katika Jiji la Moscow, Urusi katika harakati za kutatua mzozo wa Urusi na Ukraine, mazungumzo hayo yamepewa baraka na Utawala wa Marekani.
Mazungumzo hayo ya kidiplomasia yamesimamiwa...
Rais Putin wa Russia kaeleza masharti yake juu ya kuimaliza vita yake inayoendelea na Ukraine wakati alipozungumza kwa simu jana na rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron. Mazungumzo hayo ya simu yalifanyika baada ya kikao cha mazungumzo ya amani kilichofanyika kati ya wajumbe wa Ukraine na Russia...
Duh aisee ule mziki wa CPA sijawahi ona, ulinipeleka mchaka mchaka mno hata nikiunganisha msuli wa form 6 E.C.A na degree bado haifiki hata robo, hata wanaotoka cpa kwenda masters huwa ni kama wameenda likozo na wanapasua masters si mchezo, lakini utoke masters uje cpa ni shughuli pevu...
Kwa miaka ya karibuni kumeibuka Kampuni kadhaa zinazojihusisha na uuzaji wa Viwanja kwa njia ambayo wanamruhusu Mnunuaji kulipia kwa awamu au kidogokidogo.
Wengi watakwambia ulipe kiasi fulani mwanzo kisha utaendelea kulipia kiwango kilichobaki ndani ya miezi sita au mwaka au kwa makubaliano...
Wale wanaosema tusikope, waje mezani na hesabu, nchi inakusanya Kila mwezi trilioni 1.2. Mishahara inakula bilioni 600, inabaki bilioni 600, hii ilipie umeme, maji, karatasi, mafuta ya magari,posho na mengineyo, inabaki ngapi?
Haya, kama SGR inaweza kula trilioni karibu 20, maana yake serikali...
Ndugu watanzania wenzangu urefu wa pwani kutoka Tanga mpaka Mtwara ni 591.12km, kutoka Tanga mpaka Dar es salaam ni 195.07 na Dar es salaam kwenda Mtwara 397.39 km.
Kwa kuwa umbali kutoka Tanga na Dar es salaam ni karibu sana yaani km 195.07, huku umbali wa kutoka Tanga mpaka Bagamoyo ni km...
Mwenge wanusa harufu ya rushwa na ufisadi kwenye miradi 49 kati ya miradi 1,097 yenye thamani ya 1.2trilioni iliyozinduliwa | TZS 65b zahofiwa kutafunwa na mchwa,
" Chato tunasema Asante "
Mtakumbuka Mwenge wetu wa Uhuru uliwashwa rasmi tarehe 17|05|2021 Makunduchi Zanzibar na leo tarehe...
"Kura hukomesha mashindano; Hukata maneno ya wakuu"
Mithali 18:18
Mara nyingi kumekuwa na kawaida kwa vyama vikuu vya pinzani na Chama kinachotawala kuvutana na kutokukubaliana kabla au baada ya matokeo ya uchaguzi kutangazwa, iwe Tanzania bara au Tanzania visiwani.
Mara zote hizi lawama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.