kumiliki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ukitaka kununua gari usije kuomba ushauri JF, kuna watu wana kauli za kukera, wanakatisha tamaa na hawajawahi kumiliki hata terminal ya betri ya gari.

    MTU anakuja kutafuta ushauri ili asiumizwe huko Uswahilini anakoenda kutafuta Gari ya kuendana na kipato chake, watu watamjibu kwa kejeli, dharau, matusi na kila aina ya uchafu. Jamani kabla huja comment hiyo negative comment yako, jitafakarini, je ni lazima niandike kukebehi? Je kama sina...
  2. Ahukumiwa miaka 20 jela kwa kumiliki fisi kinyume cha sheria

    Emmanuel John (31), Chifu mkazi wa Kijiji cha Kilulu wilaya ya Bariadi kwenda jela miaka 20 na kuchapwa viboko 12 baada ya kupatikana na hatia ya kumiliki fisi kinyume cha sheria. Hukumu hiyo imetolewa leo Jumatano, Machi 12, 2025 katika Mahakama ya Wilaya ya Bariadi na Hakimu Mkazi Mfawidhi wa...
  3. Poland yatafakari mpango wa kumiliki silaha za nuclear za kujihami.

    Waziri mkuu wa Poland Donald Tusk anasema ni wakati sasa wa Poland kufikiria kuwa na silaha za juu zaidi ya za kawaida ikiwemo silaha za nuclear. Hatua hii inakuja baada ya Marekani kujiondoa kama mdhamini mkuu wa usalama wa Ulaya pamoja na kuwa na sera zisizotabirika tena katika mahusiano...
  4. Zalisha faida kwa uwekezaji mdogo katika UTT na Hati fungani

    Nipo zangu katika Site ya ujenzi ,Kuna wazo la Uwekezaji mdogo limenijia. Kwa wale wanaopokea mshahara wa kuanzia 250,000 hadi 450,000 Ambao hawapati nafasi ya kufanya biashara nje ya kazi yao. Wasio na Pensheni. Uwezo wa kuiweka hela na kuisahau. Fedha yenye maremgo ya miaka miaka mitano...
  5. A

    Hii Ni Kwa Watu Wanaotaka Kumiliki Kampuni Zao 2025 Lakini Hawajaanza Bado…

    Umekuwa ukijiuliza maswali mengi sana juu ya kumiliki kampuni yako bila majibu!! Umekuwa ukijiuliza maswali kama; Ni mtaji kiasi gani natakiwa kuwa nao ili nimiliki kampuni yangu? Ni elimu ya kiwango gani niwe nayo ili niwe na kampuni yangu? Taasisi gani natakiwa kwenda ili kukamirisha usajiri...
  6. Kumiliki nyumba au ardhi haviwezi kukupa utajiri bali vinalaza hela, fuatana nami ujifunze experience yangu ya umiliki wa hizi mali

    Kumiliki nyumba au ardhi haviwezi kukupa utajiri mkubwa, fuatana nami ujifunze experience yangu ya umiliki wa hizi mali Mimi Mr Why nataka nishare experience yangu ya umiliki wa nyumba na ardhi Nimemiliki nyumba na ardhi kwa muda mrefu lakini havikunipa fedha za kutosha Mwanzo nilidhani kuwa...
  7. Kwa wivu mbaya uliokuwa nao halafu unataka kumiliki bastola

    📖Mhadhara (74)✍️ Waswahili wanasema wivu ni kachumbari ya mapenzi, lakini kuna wanaume wana wivu mbaya sana kwa wake zao licha ya wao wenyewe ni wahuni walioshindikana. Wapo wanaume ambao wana tabia zifuatazo.... ✓ Mke akienda sokoni akirudi anafanyiwa ukaguzi wa mwili, kama vile kukaguliwa...
  8. Ndoto ya kumiliki EV naona inayeyuka. Anaehusika na kuset kikokotoo TRA amelisikia ombi, ila kapunguza Milioni 2.5 tu!

    Niseme tu 2025 kumiliki EV yangu ya kwanza kushakauka kama hivi. Baada ya kukesha na kuomba muhusika wa TRA acheki vizuri kikokotoo nilete Nissan Leaf nisupport juhudi za green environment na kuwaunga mkono TANESCO naona mission imefeli. Anaehusika na kuset kodi za magari used TRA aangalie...
  9. Gharama za kumiliki kifo

    Waswahel wa Pwani waliosema pesa mwanaharamu sijui ninini kiliwapa mpaka kuna na huo usemi Nijuavyo mimi ukiachana na mengine yote. Kuna kitu kinaitwa kichaa cha pesa! Pesa inachizisha watu na kuwafanya wendawazimu kabisa! Hata wewe ukizipata utawehuka hasa zikishakuwa nyingi na ziada kwa ajili...
  10. Vodacom Tanzania nawauliza, mtu mwenye miaka 75+ haruhusiwi kumiliki simcard yenu?

    Ajabu sana hii, Leo nimemwambia wakala amsajilie Line ya Vodacom Tanzania mzee wa miaka 77, wakala amepambana imeshindikana anasema voda hawaruhusu mtu wa miaka 75 na kuendelea kusajiliwa line.. Ina maana mna nini special sana nyie mpaka muweke limit ya mtu kumiliki simcard ya mtandao wenu...
  11. Kwanini Wakristo na Waislamu wa zamani walichukulia utumwa kama jambo la kawaida ni sio uovu?

    Wakristo na Waislamu waliomiliki watumwa kabla biashara ya utumwa haijakomeshwa walikuwa watu wema wa dini zao au waovu watakaochomwa moto? Kwa nini inaonekana watu wa hizi dini kubwa mbili walikuwa wanachukulia utumwa kama jambo la kawaida tu hapo zamani? Hawakuwa na utashi(conscience)??
  12. Zijue sifa na gharama za kumiliki silaha Tanzania

    ANGALIZO Maelezo yaliyotolewa katika uzi huu ni kwa ajili ya kuelimisha na kutoa taarifa kwa umma na hayapaswi kutafsiriwa kama ushauri wa kisheria. Sheria za umiliki wa silaha zinaweza kubadilika, na ni muhimu kushauriana na mwanasheria au mamlaka husika kwa taarifa zaidi na za kina. Mwandishi...
  13. Namna ya kuwa na wazo la kuanzisha na kumiliki kiwanda

    Tembelea maduka 15 katika mtaa wako na mtaa wa jirani; angalia bidhaa zilizopo katika hayo maduka. Jiulize, wewe unaweza kuwapelekea bidhaa gani iwe sehemu za bidhaa zinazoonekana kwenye hayo maduka? Ingia mzigoni kwa kutengeneza hiyo bidhaa iliyokuja kichwani mwako. Ajiri wasambazaji; baada...
  14. Vibaka Afrika Kusini walipua gari ya hela kwa bomu na kupora pesa (inakuaje wahalifu tena vibaka kumiliki silaha nzito za gharama?)

    Leo saa 6 mchana vibaka wenye silaha Nzito wameipiga kwa BOMU gari iliyo kuwa imebeba fedha na kupora fedha Tukio Hilo limetokea mtaa wa kwathema Gp (Gauteng) gari hiyo iliyo beba fedha ikiwa barabarani vijana sijui waliitrack vipi ghafla kilisikika kishindo tu cha bomu na majibizano ya risasi...
  15. Updates za Paris Motor Show 2024 (Tarehe 14 - 20 October)

    Paris Motor Show ni moja ya maonyesho makongwe ya magari (tokea mwaka 1898) yanayofanyika kila baada ya miaka miwili, ambapo makampuni mbalimbali ya magari yanaonesha magari yao mapya, concepts, teknolojia na vitu vingine vinavyohusiana na magari. Kwa mwaka 2024, zaidi ya makampuni ya magari...
  16. Jeshi la israel wafanikiwa kumiliki anga lote la lebanon hakuna ndege kutua bila idhini yao

    BREAKING: Ndege ya mizigo kutoka Iran inayotakiwa kutua katika uwanja wa ndege wa Beirut imegeuka baada ya Israel kufahamisha udhibiti wa usafiri wa anga katika uwanja huo kwamba Israel itaanzisha mashambulizi dhidi ya ndege hiyo iwapo ingetua Beirut. Israel haitaruhusu silaha za IRGC...
  17. Kinachowatesa Waarabu wa Kigaidi ni Waisrael kumiliki na ku-operate Satellites kwenye anga yote ya dunia

    Hakuna nchi yenye hakimiliki ya Satellite technology duniani isipokuwa Israel yaani hata leo Tanzania wakitaka kufunga sattelite kwenye anga yake ya taifa lazima aombe kibali kutoka Israel, Adui yako akikuweza kwenye technolojia ya mawasiliano umeisha mazima hicho ndicho kinachowatesa Waarabu...
  18. Tumia Hizi Njia 2 Kutafuta Na Kumiliki Ardhi Kwa Bei Nafuu Mahali Popote

    Njia mbili kuu za kutafuta na kupata viwanja vinavyouzwa kwa bei nafuu ni kupitia madalali na mtandao wa watu sahihi. Madalali wa ardhi na majengo. Madalali wa ardhi ni watu wenye ujuzi wa masoko ya ardhi na wanaweza kukusaidia kupata viwanja vilivyopo kwenye bei nafuu. Madalali wana uelewa...
  19. Nadhani kumiliki iPhone ni utumwa na tunakoelekea utakuwa ni ugonjwa

    Wamiliki wengi sana wa iPhones huwa wanajiweka katika class yao kitu ambacho sio kibaya na ni simu nzuri. Lakini kitu kibaya ni kwamba kila toleo jipya linapotoka basi unatamani/anatamani na kuona simu yake imeshuka thamani hivyo apambane apate nyingine hata kama uwezo mdogo. Cha zaidi ni...
  20. Ni halali kwa raia wa kawaida kumiliki torch ya kupiga shoti?

    Kuna hii torch ya shoti(pichani) nataka niinunue, je kuna hatua zozote za kufata kama vile kumiliki bastora?. Hii torch ina 30000K Volt kazi yake kubwa ni kupiga shoti nahitaji kuimiliki kwa ajili ya ulinzi binafsi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…