Ila matajiri wa bongo bwana.
wamekuwa motivational speakers kuliko uhalisia.
Tajiri wa kitanzania na mmiliki wa mabasi ya Super feo anasema yeye alianza na mtaji wa elfu 20 tu na sasa anamiliki mabasi mengi.
Kuna Video inasambaa kwenye Mitandao ya Kijamii nikaona niwashirikishe kuna la Kujifunza
=============
Victor Tesha
Nilikutana na mvulana mdogo sana ambaye kila siku alikuwa akisafisha kioo cha mbele cha gari langu kila niliposimama kwenye taa za trafiki hapo Moroco. Niliona jitihada zake na...
Waziri wa Fedha, Dr. Mwigulu Nchemba , tunaomba kujua huyu mtu ni nani hasa na je, BOT walimpa leseni ya kufanya hii biashara kihalali hapa nchini?
Na kama ana leseni, basi Waziri Mwigulu hebu chunguza leseni ya huyu bwana kama imetolewa kwa njia halali hasa kutokana na riba wanazochaji, muda...
Kujenga nyumba ya kupangisha kulingana na mahitaji ya soko la mtaa husika ni mbinu bora inayoweza kuleta mafanikio makubwa katika uwekezaji wa mali isiyohamishika.
Hapa chini kuna sababu 20 za kwa nini unapaswa kuzingatia mahitaji ya soko la mtaa husika wakati wa kujenga nyumba za kupangisha...
Utangulizi.
Majengo ya hosteli ni miundombinu iliyoundwa maalum kwa ajili ya kutoa makazi kwa wanafunzi. Majengo haya yanaweza kuwa ndani ya kampasi ya chuo au nje kidogo, lakini karibu na chuo.
Kwa ujumla, majengo ya hosteli ni sehemu muhimu ya maisha ya wanafunzi wengi, yanayowapa nafasi ya...
Hongera waziri wa ardhi Jerry Silaa nili kunukuu kuhusu swala la wageni mnafanya maboresho kuhusu wageni kumiliki ardhi.
Tatizo linaweza kutokea mbeleni kwenye sheria hii sababu wananchi wengi wako kwenye wimbi la umaskini ususani vijijini ambapo ndio maeneo yenye rasilimali kama madini,kilimo...
McLaren ni ndoto ya wapenzi wengi wa magari. Ila bei sio rafiki. Mfano, hii McLaren Senna inauzwa MSRP $1,000,000 ambayo ni kubwa sana.
Sasa McLaren wametengeneza Sena 30 ambazo ni toy, zenye scale ya 1:8 ukicompare na original car.
Hii itauzwa $21,000/= tu na ipo sokoni tayari tokea jana...
Kwa majina naitwa Majengo Saidi Swadi.
Nianze kwa kuangazia namna ambavyo maisha halisi ya wananchi yanavyotofautiana na takwimu za kukua kwa uchumi wa nchi.
• Kwa kawaida tunasema kipimo cha uchumi mifukoni ni namna ambavyo watu wanaweza kumudu maisha yao ya kila siku kutokana na kipato chao...
Wakuu nimetafakari sana nimegundua kumiliki gari ukiwa TZ sio jambo dogo tofauti na nchi jirani. Gari linachukua pesa zako nyingi sana kwa mara moja. Kwa mfano ukiagiza gari ulilolipia labda Tsh 10m itakulazimu uandae kiasi kama hicho ndani ya siku 45 ulipie kodi na gharama zingine za kuingiza...
Mpango wa Marekani kuzuia baadhi ya nchi kuwa na silaha za nuclear sio sahihi tena kipindi hii ambapo kuna kushuhudia kuongezeka kwa vita na migogoro kati ya nchi.
Kinachotakiwa sasa hivi ni kila nchi iruhusiwe kumiliki silaha za nuclear kwa ajili ya ulinzi na hii inaeweza kueleweka vyema...
FAIDA KUU TATU ZA KUMILIKI WEBSITE AU TOVUTI
zama hizi za uwazi na technolojia , watu wengi wamekuwa wakimiliki website bila kujua faida zitokanazo na website lakini pia wengine wamekuwa wakitamani kumiliki website bila kujua nini faida ya kuwa na platform hiyo.
Nini maana ya website?
Hii kwa...
Takriban wiki tatu zimepita tangu wanamgambo wa Houth watangaze wanakusudia kutoa habari ya kushtua nyoyo.
Habari hiyo haikufahamika hata pale nyaya mbili za data za intaneti za chini ya bahari ziliponyofolewa ambapo wanamgambo hao hawakutoa taarifa yoyote ya kuhusika kwao kama wanavyofanya...
Niwapeni siri kwamba ukiachana na pesa, wanawake wanashobokea sana vijana maarufu hasa kwenye mambo ya sanaa na michezo, sijui kwanini ila ndivyo wengi walivyo.
Katika makundi haya kwa sasa kuna waachezaji wa ligi kuu na wasanii wa bongo fleva, ila cha ajabu unakuta wachezaji mpira wengi wana...
Habara wana jamvi,Naomba kujua vigezo gani natakiwa kuwa navyo ili niweze kumiliki duka la madawa.Pia naomba kujua dawa kwa bei ya jumla jumla zinanunuliwa wapi?
Mimi Kama Mimi nikifikisha miaka 45 sijamiliki kwangu ni heri tu nimalizie huo muda uliobakia hapa duniani kwa kuendelea tu kupanga.
Haiwezekani niteseke kujenga nyumba ambayo sitaishi zaidi miaka 20 nijisapie zangu.
Kama ni mfuatiliaji wa aina za Magari yanayomilikiwa na Watanzania walio wengi, utagundua kuwa asilimia kubwa wananunua Magari ambayo ni "Used" tena kwa miaka 10 au 15 nyuma, na yote ni sababu ya wingi wa Kodi za ajabu ajabu kutoka Mamlaka za nchi hii.
Tofauti na ukienda nchi za wenzetu mfano...
Hakuna hali inayokera na kuleta uhuzuni kwa kundi kubwa la watawaliwa kama kuona kiongozi wao akiishi maisha ya anasa huku wao wakizidi kutumbukia katika lindi la umasikini.
Tanzania kuna watu wengi sana wanaishi katika dhiki isiyo ya mfano, kama wewe ni mtafutaji wa mtaani au pembezoni mwa mji...
Shamba linauzwa Tshs.350,000 kwa ekari moja. Ekari hiyo hiyo inakodishwa kwa Tshs.100,000 hadi Tshs.130,000 kwa kilimo cha alizeti, mtama au mahindi.
Hapa ni momba mkoani Songwe. Inawezekana kutengeneza kipato kizuri sana kwa kumiliki mashamba ya kukodisha ambayo yana tija kwa wakulima wa mazao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.