Madai ya Hamas, Hisbollah na Iran ni kumnyang'anya Muisrael jiji lake zuri la Jerusalem. Sasa mnaopinga kama Israel siyo mshindi na mbabe wa mashariki ya kati basi mmpeni Hamasi jiji la Daudi au Jerusalem. Haya yote yanayojili migogoro ya mashariki ya kati ni kushindwa kumchukulia kinguvu jiji...
Katika muktadha wa ardhi na mali isiyohamishika, hati ya umiliki wa ardhi inaweza batilishwa au kubadilishwa mwenendo kwa mujibu wa sheria na mazingira fulani.
Hata hivyo, mchakato huu unaweza kuwa na masharti na taratibu zilizowekwa na mamlaka husika. Hapa kuna sababu kadhaa ambazo zinaweza...
Hii vita haishi leo wala kesho sisi Waswahili tuendelee na kilimo mvua zimeshaanza.
=====
Tangu shambulio la Oktoba 7, ambapo zaidi ya watu 1,400 waliuawa na wanamgambo wa Hamas, zaidi ya maombi 120,000 mapya ya leseni ya silaha yamewasilishwa na raia wa Israel.
Harakati za kupata bunduki...
Vibanda vya biashara kwa ajili ya kukodisha ni njia nzuri ya kutengeneza kipato endelevu kwa hapa Mbeya.
Maeneo ambayo hulipa zaidi ni karibu na vyuo kama Chuo Kikuu cha Mzumbe, Chuo Kikuu cha CUCOM.
Maeneo ya soko la kabwe unapambana na unaweka kibanda chenye mvuto cha biashara na unaingiza...
Ukweli mchungu lakini ndivyo ulivyo, Ili dawa iingie wakati mwingine sindano kwanza. Moja kwa moja kwenye hoja ni kwamba kwamba kama hakuna huduma au bidhaa unayoizalisha na kuitoa kwa jamii kama mbadilishano kutafuta utajiri bila njia hiyo ni kujighilibu akili.
Mahitaji ya jamii yako ndiyo...
Sambamba na hilo, Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia mzee wa miaka 80 mkazi wa Kijiji cha Madundasi Wilaya ya Mbarali Mkoa wa Mbeya aitwaye PASCAL MWANGO kwa tuhuma za kupatikana na bunduki aina ya Gobole bila kuwa na kibali cha umiliki halali.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Benjamin...
Kuna siri ya ushindi ukifanya maombi ya vita muda huu. Naingia vitani (maombi ya vita) kisha nakuja kutoa darasa kidogo. Nimerudi sasa.
Ulimwengu huu unatawaliwa na siri nyingi, na siri hizi ziko kwenye mfumo wa namba.
Namba 3,6,9 zina nguvu sana ya kufanya uumbaji wa jambo kimwili na kiroho...
Ifike mahali tuanze kujiuliza hivi ni akili kumiliki simu janja zaidi ya moja tena huku kila moja ikiwa na line 2? Yaani line 4 kwa wakati mmoja?
Hivi hatuoni huu ni uwendawazimu kabisa hasa simu hizo zinapkuwa ni kwa matumizi ya kawaida tu kama vile kuwassiliana na ndugu, jamaa na marafiki...
Ninamaanisha dege ndogo ya kawaida (aeroplane) yenye uwezo wa kubeba abiria watatu na helikopta yenye uwezo wa kubeba abiria watatu.
Naomba kufahamishwa:
A. Bei yake ikijumuisha gharama za ununuzi, usafirishaji na usajili
B. Makadirio ya gharama za kuihudumuia kwa mwezi. Wastani wa safari...
Wacheni watoto wazuri wapende wanaume wenye magari, kwa maana jua huko nje ni kali.
Wewe unamtembeza mtoto wa kike kwenye bodaboda mishkaki tena anapanda na jua kali halafu anakuja kwako anachoka na jua kabla ya kumchosha halafu bado unataka akupende the way jinsi ulivyo.
Hakuna mwanamke...
Umewahi kulazimika kutoa rushwa ili uweze kukamilishiwa mchakato wa kumiliki ardhi?
Jiunge nasi Alhamisi, Agosti 10, 2023 Saa 12 Jioni hadi saa 2 usiku kupitia ClubHouse ya JamiiForums kujadili Vitendo na Mazingira ya Rushwa katika hatua za Umiliki wa Ardhi Nchini.
Tutajadili Changamoto...
Watu wengi wajitokeza katika maeneo mbalimbali jijini Nairobi, Kenya kuandikisha utambulisho wao wa kipekee kupitia mboni ya jicho kwenye Kampuni inayoitwa Worldcoins, ambapo kama malipo wanapewa sarafu za kidigitali zenye thamani ya 7,000 za Kenya na mpaka sasa zaidi wa watu 50,000...
Ajira zilizopo bandari katika ngazi zote nyeti ni watoto wa wakubwa; wanaofanya kazi wote forodha ni watoto wa wakubwa; wanaosimamia miundombinu ni watoto wa wakubwa. Wanapataje huu mchongo? Fedha wanazopiga wanazipeleka wapi mboni hawana business tofauti na kumiliki maghorofa? Au ndio...
Nakumbuka baada ya mafanikio makubwa 2012/13 viongozi wengi kutoka Halmashauri za Miji tofauti mikubwa na midogo, walisafiri kilomita nyingi kwenda Mbeya kujifunza jinsi gani Halmashauri ya jiji la Mbeya ilivyofanikiwa kuitengeneza @officialmbeyacityfc hadi kupata mafanikio yale!
Namna...
Hivi kibongo bongo mtu asiye na degree even if ni mcute au handsome kiasi gani, huko kwenye ndoa huwa yuko romantic kweli, is he/she tasting good?
Binafsi Naona kama they are not romantic na hawajui lolote linaloendelea hapa duniani?
Chukulia mfano Diamond hana hata form six failure, ampate...
Hii ndio nature ya ulimwengu kwamba lofa au mpumbavu asimiliki kitu chenye thamani.
Hata kama uvunguni mwako kuna lulu nyingi za aina tofauti, dunia ikijua tu kuwa wewe ni lofa itatumia gharama yoyote ili tu kukunyang'anya ile lulu.
Ni wakati sasa tuache kuomba utajiri kwa Mungu badala yake...
Kila kukiwa na mechi nzuri lazima umeme ukate nusu saa kabla ya mechi au nusu saa baada ya mechi. Huu ni uhujumu uchumi.
Tf wanakata umeme sahz wakati game ndo inaanza second half.
• Mtoto wa kiume unasuka bado unapanda daladala we ni hanifha.
• Unapaka brich afu unapanda daladala we ni kichaa unayejitambua kidogo.
• We una kitambi /mnene bonge nyanya afu bado unapanda daladala unasumbua vimbaumbau we kanunue gari yako binafsi ili ujinafasi.
• Kijana ukihisi huwezi...
Kuna mbuzi moja inaongea ITV sasa hivi anasema ukanda wa Pwani ilikuwa mali ya Zanzibar, bila kujua kuwa Sulatan aliuza kwa wajerumani, hadi visiwa vya Mafia vikauzwa kwa mjerumani yeye akabaki na visiwa vile wanavyomiliki sasa hivi wazenji tu.
Jamaa ana sura ya kiarabu fulani hivi, kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.