Baada ya Harmonize kutoka hadharani na kutamba kwamba, hataongea na Msanii yeyote wa Afrika Mashariki ambaye hamiliki gari aina ya Range Rover! Leo Diamond Platnumz ni kama amerusha kijembe kwa Kondeboy kupitia insta story yake.
Chibu ameweka video ya Zuchu ambaye amejinunulia gari aina ya...
Kuna watu wanajiuliza sana na wanapambana sana kupata utajiri, siwakatishi tamaa ila fahamu haya kisha jipime kama unachokifanya kinakufanya uje kuwa tajiri au uishi mazuri tu...
Tanzania ina kiwango kikubwa cha kodi na ushuru inaotoza kwenye simu za mkononi ikilinganishwa na mataifa mengine duniani.
Viwango hivyo vinaelezwa kuwa juu kuliko mataifa mengi ya kusini mwa Jangwa la Sahara, Mashariki ya Kati na kaskazini mwa Afrika, Ulaya, Asia hata Amerika Kusini, hatua...
Unakumbuka ile kesi ambayo Mahakama Kuu ya Tanzania iliamua kwamba Raia wa Kigeni wanaweza kumiliki ardhi nchini Tanzania kwa njia ya kurithi (where High Court ruled that non-citizen heirs could own land by way of inheritance)?
Uamuzi ambao ulitolewa na Mahakama Kuu mwaka 2011. Lakini serikali...
Kama ipo sheria inayomnyima haki mtumishi wa umma kumiliki kampuni na biashara inayofanana na ile anayoitumikia umma ifutwe mara moja. Katika ulimwengu wa sasa huwezi kumnyima binadamu kujiendeleza kiuchumi kwasababu tu ya mgongano wa kimaslahi.
Sheria zinazotakiwa kuwepo ni za kulinda mgongano...
Kwa sasa wanatumia diplomasia, ila kenge akisisitiza na kutokuskliza, basi itabidi kichapo tu....
Taifa lenye mizuka ya kidini na kigaidi gaidi haliwezi kuruhusiwa kumiliki nyuklia....
Washington/Berlin, Jan 30, (dpa/GNA) – The US government has not ruled out military action, to stop Iran from...
Kwa wenye ufahamu na ili. Ni Adhabu gani utolewa endapo ukikutwa na bunduki kinyume na sheria?
Nipo nchi Jirani hapa na kuna mwamba ana kadude ila hakana pepa anataka aniachie kwa bei simple kabisa ila kabla ya kufikia uamzi wa kukachukua ninataka nijue kwanza ikiwa nitakamatwa nako athabu yake...
Wasalaam, Umofia kwenu!
Eeh bana eeeh were were mwaka jana nilipata bonge la demu mtoto wa kipare bonge la pisi ukanda huu wa pwani alikuwa mdent wa chuo fulani anatokea kati ya Makanya, Same au Hedaru sina hakika, demu black beauty, trackoo hana mpinzani, kichwa kidogo dogo, hana tumbo...
Seneta na bosi mstaafu wa Mamlaka ya Marekani ya Usafiri wa Anga (NASA), Bill Nelson, ametoa tahadhari kuwa muda wowote China wanaweza kuumiliki mwezi mzima ukawa mali yao.
"tuko katika mashindano ya kianga, na China watajimilikisha mwezi endapo wakafanikiwa kufika huko kwa kisingizio cha...
Imekuwa ni ndoto ya wengi kumiliki nyumba ya kuishi hasa kwetu sisi watanzania. Ndoto hii inaweza kutokana na sababu mbalimbali.
Kwenye kipengele hiki cha kumiliki nyumba ya kuishi nimekuandalia somo ambalo nimeona litakusaidia sana sana kuhusu nyumba ya kuishi.
Ninafahamu kuwa ushauri huu sio...
Simu kwa zama hizi ni kama kompyuta. Ukizuia watoto na wanafunzi kumiliki simu ni kama kuwazuia kumiliki kompyuta. Huko ni kuwaza kwa mtindo wa kale sana. Cha muhimu ni kuweka taratibu wasiingie nazo darasani na kufundishwa matumizi salama ya simu. Lakini kumkataza mwanafunzi kuwa na simu ni...
Iran ni adui mkuu wa Israel kwa sasa. Na Israel inekuwa ikuhujumu mikakati ya kisiraha hatarishi ya Iran miaka yote.
Ikumbukwe Moja ya sababu kushindwa kutoa mifumo ya Ulinzi Kwa Ukraine, Israel walesema mifumo yao ni Kwa ajili ya magurunet tu ya kawaida haitaweza kupangua makombora ya kisasa...
Kuna mdau nilikua naongea nae anasema anablog tano hadi nimeshtuka!
Anasema kwa mwezi angalau kuliko alivo kua na blog moja, wadau wazoefu hili likoje?
Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amefadhaishwa kuambiwa ameagiza mabasi 60, amedai hana hata biashara bajaj. Mwigulu amesema hakuna haja ya kuchafuana.
Dokezo - Waziri aagiza mabasi 60, Kampuni ya Esther
=====
Mwigulu Nchemba: Imekuja tozo, mtu anasema ona waziri huyu ameagiza mabasi 60...
Ni ajabu sana timu zinazoongoza kuwa na mashabiki kila upande wa nchi..kukosa viwanja vyao...kila mechi Kwa mkapa..Kwenu hapo??..Jengeni viwanja vyenu bana..Azam wapo mbali sana nchi hii
Baada ya kununua helicopter yake ya kifahari, Diamond Platnumz ndio anakuwa mtanzania wa kwanza kumiliki helicopter ya kifahari.
Wapo matajiri wengine waliwahi miliki helicopter za kuungaunga ila tajiri huyu mdogo sana kiumri mzaliwa wa Tandale anamiliki helicopter ya kifahari.
Helicopter hii...
Kwema Wakuu!!
Pesa inamajina mengi Sana kulingana na matumizi ya Huduma Fulani. Kwa uchache haya ni sehemu ya majina hayo;
1. Nauli.
Pesa Kwa ajili ya kupata Huduma au kununua Huduma ya usafiri.
2. Zaka na Sadaka.
Pesa Kwa ajili ya kupata Huduma au kununua huduma ya Ibada au shughuli za...
Khabari zenu ndugu zangu.
Naomba mnipe mawazo katika Hili.
Mimi ni kijana miaka 28 hivi, kipato changu sh 30k kwa siku but nikifanya matumizi yangu katika familia Yaweza baki 10 au 15 inategemea na siku.
Nataka kununua kiwanja nina mawazo na kiwanja huu ni mwaka sasa kinanitia mawazo. Nawaza...
Kumiliki gari ya Ulaya/Marekani ni changamoto sana hasa sisi wenye vipato vya chini.
Changamoto zake ukiachia matengenezo ambayo huwa sioni tatizo lake kubwa iko kwenye kuiuza.
Mwaka jana ndugu yangu alinunua Ford Everest ya karibu milioni 90, kaitumia mwaka mmoja na miezi kadhaa juzi hapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.