Katika harakati za kutafuta mke wa kuoa, classmate wangu mmoja ni mwanamke aliniunganisha na mfanyakazi mwenzake ni mwalimu.
Kweli tukapanga nikaenda kuonana nae mchumba mtarajiwa nyumbani kwao kabisa. Kwao maisha mazuri, na mtoto mwenyewe alikuwa ni mshika dini.
Lakini sikuvutiwa na muonekano...