Ndugu zangu Watanzania,
Hicho ni kiapo chetu watanzania,Ni Kiapo Cha Ulinzi kwa Rais wetu ,ni kiapo cha Utetezi kwa Rais wetu, ni kiapo cha Utii kwa Rais wetu ,Ni kiapo cha kutomsaliti Jemedari wetu ,ni kiapo cha kukubali Kupoteza Maisha kwa Ajili ya Amiri Jeshi Mkuu wetu wa Majeshi ya ulinzi...